Islam’s role in Tanzania’s freedom struggle





Mujitahid Wabara,

Al Jumaa Kareem!

Wallahi,mie hufuatilia kwa karibu mno hizi bayana zako,nakoshwa mno na hizo lahaja na istilahi utumiazo.

Sidhani kama huyo ujaribuye zungumza nae hata kama akufahamu unenani!? Kwi! Kwi!

Ni mughali kwa sasa kupata japo thuluthi ya wenye kuzungumza Kiswahili chenye ladha....lakini pia ndo twarejea kule kule kwa yule Nyerere,maana yeye ndo alotaifisha mpaka lugha yetu na ati kuifanza ni "Lugha ya Taifa"!? Kwi! Kwi! Kwi!

Kila nikusomapo nabubujikwa na machozi,maana wanikumbusha lafidh mwanana za Wazee Wetu maskini.

Napata khisia yakuwa wewe mwenzangu itakua lazim ni muungwana alokamilika wa ki-Mtang'ata!? Kwi! Kwi! Kwi!

Ahsanta sana.
 
Sheikh Mohamed Said,

Al Jumaa Kareem.

Tafadhali,kwa niaba ya Wanajamvi na ndugu zangu soote twakusihi urejee hapa barzan kuzidi kutusomesha.

Pole
kwa karaha kiduchu hapa jamvini,zitokazo kwa wale wasokubali ukweli wako mchungu. Twajua yakuwa wajaribu kufanza kila hila na dhuluma,ili huu mnakasha ufungiwe kama kila mingineyo uianzishayo.

Pia tunaziona provocations zao zoote...

Tafadhali Sheikh ndugu yetu,rejea tupate Ilm yako nadhimu...sisi tuhapa kukusoma wewe tu wala si mwingine.

Kipata fursa tafadhali anzia na hilo suali alokuwekea hapo Ayatollah Chamviga,kuhusu huyo Bwana Cecil Matola nafikiri!?...maana kila mara huyo Mag3, anakutuhumu yakuwa ati "humtaji"/humpendi huyo Cecil kwa sababu tu ya dini yake!?

Ahsanta.
 

Takbiir! Allah akbar huu ni msumali wa moto kwenye kidonda.
 

Gombesugu,
Si kweli kuwa mimi simpendi Cecil Matola.

La hasha lakini Matola hana jambo la kusikika katika historia ya Tanganyika.

John Iliffe alihariri kitabu, ''Modern Tanzanians,'' ambamo mlikuwa na biography
za Watanganyika waliofanya makubwa katika Tanganyika.

Cecil Matola hakuwa mmoja wao.

Kulikuwa na mradi wa Oxford University Press, New York na Harvard ulioitwa
Dictionary of African Biographies (DAB) na mimi nashukuru nilishiriki kama mmoja
wa waandishi.

Jina la Matola halikuwapo.
Huu ndiyo ukweli.

Lakini ikiwa Mag3 analo la kusema kuhusu Matola ambalo wanahistoria limewapita
hii ni nafasi yake ya kuueleza ukumbi.
 
Wewe hutaelewa hata ufundishwe na mtume wako acha binadamu,amri kumi za Mungu zipo hadi misikitini na mnazitii,hakuna haja kupigania.Soma vizuri interest za Kony acha unafiki wa hoja




Steyn,

Did you know that,the Divine Trinity of Ra,Osiris and Isis existed in Ancient Egypt over 3000BC!?

The "Trinity" fable isn't unique to Christianity...the Divine Trinity of Brahma,Viishnu and Siva existed in Ancient Hindu 4000BC.

Such legends inspired the alleged "Trinity"of Christianity.

Christians often refer to their god as "El- Shaddai"/"Sky Father",right!? Kwi! Kwi! Kwi!

Yet El Shaddai was the pagan god worshipped by the Cannanites over 3000BC.

Under the reign of Pope Damascus(366-384),women and children were bought and sold as sex slaves to increase funding for the Church!

Every past culture had a "Saviour for mankind"...Egypt had Horus,Hindus had Krishna.

Jesus "story" was simply re-told in a Christian version.

The "resurrection" of Jesus was a common Pagan myth of the Early ages...over 18 pagan "Sons of gods" were also said to have resurrected too!? Kwi! Kwi! Kwi!

Bible verse of Samuel(16: 1-23) tells how god allegedly told Samuel to lie and say he came to "sacrifice for the Lord"!?

The Bible endorses lies. The Bible claims the Tower of Babel almost "reached Heaven"!? Kwi! Kwi!

Yet space rockets which travel to the moon and beyond never reached heaven!?

No matter how "educated" you are,if you still regard the Bible as the word of God,this day and age...you are obviously not educated enough!

Ahsanta.

Ps;I don't expect your response though,just a little polite,friendly talk to You.


Cc;Maulana Dr Kahtaan

 




Sheikh Mohamed Said,

Shukran kubwa mno,kwa kuitikia wito wetu sisi nduguzo soote na Wanajamvi wengineo woote.

Yoote ulosema nakufahamu kwa undani mno...nilikhis yakuwa huyo Bwana Cecil angekua hana mangi mno
kwenye history...lakini Wazee Wetu wakinena,"dawa ya Mrongo ni kumrongoza".

Nisingalipenda kunena mangi mno kwani umehitimisha kwa hili...yaani Waswahili hunena yakuwa,"umeukata ule mzizi wa fitna"!

Insha Allah,Mola takuzidishia kwa kila lenye kheir nawe,na takuondoshea hasada zoote na zishindwe hata kukukurubia asilan!

Ahsanta.
 

Ndugu yangu Gombesugu,
Ahsante na Amin, Amin, Amin.

Tumo humu kuelimishana kwa staha na ustaarabu.
 

Maalim Mohamed Said, naomba mualiko huu kwa Mag3 niusambaze pia kwa Nguruvi3, Yericko Nyerere, Mzee Mwanakijiji na wenzao wote, mjumuike mtupatie historia ya Cecil Matola zaidi ya tuijuayo kutoka kwa Maalim Mohamed Said.

Thanks in advance.
 
Last edited by a moderator:

Nawe al-akhiy,
Gombesugu
Hawa jamaa pana kila sababu ya kubanana nao ili nasi tuweze kurejeza sifa na hadhi ya Uislamu na Waislamu katika nchi yetu,

Qur aani imetusifu sie Waislaamu kuwa ni wenye akili na Muislamu haghafiliki moja kwa moja labda mnaafiq,

Naendelea kumsoma Aljmudeer Muhammad Saeed na bayana zake ziso na pinzani,

Ahsanta,
 

Mzee hebu tuassume kuwa sijasoma kitabu chako
Halafu ninakuuliza maswali ambayo wewe ndie mwenye kitabu na hayo maswali ninayokuuliza majibu yake unayo na pia yapo kwenye kitabu chako

Sasa kama majibu yake yapo kwenye kitabu hii maana yake majibu yako unayo wewe
Kujibu kwako maswali yangu hapa kutaonesha kuwa kile ni kitabu makini na kinatoka kwa mtu makini
Lakini unaposhindwa au kuacha kujibu eti hadi nikisome ndipo nipate majibu utakuwa unafanya mchezo wa kitoto

Ni mchezo wa kitoto kwa kuwa kama wewe ndie mwandishi wa kitabu na unauhakika kuna majibu nikitu gani kinakufanya usinijibu maswali yangu sasa?
Huwezi kuona kuwa kujibu kwako maswali yangu nitajua kuwa kuwa huenda kwenye kitabu chako kuna majibu ya baadhi ta maswali yangu na ukanihamasisha kukisoma?

Lakini kama hutaki kunijibu maswali yangu hapa itaonesha mambo mawili
1:Huyu mtu hana majibu
2:Huenda ni mbabaishaji tu

Sasa kama ni hivyo huoni kuwa sitakuwa na sababu ya kukisoma kitabu chako?
Hakutakuwa na sababu kwa kuwa mwandishi wa kitabu hicho ambae ni wewe umeshindwa kujibu maswali ambayo ni simpo sana je kwenye kitabu chako kutakuwa na mpya gani?

Nitakitafuta kitabu chako kwa sababu gani hasa?
 
Wewe hutaelewa hata ufundishwe na mtume wako acha binadamu,amri kumi za Mungu zipo hadi misikitini na mnazitii,hakuna haja kupigania.Soma vizuri interest za Kony acha unafiki wa hoja
Hiki hapa chini ni majibu ya huyo jama kwa huyu hapa juu

Huyu hapa chini hajijui kuwa kwa maneno yake haya anaufanya Uislam kuwa ni dini ya kipagani
Anapayuka tu bila hata kujua lolote

Waislam ni matatizo matupu
Hawajijui kabisa

 

Huko kwenye haki ni wapi?
 
Mzee hebu tuassume kuwa sijasoma kitabu chako
Halafu ninakuuliza maswali ambayo wewe ndie mwenye kitabu na hayo maswali ninayokuuliza majibu yake unayo na pia yapo kwenye kitabu chako

Dah, wanajamii huu kama si upunguani ni nini?

Anaandika kuwa "sijasoma kitabu chako" halafu anaandika "hayo maswali ninayokuuliza majibu yake unayo na pia yapo kwenye kitabu chako".
 
Dah, wanajamii huu kama si upunguani ni nini?

Anaandika kuwa "sijasoma kitabu chako" halafu anaandika "hayo maswali ninayokuuliza majibu yake unayo na pia yapo kwenye kitabu chako".

Teh teh teh teh!

Ukhti FaizaFoxy wallahi umenivunja mbavu hapa!

Basi hayo ndio matunda ya ugalatia!

Huyo baba upako Eiyer anaandika kama kaazima ubongo kwa jirani!
Teh teh teh teh!
Lahaula wala kuwwata !!
 
Last edited by a moderator:

Teh teh teh teh!
Kwi kwi kwi kwi kwi!
Ahhhh jamani kuna viumbe wengine wapo hapa duniani kumaliza oxygen tu!
Na kujaza server ya JF!

Yaani hii forum ingekuwa mtu akiongea utumbo anapigwa faini!
Basi we mzee wa upako Eiyer ungekuwa MUFLIS Zamaaani!

Teh teh teh teh!
 
Last edited by a moderator:
Maswali ya kipuuzi ambayo hadi leo yanakosa majibu?
Kama ni kweli ya kipuuzi hujui kuwa unamtusi huyo mzee wako?
Mtu anaeshindwa kujibu maswali ya kipuuzi si anakuwa yeye ni zaidi ya huo upuuzi?
Tatizo kubwa na nyie Waislam ni kuwa hamjui kabisa kuwa dini yenu ina matatizo kuliko hata tatizo lenyewe
Haina tofauti na NAZISM

Wewe unaona wanawake kuingia na vimini nihatari kuliko wanachofanya Boko haram
Wewe unaona wanawake kuingia na vimini ni hatari kuliko wanachokifanya Al-Qaida
Wewe unaona wanachokifanya wanawake kwa kuingia kanisani na vimini ni hata ri kuliko walichokifanya Al-Shabaab pale West Gate

Au ni kwasabau walisema kuwa Waislam watoke?
Killing unbeliver is halal au sio?
Like this verse state here:

Quran (4:89) - "They but wish that ye should reject Faith, as they do, and thus be on the same footing (as they): But take not friends from their ranks until they flee in the way of Allah (From what is forbidden). But if they turn renegades, seize them and slay them wherever ye find them; and (in any case) take no friends or helpers from their ranks."


Wewe umekalia kuona vimini tu

Unasema ubakaji unaongezeka,si bora hata hao wanafanya lakini wanajua kuwa ni kosa kuliko yule aliyekabaka katoto ka miaka 9 halafu eti mnamuita ni mfano wa kuigwa

Pathetic!
 
Last edited by a moderator:

Hujui kama unaendelea kumtusi huyo mzee wenu
Kama una hekima ni bora ukaacha kumtusi!
 

Hata Nyie Mnamsingizia Allah Uongo kuwa ni Mungu wakati yeye Allah wa Mecca Alikataa kuwa yeye si Mungu muhaahahaha.... Mungu ni Mmoja tu... na Yesu alisema yeye ni Mwana wa Mungu hiyo ni Siri ambayo hauiweka Wazi utakuja kuijulia ukiwa Mtakatifu huko Mbinguni...

Kuwa Muislam ni Janga la kuishi Ujingani
 
Dah, wanajamii huu kama si upunguani ni nini?

Anaandika kuwa "sijasoma kitabu chako" halafu anaandika "hayo maswali ninayokuuliza majibu yake unayo na pia yapo kwenye kitabu chako".

FaizaFoxy

Umepasua mbavu na hizi bayana zako teh teh teh kwi kwi kwi.
 
Last edited by a moderator:
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…