Islam’s role in Tanzania’s freedom struggle

Islam’s role in Tanzania’s freedom struggle

Kumbe ilikuwa hoja yako mbona ulikuwa anawasingizia Waislam hawana akili wanajadili barabara wakati wenye akili wanadali maendeleo.
Kilete kifungu kizima uthibitishe maneno yako.
Hata hivyo hiyo isiwe njia ya kutokea maana naona maji mazito hali ngumu sasa ni shoot any moving object.

Tubaki katika mada ya namna ya kwaenzi akina mshume na wenzake. Nini kifanyike na mnashauri nini.
 
@gombesugu, ahlan wahsalan muungwana.
Pole kwa hamaki na kauli za staftashi, tafadhali pata funda la maji kitako utulize jaka moyo.

Ninaposoma majibu ya kejeli na matusi hujiridhisha hoja zangu zimeeleweka kwa nguvu zake.
Zinajibiwa kwa kejeli kwasababu ndilo jibu lililopo la karibu.

Nimesema ajitokeze mtu anithibitishie kuwa waliopigania uhuru wakiwa na majina ya kiislam wote walikuwa waislam! Hakuna aliyetokea kwasababu mnafahamu wazi kuwa kuitwa Hussein hakumfanyi mtu awe mwislam.

Hoja yangu ipo wazi kabisa. Hakuna sababu ya msingi na ya maana kwa waislam kudai mashujaa wa Uhuru watambuliwe wakati ambapo Waislam hao hao wameshindwa kuwatambua.

Nikaweka hoja za kwanini chuo cha Alharamaini kisiitwe Abdul Sykes, Cha Dodoma kisiitwe K.Kleist n.k. ili kuanza kuwaenzi kwanza kabla ya kwenda kwenye medani ya kitaifa. Charity begins at home.

Ukiita shule kwa jina la Al Farook ambalo ni jina la Kiarabu tu na pengine maana yake ni ndogo sana ukaacha kuita Mshume Kiyate highschool unajidhulumu kabla hujadhulumiwa.

Please try to think beyond your nose!If you cannot dignify your own heroes ironically you hold someone accountable for the same, that's insane to be honest with you.

Nimewauliza, Nyerere amekufa miaka 14 leo hii.
Barbara ya Bagamoyo imepewa jina la Kibaki na kuua. Aliyefanya hivyo ni madiwani wa Dar, Mkuu wa mkoa wa Dar pamoja na Rais Jakaya Mrisho Kikwete.

Kwasababu tu huwa hamna hoja ya maana mumeshindwa kuwa hold accountable wahusika mnatafuta jina la Nyerere kabuirini. Jk, Said Meshaki na madiwani wapo! kwanini mumtafute Nyerere kaburini. Waulizeni hao

Ndivyo ilivyo kwa Oceam Road, hatukusikia Mohamed Said au wengine wenye vichwa kama chake wakisema lolote. Tunamsikia akisemea Nairobi. He did not say anything to JK kwasababu. Leo tunasikia mfumo Kristo ukilaumiwa na Nyerere akiwa kaburini 14 yrs.

Mfumokristo ni dhana inayotengenezwa na Waislam wenyewe. Nitawaambia ukweli hata kama una umma.,
Leo watu wanasugu vichwa barbara zipewe majina!
Wenye akili wanasugua vichwa wafanye nini kuongeza shule, vyuo n.k.

Baada ya miaka 5 it's vicious circle kwasababu kuna mambo yanahitaji weledi. Huwezi kuwa Engineer au Daktari kwa kuteuliwa. Tutasikia wakilalamika JF mfumo kristo. Wamesahau kuwa hawakuwa na muda wa kupambana na mfumo, walitumia muda huo kujadili majina ya marehemu na kama yapewe mitaa! insane!

Kelele za kutambuliwa mashujaa zimesikika na medali zimetolewa. Sijui hilo limesaidiaje jamii ya watu wa Mkuranga wenye shule na mwalimu mkuu msaidizi ni Kiranja. ( Ogah lete habari ile ya Mkuranga)

Watu wanafikiria namna ya kufanya vyuo vyao vitambuliwe duniani, wenzetu mupo bize kutafuta majina na kumshambulia Nyerere. Hakuna anayejiuliza kwanini Morogoro University haipo katika vyuo bora 200 Africa.

Hitimisho ni kuwa
1. Kwanza, historia ya mwanadamu inaandikwa na mwanadamu kwa wakati na matukio.
Nyerere historia yake imeshaandikwa duniani. Hakuna anayeweza kuifuta au kuilingnisha na ya mtu mwingine. Ni ya Nyerere! period.Jitihada za kumpaka matope hazifanyi wengine wang'are.
Abdul Sykes atabaki kuwa raia na ukweli kuwa hakuwahi kuwa Rais wa Tanganyika utabaki pale pale hata kama unauma kama nyuki. Ni maumivu ya kuvumiliana

2. Anzeni kuenzi mashujaa kabla hamjaenda katika jukwaa la kitaifa.
Kama unadhani Jabal hilal ni bora kuliko Idd Faiz Mwafongo that should be your problem.
Hili la majina ni tatizo la utumwa wa kiakili.Waambieni madiwani wabadili majina, Tandamti iitwe Farijala, Twigwa uitwe Tatu Said n.k. Halafu mkae kitako mjiulize baada ya majina kubadilika, maisha ya jamii yamebadilika?

3. Stop the vicious circle of ignorance. Miaka 30 MS analalamika nanyi pia mnachukua kijiti kulalamika miaka 30 mingine. Inaudhi wasomi wanajadili trivial things kama majina ya mitaa na kuacha tatizo la elimu na umasikini katika jamii ile ile inayotaka majina! white elephant!

Kaeni chini mjiulize, kwanini kuna massive failure katika shule za Dar na kuna success Kirinjiko Secondari under the same environment! Kwanini chuo cha Morogoro hadi sasa hakijaweza kuchomoza katika anga za kimataifa hapa East Africa au Africa. Kuna tatizo gani na lisahishiswe vipi.

Mnaposhinda katika internet mki entertain frustration za Mohamed Said kutokuwa meneja wa bandari, si tu hamuitendei haki jamii bali mnazidi kuidhalilisha.

Huwezi kujadili nyuzi nzima kuhusu stupid and trivial thing halafu uka depict positive image ya society. Frustration za MS si tatizo la kitaifa ni tatizo lake, you guys you're easily drawn in.
Mnashindwa kujibu hoja kwasababu you've been drawn in like chicken.
Wake up!

cc Al akhy Tayeb, ukhti Faiza Fox, maulana Ritz, Al Habib kahaatan
Mag3 JokaKuu Wickama AshaDii Mtu Mzima
Bandiko lako ili hapa jisome, unafurahisha sana anaandika mwenyewe kisha unajisifia mara maji mazito teh teh teh mimi naweza kukaa peke yangu kwenye huu uzi hata mwezi naweka mapandiko yako ya Chadema.
 
Last edited by a moderator:
Hapana wametaka kujua kwani kulikoni? Kilichowashtua ni mvua ya matusi wakauliza hoja gani inagomba? Nikawashauri wasome nyuzi vema.
Wanaogopa kuja kwasababu hawana uzoefu wa matusi wala roho ngumu ya kupokea.

Lipi geni kwao hata wakaogopa hayo unayoita matusi?
 
Nguruvi3, mtu yoyote akisoma hilo bandiko lako ataona chuki zako za wazi dhidi ya Waislam na Uslam.

Matusi na kashfa ulizoandika zimekushusha sana nakushauri pambana na CCM siyo Uislam.

Uislam kwangu ni kama mchoro wa jengo uliorembwa vizuri. Sehemu zake zote zinaonekana kushikanb na kutegemeana vizuri, hakuna kilichopungua, na hii ni matokeo ya mpangilio bora na makini.

Wewe na Chadema wenzako mnapoteza muda wenu bure kupambana na Uislam.
 
Last edited by a moderator:
Kilete kifungu kizima uthibitishe maneno yako.
Hata hivyo hiyo isiwe njia ya kutokea maana naona maji mazito hali ngumu sasa ni shoot any moving object.

Tubaki katika mada ya namna ya kwaenzi akina mshume na wenzake. Nini kifanyike na mnashauri nini.
Angalia ulivyokuwa mnafiki eti tubaki kwenye mada ya kuwaenzi Mshume na wenzake, wakati unamtaja Mshume kwenye bandiko lako kuwa madai ya Waislam ni majina ya barabara nani alikutuma kuwasemea Waislam?
 
Mtu Mzima kama nilivyo sema mwanzo wa malumbano haya! Mimi hupenda kuja na takwimu ambazo zina ushahidi.
Sasa unaposema ziko idara nyingine NYETI KAMA HII YA ELIMU ILIYO ONGOZWA NA WAISLAMU MIAKA MIINGI! BASI NINGEFURAHI KAMA UTALETA HIZO TAKWIMU HAPA!

Kuhusu mimi kuchagua wizara ya ELIMU!
Nimechagua kukuonyesha data za wizara hii kwa sababu HAKUNA WIZARA MUHIMU KTK NCHI YYT DUNIA KAMA WIZARA YA ELIMU!

Sasa ukija hapa na data za wizara ya mifugo au maendeleo vijijini au wizara ya mipango miji Sidhani kama utaweza kulinganisha hatta kidogo na wizara hii.
Kama nilivyoonya mwanzo kuwa wasio kuwa na ufahamu mara zote hukimbilia kusema waislamu hawakusoma kwa sababu 1.2.3.4 na kuendelea! Na hilo umelisema hapo juu! Halafu hapo hapo unasema kulikuwa na wasomi wengi tu wa kiislamu ambao walikuwapo wakati huo na ukauliza ni kwanini wao wasiliandike hilo alilo litamka nyerere?

Umeuliza kuhusu idadi ya vyuo! Kuliko mimi kuanza kukuorodheshea kimoja kimoja! Kwa nini wewe usiende kuhakiki mwenyewe kuhusu hizi data nilozo kupa??
La mwisho. Ili kukuonyesha kuwa si waislami pekee wenye kufahamu udhalimu wa Nyerere na serikali yake wakati huo!

Hebu pitia kidogo hii link hapa chini.

Ludovick Mwijage: The Dark Side of Nyerere's Legacy - Ludovick Mwijage: The Dark Side of Nyerere's Legacy
Ludovick Mwijage: The Dark Side of Nyerere's Legacy

Cc gombesugu

Ndugu usiwe na shaka data sio tatizo nitazileta tu na wala sio tatizo kwangu kuhakiki kwa sababu nimeshafanya hivyo kwa kuangalia vyanzo rasmi kama Taasisi ya Takwimu ya Taifa, na kuangalia orodha ya vyuo vikuu vilivyosajiliwa na TCU na kumbukumbu nyinginezo katika maduka ya vitabu vya serikali na kote huko sijaona takwimu zinazoshabihiana na zako.

Lakini kwa kuzingatia kwamba hapa wewe ndio ulioleta hizo takwimu za vyuo vikuu vya umma 25, kwa faida ya wasomaji wengine ingekuwa vema ukachukua muda kidogo tu ukabadilisha hiyo namba kwa kuorodhesha majina ya vyuo kwa kuwa tayari unayo idadi ina maana unavifahamu.

Pili Umesema umechagua Baraza la mitihani kama mfano kwa sababu ya unyeti wake na kigezo kingine kilichopelekea uchague baraza la mitihani ni kwamba Baraza hilo halijawahi kuongozwa na Muislam.

Tukiangalia utendaji wa baraza la mitihani lipo chini ya wizara ya elimu. Na hili halijawahi kubadilika tangu tupate uhuru hadi leo.

Mkurugenzi wa idara hii ki-utumishi anawajibika kwa katibu mkuu wa wizara. Hata mipango yote ya baraza haiwezi kutekelezwa bila baraka za katibu wa wizara pamoja na waziri wa elimu.

Kwa maana nyingine ni kwamba mkurugenzi wa baraza la mitihani ni sehemu tu ya wakurugenzi wengine wa wizara ya elimu na wala hana kauli ya mwisho katika mambo ya mitihani. Ndio maana wizara ilipoamua kuchakachua mitihani ya kidato cha nne hakuwa na ubavu wowote wa kupinga kulingana na muundo mbovu wa wizara na utataratibu mbovu wa nchi yetu na viongozi wengi wa sasa kutoheshimu sheria inayounda Baraza la mitihani

Waziri wa elimu ndio kiongozi mkuu wa sera ya elimu ambayo inatekelezwa na baraza la mitihani.

Kwa vile mkurugenzi ni mtekelezaji tu (executive) wa maelekezo na sera za wizara kuhusu elimu na mitihani inashangaza unaposema kwa ujasiri kwamba chombo hicho hakijawahi kuongozwa na muislam.

Sasa tukirejea historia ya wizara husika miongoni mwa viongozi maarufu waislam waliopata kuongoza wizara ya elimu ni pamoja Kighoma Malima na Athumani Kapuya. Hawa walikuwa viongozi wa wizara ya elimu wakiwa tayari ni maprofesa na Profesa maana yake anao upeo wa juu kabisa katika maswala yahusuyo taaluma. Kwa hiyo wao kipindi chote hicho walichoongoza wizara hiyo hawakuona tatizo ambalo nyie mmeliona sasa.

Pia hivi karibuni kabla ya mabadiliko waziri na katibu mkuu wa wizara ya elimu wote walikuwa ni waislam. Na matokeo ya shule za kiislam yamekuwa mabovu tangu enzi hizo za kina Malima na yamekuwa mabaya zaidi mwaka jana ambapo Viongozi wakuu wa wizara ya elimu wote ni waislam (katibu mkuu na waziri).

Ni vema kufahamu kwamba hata kama mtendaji wa baraza akiwa muislam bado hatawafanyia mitihani watoto wa kiislam na haitatungwa mitihani maalum ya waislam ili wafaulu. Hata wakifaulishwa kwa udanganyifu watapata vyeti lakini hawatapata elimu inayohitajika kuwasaidia kutatua changamoto zinazowazunguka, sana sana watakaa kusubiri ofa nyingine tena kwa sababu wameshajengewa fikra tegemezi badala ya kutumia vichwa vyao.

Hawa viongozi lukuki waislamu waliopo madarakani sasa wamewasaidia nini waislamu makabwela?.
Tuchukue Mikoa ya Dar es Salaam, Pwani, Lindi na Mtwara kama mfano ambako asilimia kubwa viongozi wake ni waislam, mahospitalini ukienda mwananyamala temeke muhimbili n.k wajawazito waislam na wasio waislam wote wamelala chini. Ukienda mikoa ya kusini hospitali za serikali ziko hoi, wengi wanategemea huduma za hospitali za makanisa.

Shule nyingi za umma watoto wanakaa chini wakiwemo waislam, shule zilizo chini ya taasisi za kiislam na zile za umma katika mikoa hiyo ndizo zilizo na matokeo mabaya zaidi.

Mikoa hiyo ndio inaongoza kwa watoto kupata mimba katika umri mdogo, kuolewa na kuacha shule. Watoto wanatoroka shule au wanafika shule kwa kuchelewa na hakuna mzazi anayeshtuka kufuatilia mtoto wake amejifunza nini, ila wanatarajia malaika atawashushia majibu siku ya mitihani wafaulu.

Wakifeli wanajua kuna sehemu ya kupeleka lawama, mfumo kristo wa baraza la mitihani na Mkurugenzi wake.

Hizo siasa za misikitini zinatumika kama madaraja na vichaka tu, wakishawatumia wanawatupilia mbali kama kondomu.

Mfano halisi ni huu: Mgombea wa urais muislam na makamu wake muislam walitembea nchi nzima wakiwalaghai muwachague ili wawape mahakama ya kadhi huku wakijua katiba ya nchi hairuhusu kitu kama hicho. Walipopata madaraka hayo wamewapeni hiyo mahakama?.

Mwisho narudia kusisitiza acheni kuwadanganya wenzenu na kuwaangamiza.

Wanaoshabikia na kueneza sumu kwa watoto wa maskini watoto wao wapo shule nzuri tu wala hutawakuta shule kama Jabal-Hilal.


Kwa kukumbusha tu ni kwamba, Tangu Julius anga'atuke ni miaka 28 sasa imepita. Katika kipindi hicho marais waislam wameongoza mika 18 hadi sasa na katika kipindi cha miaka 28 kumekuwa na makamu wa rais waislam kwa kipindi cha zaidi ya miaka 20.

Kwa kuzingatia mamlaka ya uteuzi aliyonayo rais ni wazi kwamba wengi kati ya uliyowataja (iwapo tutakubaliana na takwimu zako) wengi wao wameteuliwa na marais waislam.

Huo mfumo kristo unajengwa na waislam?.

Tafakari chukua hatua.

Mtu Mzima
 
Last edited by a moderator:
Daktari kahtaan kuntu maneno yako dhidi yangu nami nasema radhiyaatan.

Hoja iliyoo mbele yetu ni moja. MS kamleta mzee Mshume Kiyate akimvisha Nyerere kitambi.
Kiyate ni mmoja wa wazee wetu waliosahahulika. Vipi tuwaenzi vipi zaidi ya kusoma vipande vya magazeti.
Nini kifanyike ili tusijerudi jamvini kujadili jambo hili bali twende mbele zaidi kupendekeza nini wafanyiwe.

Tukivurumisha matusi, aa! haifa si katika hekma si katika uungwana na wala adabu za mnakasha haziruhusu. Muulize maarufu Mohamed Said. Tusiangaliane kama Nguruwe na muumini, tuangalie hoja zinasema nini.
Hoja ndio hiyo,tafadhali unusuru ulimi maana umezungumziwa huo na adha zake.

"Islami's role in Tanzania's freedom struggle" ndiyo hoja iliyopo mbele. Wewe kwenye bandiko lako si umeishasema wenye akili wanajadili maendelo wengine wanajadili kuwapa majina za barabara watu wao!
 
Last edited by a moderator:
I think you would have posted "Islam's role in killing people in the name of their God and get gifted 72 virgins"
so you mean, they are craving for virgin enchantress/goddess:amen:. ha ha ha ha

with respect of freedom of speech, i think we all aware of our differences and similarities in perception. i'm personally neither fan of Nyerere nor his predecessors. but with all due respect, we are all aware of popularity and reputation which Nyerere gained, that made him the father of this nation, who fight against all inequalities and has successful unite Tanzanians. so our freedom of thinking will be in jeopardy if we allow few people who carrying bad intentions to brainwash us through perpetuating their irrational and narrow minded thought against the father of the nation.
 
Eid Mubarak Polite, nakutakia heri ili ufunguke macho na ufuate imani yako vema. Ritz kasema Uislam ni mfumo mzima wa maisha, je hayo uliyoandika ndio yanawakilisha mfumo huo?


minalfaidhina.ndo naingia jf xaxa.

ndio.hayo niliyoandika ndo yanawakilisha mfumo huo.kupinga uongo na dhulma.

biblia inasema wapumbavu tuwakatae huo ni mfumo wa wakristu.

unastajabu nilichoandika wakati biblia unayo mkononi.

mabubu viziwi na vipofu hawatorejea= quran 2

Wewe ni bubu kiziwi na kipofu.
 
Last edited by a moderator:
MSHUME+KIYATE.jpg

Hii ni picha ya Mshume Kiyate na Julius Kambarage Nyerere.
Habari za urafiki wa wapigania uhuru hawa zinaweza kujaza kitabu kizima.

Itoshe tu kusema kuwa kuanzia mwaka 1955 mpaka uhuru ulipopatikana na
baada ya hapo Mzee Mshume Kiyate alikuwa ndiye mwana TANU katika Baraza la
Wazee wa TANU ambae alijitolea kuangalia nyumba ya Mwalimu Nyerere kuanzia
chakula chake hadi mahitaji mengine.

Mzee Mshume alisema kuwa si haki kwa TANU kumpa Nyerere kazi ya kupambana na
Waingereza na kumwachia ahangaike na mambo ya chakula na nguo za mkewe na wanae.

Mzee Mshume alijitolea kuikimu famila ya Nyerere...
Yapo mengi.

Vipi unashauri ukoo wa Mshume Kiyate ulipwe kwa kumsaidia Julius Nyerere?

Unadhani Mshume Kiyate angekuwa hai angedai malipo?

Au angesimama na kutangaza haya kama ufanyavyo?

Je watanzania tumfanyaje Mshume Kiyate?

Wakati wa uhai wa Mzee Kiyate aliwahi kusimama-hadharani ama mafichoni na kudai fidia/malipo ya kumsaidi Nyerere wakati wa ukombozi?

Unapokuwa mzee halafu ukawa mnafiki na mzandiki unakosa thamani hata kwa Mungu wako
 
Nguruvi3, mtu yoyote akisoma hilo bandiko lako ataona chuki zako za wazi dhidi ya Waislam na Uslam.

Matusi na kashfa ulizoandika zimekushusha sana nakushauri pambana na CCM siyo Uislam.

Uislam kwangu ni kama mchoro wa jengo uliorembwa vizuri. Sehemu zake zote zinaonekana kushikanb na kutegemeana vizuri, hakuna kilichopungua, na hii ni matokeo ya mpangilio bora na makini.

Wewe na Chadema wenzako mnapoteza muda wenu bure kupambana na Uislam.

ha ha yeye ni bubu kiziwi na kipofu.ni kama kutwanga maji kwenye kinu
 
Last edited by a moderator:
Nguruvi3, mtu yoyote akisoma hilo bandiko lako ataona chuki zako za wazi dhidi ya Waislam na Uslam.

Matusi na kashfa ulizoandika zimekushusha sana nakushauri pambana na CCM siyo Uislam.

Uislam kwangu ni kama mchoro wa jengo uliorembwa vizuri. Sehemu zake zote zinaonekana kushikanb na kutegemeana vizuri, hakuna kilichopungua, na hii ni matokeo ya mpangilio bora na makini.

Wewe na Chadema wenzako mnapoteza muda wenu bure kupambana na Uislam.
@Ritz hebu onyesha kwa dhati matusi na kashfa dhidi ya imani. Siku zote msimamo wangu ni kuheshimu kile mtu anachokiamini na wala si kubambikia mtu au kushinikiza kwa namna yoyote. Nasema thibitisha maneno yako kuwa ninachuki na Uislam.

Kama hutaweza kuonyesha tafuta spinning nyingine.

Hoja zinapiga mfupa, nasikitika lakini ndio mnakasha
 
Vipi unashauri ukoo wa Mshume Kiyate ulipwe kwa kumsaidia Julius Nyerere?

Unadhani Mshume Kiyate angekuwa hai angedai malipo?

Au angesimama na kutangaza haya kama ufanyavyo?

Je watanzania tumfanyaje Mshume Kiyate?

Wakati wa uhai wa Mzee Kiyate aliwahi kusimama-hadharani ama mafichoni na kudai fidia/malipo ya kumsaidi Nyerere wakati wa ukombozi?

Unapokuwa mzee halafu ukawa mnafiki na mzandiki unakosa thamani hata kwa Mungu wako

Kijana nilishakuonya huko nyuma!
Unapoongea na wazee wenye elimu kuliko hao unao waheshimu jaribu kuwa na adabu!

Mbona nyie vijana mnakuwa kama watoto wa mitaani?
Au ulilelewa bila baba wewe?
Mnfnssssssssss!

Huna adabu kabisa!
 
Daktari kahtaan kuntu maneno yako dhidi yangu nami nasema radhiyaatan.

Hoja iliyoo mbele yetu ni moja. MS kamleta mzee Mshume Kiyate akimvisha Nyerere kitambi.
Kiyate ni mmoja wa wazee wetu waliosahahulika. Vipi tuwaenzi vipi zaidi ya kusoma vipande vya magazeti.
Nini kifanyike ili tusijerudi jamvini kujadili jambo hili bali twende mbele zaidi kupendekeza nini wafanyiwe.

Tukivurumisha matusi, aa! haifa si katika hekma si katika uungwana na wala adabu za mnakasha haziruhusu. Muulize maarufu Mohamed Said. Tusiangaliane kama Nguruwe na muumini, tuangalie hoja zinasema nini.
Hoja ndio hiyo,tafadhali unusuru ulimi maana umezungumziwa huo na adha zake.


Ntakukumbusha msemo mmoja hapa!
Waungwana wanasema! AFANYAE DHULMA ADUI ! LKN ATETEAE DHULMA NI ADUI NA DHALIM!

Wewe jamaa yetu juu ya dhulma iliyofanyika miaka hio na inayo endelea kuhusu hawa waungwana na huyo swahiba yako Nyerere! SI TU UMESHINDWA KUIKEMEA BALI UNAITETEA NA KUJARIBU KULETA MANENO YA FEDHEHA NA KEJELI!
Amma ubaya huu utakudhuru mwenyewe!

Uzi unaongelea ISLAM'S ROLE in Tanzania freedom!

Sasa kama huyo MSHUTE ALIKUWA PART OF ISLAM anaweza kujadiliwa pamoja na wale mashujaa wengine!

La! Kama sio, wewe na wenzako kumtaja hapa ni KUJARIBU KUUHARIBU HUU UZI! na kupoteza lengo lote la mnakasha huu.

Hamtaki kukubali yale waliofanyiwa hao tuliowataja mbeleni . Mnamuingiza Mshute!!.

Grow up! Usimwige yule mzee wa butiama kuwa na tabia ya sura nyingi!

Kama unakereheka na hili basi anzisha uzi wako wenye TITLE INGINE.


THIS thread remains' as:-

ISLAM'S ROLE IN TANZANIA FREEDOM STRUGGLE.
 
Last edited by a moderator:
Khairi inshallah nashukuru al habib. Maneno yakiwa kama ya nguruwe si tatizo, jiulize kama yana mantiki na yana tija kwako?

Ninaposoma matusi yenu dhidi yangu najisikia faraja kwasababu hoja zangu zimesimama zenyewe hazina majibu bali majibu ya matusi. Siku zote matusi ndiyo silaha nyepesi, nzuri na ya haraka kwa asiye na hoja.

Ninahakika nimewachoma lakini sindano inauma sana, tunaipenda ni dawa.
Ningalikuwa na nmana nyngine pengine ningeisema, tatizo mimi humuangalia nyani usoni wakati namshughulikia.

Waungwana, hivi mnajisikiaje mwenzenu akitoa hoja nanyi mkijibu matusi?
Nimeuliza mnachotaka hawa watu kueziwa ni kipi msichokisema?

Ninajua mnataka mitaa ipewe majina yao, je hilo litabadili maisha yenu au ya jamii inayowazunguka.
Hilo lita improve pass mark za wanafunzi wa jabal hilal, al farook au masjid quba!


Wewe ni ktk wale fisi waliovaa ngozi ya mbuzi!
Unashusha thamani yako kwa bei ndoogo kabisa! Huna aibu kutetea dhulma wewe?
Halafu tuseme wewe na huyo nyerere ni tumbo moja! Iweje wewe unatumia maneno kama " inshallah" Mwenyezi Mungu" na mengi yatumiwayo na waungwana bila hata HAYA KIDOGO??
Hata yule maluun wa taifa hakufikia kusema inshallah!! We umepitiliza!

Unasingizia kuwa eti sisi tunataka mitaa ibadilishwe hali ukisisitiza tujenge hoja!
Mtu mzima huna aibu? Wapi ktk jukwaa hili umeskia mimi au shariff Ritz au maulana gombesugu au al akhiy Tayeb au maalim CHAMVIGA na ustaadh Boko haram na waungwana wengi tumesema hayo unayo tutilia midomoni kwetu??
Hebu onyesha hapa kama wewe si ktk wale majahill wanao tetea dhulma!
Halafu ukiambiwa wewe ni munafiq unasema unatukanwa!
Sasa labd tukae kimya! Manake kukwambia uyatayo wewe haiwezekani!!
 
Last edited by a moderator:
Religion is the Opium of the masses ~Karl Max

The problem of copy and paste sometime could bit your back!
So pinno what you said here! What is got to do with what we are discussing here!!?

Au ndio nyie mnaodandia treni kwa mbele!

I wonder!!
 
Last edited by a moderator:
Vipi unashauri ukoo wa Mshume Kiyate ulipwe kwa kumsaidia Julius Nyerere?

Unadhani Mshume Kiyate angekuwa hai angedai malipo?

Au angesimama na kutangaza haya kama ufanyavyo?

Je watanzania tumfanyaje Mshume Kiyate?

Wakati wa uhai wa Mzee Kiyate aliwahi kusimama-hadharani ama mafichoni na kudai fidia/malipo ya kumsaidi Nyerere wakati wa ukombozi?

Unapokuwa mzee halafu ukawa mnafiki na mzandiki unakosa thamani hata kwa Mungu wako

Haya maswali unatakiwa uwatatfute ukoo wa mzee Kiyate uwaulize wao!

Mzee Mohamed Said alichofanya ni kukuwekea wewe na hao wenzako chakula juu ya meza!
Wewe unataka bado akulishe??
Ajabu!

Hio Ndio tunaiita ihsani ya punda! Ni teke la utupu!

Cc Manundu 1
 
Last edited by a moderator:
Uzi unaongelea ISLAM'S ROLE in Tanzania freedom!
Sasa kama huyo MSHUTE ALIKUWA PART OF ISLAM anaweza kujadiliwa pamoja na wale mashujaa wengine!
La! Kama sio, wewe na wenzako kumtaja hapa ni KUJARIBU KUUHARIBU HUU UZI! na kupoteza lengo lote la mnakasha huu.Hamtaki kukubali yale waliofanyiwa hao tuliowataja mbeleni . Mnamuingiza Mshute!!.

Kama unakereheka na hili basi anzisha uzi wako wenye TITLE INGINE.
THIS thread remains' as:- ISLAM'S ROLE IN TANZANIA FREEDOM STRUGGLE.
Wrong! dear Daktari.
Please read the following synopsis on same thread.
nngu007;7467411
Said has moving stories to tell of patriotism and sacrifice.

There is the story of Tanu stalwart Mzee Mshume Kiyate, whose contribution as party financier and close friend of Nyerere's family has never
been acknowledged.

Kiyate was a prominent fishmonger at Kariakoo in Dar es Salaam when he met Nyerere in early 1950s; he was to become friend and mentor to the young leader.


Also forgotten are patriots like Said Chamwenyewe, who presented Tanu's appeal to the United Nations Visiting Missions to the Mandate Territories when it visited Tanganyika in 1955.

Chamwenyewe had earlier mobilised the first Tanu members from Rufiji in 1954, visiting villages on a bicycle to campaign for Tanu, collecting funds from members and turning the money over to Tanu treasurer Idd Faiz Mafongo without asking anything for himself.
Nothing is today known about the fate of these people.

There are pictures of a young Nyerere surrounded by Muslims townsmen in kanzu and other paraphernalia - people like Issa Nassir, Sheikh Haidar Mwinyimvua, Mwinjuma Mwinyikambi, Jumbe Tambaza, Sheikh Suleiman Takadir, Mshume Kiyate, Said Chamwenyewe and many others.


There is one touching photograph of Nyerere with Mzee Mshume Kiyate taken soon after the army mutiny of January 20, 1964, showing Mshume covering Mwalimu with a piece of cloth traditionally worn by people from the coast known as "kitambi" or "msuli."
Mzee Mshume died in the early 1970s, alone, poor and forgotten.

The book ventures into the uncharted terrain of Islam as an ideology of colonial resistance, depicting the central role of Muslims in the struggle against the British, a topic still considered a no-go zone in Tanzania.

Mohamed Said deserves kudos for documenting this important chapter in the history of nationalism in Tanganyika.
Katika habari iliyopo Mzee Mshume Kiyate ametajwa mara 6 na ndiye aliyetajwa mara nyingi kuliko watu wote katika thread.
kahtaan, si mimi ninaye mtaja ni thread inamtaja na kumpa hadhi.
Mohaemd Said ameleta picha na maelezo ya Mshume Kiyate kuthibitisha umuhimu wake katika nyuzi.

U
muhimu zaidi ni pale alipotajwa kama mentor wa Nyerere the young leader ambaye hukuwa acknowledged.
Kiyate ametajwa miongoni mwa watu wasiojulikana leo hii(maandishi mekundu)
Mzee mshume ametajwa kufariki akiwa mwenyewe na masikini.

Kwa mantiki hiyo mimi kumtaja mzee Kiyate si kejeli kama ni kejeli basi aliyeanzisha ni Mohamed Said kama nilivyomnukuu hapo juu na mara ngapi amemtaja.

Hoja ya pili, nina sababu za msingi kuhoji kuwa ni vipi tuwaenzi wazee hawa.
Swali hilo kauliza chamvinga na Mohamed Said. Ukisoma nukuu hapo juu Mohamed Said amesema maneno yanayohitaji watu hawa kuenziwa.

Kama unadhani mimi kuuliza ni karaha basi Mohamed Said akane maneno yake na chamvinga aombe radhi nami nitakuwa wa mwisho kwasababu ni wa mwisho kutumia na kuuliza swali yale yale yalioulizwa na wenzenu.

Kwa muktadha huo SWALI LA NI KWA NJIA GANI ninyi mnapendekeza wazee hao waenziwe linabaki na umuhimu wake. Hoja ya kusema title ni Islam's role ni njia ya kukwepa msumari mzito unaowakabili.

Tatu, hata unaposema title ni Islam's role in Tanzania's freedom struggle bado kuna utata.
Mohamed Said mwenye maandiko amesema hapo mwisho '....history of nationalism in Tanzania' akimaanisha historia ya utaifaTanzania.

Ukinisoma vizuri nimeepuka sana kusema historia ya imani fulani kwasababu ninasoma between the lines, ninaelewa ninasoma nini na kina maana gani kwasababu zipi.

Swali langu limekuwa vipi tuwaenzi wazee hawa. Sijasema tuwaenzi wazee hawa wa imani fulani.
Nafahamu mwisho wa maadishi Mwandishi Mohamed alikusudia nini.

Utaweza kuelewa kama mimi ukiacha jazba, ushabiki. Ukitanguliza fikra zaidi ya mitusi.
Hili ndugu Daktari ninaona aibu lakini sinabudi kukuambia off point you have no ground to stand.

Mwisho sipo hapa kumpendeza mtu, sipo hapa kupongezana nipo hapa kueleza maoni yangu kama mtu huru.

Uzi umekuja na tunautendea haki, kama kukupa facts ni kuharibu uzi, guess what I'm here to stay.
I will stand toe to toe with contender not pretender. If you can take the heat get out kitchen.

Daktari mjulie hali ahli na familia, hakika sisi hatujambo.

Maslaam
 
Last edited by a moderator:
Back
Top Bottom