Islam’s role in Tanzania’s freedom struggle

Islam’s role in Tanzania’s freedom struggle

Ndio nakujibu!
Wewe Andiko la imani yako hulijui!
Vipi utaweza kujua habari ya SHIA NA SUNNI!
Hebu nikuulize maswali mawili tu!

Kwa mujibu wa andiko lako
1.Nini maana ya utatu mtakatifu?

2.Na je kuna taifa la kikristo lilishawahi kula kinyesi?

Hebu jibu fasta hapa kabla hujatuchafulia uzi!

Nani kakwambia bibilia ni andiko langu. Jifunze kwanza kuruani kwakujibu maswali yangu. Angalia signature yangu. Swali: shia wanasema ali ndiye mrithi halali baada ya muahamadi kufa. Tena ameandikwa kwenya kuruani kuliko abubakari na omary. Na wanasema kuruani ilichakachuliwa ili kuuficha ukweli huo. Na ndio sababu ya ugomvi wenu waislamu. Je nikweli?
 
Ritz, kahtaan.

Ukristo, uislamu , dini zote zimeua watu sana. Lakini ukristo umepitia reformation. Ndio maana hata nchi zenye asili ya kikristo hazitaki ukristo kwenye mambo ya serekali kwasababu watu walishirikisha ubongo kuangalia ukristo wakaona ibaki kuwa kitu cha mtu binafsi.
Uislam umekataza kuuwa wala hauna historia hiyo labda tufahamishe kutoka kwenye Quran.
 
Nani kakwambia bibilia ni andiko langu. Jifunze kwanza kuruani kwakujibu maswali yangu. Angalia signature yangu. Swali: shia wanasema ali ndiye mrithi halali baada ya muahamadi kufa. Tena ameandikwa kwenya kuruani kuliko abubakari na omary. Na wanasema kuruani ilichakachuliwa ili kuuficha ukweli huo. Na ndio sababu ya ugomvi wenu waislamu. Je nikweli?

Hio signature yako mi sioni wala sina haja ya kuona!
We unasema vitu kutoka midomoni kwa watu! Mi naongea kwa ushahidi!
Nipe ushahidi wa maandishi! Wapi SHIA WANADAI HAYO MADAI ULIOANDIKA HAPO JUU??
Hizo ndio zile redio kifua! Na maneno ya kwenye vibaraza vya pombe za kienyeji!

Tafuta kitabu cha SHIA! soma ndio utaelewa tofauti ya hayo matabaka mawili!

Na kabla sijaendelea zaidi hebu jitambulishe hapa! Je wewe mgalatia? Au shia?
Manake nina mikoba mingi hapa! Nafanya kuchomoa chomoa tu.
Sasa nataka kujua wewe uko wapi ili niufungue woote jumla!
Haya fanya fasta!
Mr loooooong name!
 
Dr. kahtaan.

Niwe radhi ngoja nikuachie huyu kiumbe.

Shariff Ritz usinifanye nicheke maalimu wangu!
😀😀

We ukikosekana hapa! Kaka siku yote imeharibika!
Tafadhali usituache peke yetu! Tunahitaji hekima zako. Ili tuwakumbushe hawa vijana wa juzi.

Jazakallah kheir.
 
Last edited by a moderator:

Wewe sindio mtaalamu. Unajua bibilia na kuruani. Silazima ujue naamini nini ndio unijibu. Tatizo bongo mashehe ubwabwa wengi alafu mnaleta fujo na uislamu wenu wa kupangifoleni kwa baghresa kupata mchele. Mimi nimefanya home work yangu. Na wewe fanya home work yako. Na ninakuaidi kukupa reference ya swali langu la ugommvi wa shia na sunii. Kama ulivyosema tusijaze servers hapa take your time utafute jibu unaloliamini. Usije ukachekesha
 
Nani kakwambia bibilia ni andiko langu. Jifunze kwanza kuruani kwakujibu maswali yangu. Angalia signature yangu. Swali: shia wanasema ali ndiye mrithi halali baada ya muahamadi kufa. Tena ameandikwa kwenya kuruani kuliko abubakari na omary. Na wanasema kuruani ilichakachuliwa ili kuuficha ukweli huo. Na ndio sababu ya ugomvi wenu waislamu. Je nikweli?

Labda kukusaidia tu! Manake huenda hata unachotaka kufahamu hujui uanzie wapi!
Suala muhimu kama hili usiulize tu humu jf ukitegemea utapata majibu 100%! La hasha! Huenda unae muuliza ni SHIA AU SUNNI! Na jibu utakalopewa huenda likawa la upande mmoja!
Mwenye busara huanza kusoma kwanza! Halafu akauliza kile ambacho hajaelewa!
Sasa ukitaka kujua msimamo wa SUNNI nenda kasome Quraan.
Na ukitaka kujua msimamo wa SHIA tafuta kitabu kinachoitwa USUL LKAAFI.

Kaa chini soma kwa raha zako. Halafu njoo hapa uulize maswali yanayo kusumbua.
Sio kuskia maneno mtaani. Na wewe unakuja mbio hapa! Unaweza kupewa jibu ukaenda gombana na mkeo/mumeo bure!!
 
Nimekwambia nimeshafanya homework yangu. Nipe jibu lako wewe kama muislam. Au ndio inamajibu mawili?
 
Nimekwambia nimeshafanya homework yangu. Nipe jibu lako wewe kama muislam. Au ndio inamajibu mawili?

Sasa si unionyeshe hio homework yako??

Basi homework zikiwa za mdomo tu. Wapi nikusahihishe!?
Mbona unakuwa mgumu kuelewa!!?
Hayo maneno au madai ulio andika hapo juu UMETOA KWENYE KITABU GANI??
UKURASA GANI?? NA MWANDISHI WA HICHO KITABU NANI??
bla..bla..blaa. hapa sio mahala pake!!
Ukitaka washabiki wa bla.bla.bla.
Nenda kule kwenye mipasho! Na maneno ya uswahilini!
Hapa bila ushahidi wa MAANDISHI HAKUNA UTAKALO SAIDIWA!
La ushauri tu kuwa. Siku yyt USIPOKEE MANENO KUTOKA REDIO VIFUA HALAFU UKAYATIA AKILINI.
Siku moja Utakuja athirika vibaya.

Ni mfano wa wale walioambiwa kuwa 22/12/ 2012 ndio mwisho wa dunia!
Watu wakauza nyumba zao na wengine wakaamua kunywa mpaka wakafa.
Kuamka asubuhi jua limechomoza kama kawaida.
 
Shariff Ritz usinifanye nicheke maalimu wangu!
😀😀

We ukikosekana hapa! Kaka siku yote imeharibika!
Tafadhali usituache peke yetu! Tunahitaji hekima zako. Ili tuwakumbushe hawa vijana wa juzi.

Jazakallah kheir.
Dr. kahtaan.

Ni aibu huyu kiumbe tujadiliane nae wote, mpe mipini nakusoma.
 
Last edited by a moderator:
Hio signature yako mi sioni wala sina haja ya kuona!
We unasema vitu kutoka midomoni kwa watu! Mi naongea kwa ushahidi!
Nipe ushahidi wa maandishi! Wapi SHIA WANADAI HAYO MADAI ULIOANDIKA HAPO JUU??
Hizo ndio zile redio kifua! Na maneno ya kwenye vibaraza vya pombe za kienyeji!

Tafuta kitabu cha SHIA! soma ndio utaelewa tofauti ya hayo matabaka mawili!

Na kabla sijaendelea zaidi hebu jitambulishe hapa! Je wewe mgalatia? Au shia?
Manake nina mikoba mingi hapa! Nafanya kuchomoa chomoa tu.
Sasa nataka kujua wewe uko wapi ili niufungue woote jumla!
Haya fanya fasta!
Mr loooooong name!

Hakiyamungu nimecheka sana,

Umesema hapo ulipo una mikoba mingi??

Kwaiyo ajitambulishe ili ujue unachomoa mkoba gani siyo??

Teh Teh Teh...😎😎
 
Hakiyamungu nimecheka sana,

Umesema hapo ulipo una mikoba mingi??

Kwaiyo ajitambulishe ili ujue unachomoa mkoba gani siyo??

Teh Teh Teh...😎😎

Teh teh teh teh!

Al akhyi THE BIG SHOW wallahi hawa watu wengine maneno yao hayako makini! Mara hivi mara vile.

Sasa huenda akawa ni nguchiro mdoogo anatoa toa kichwa mi nikafungua mkoba wa AK47.
kumbe rungu tu linamtosha!

Walahi uislamu raha sana!
Tuko pamoja maalim.
 
Last edited by a moderator:
Al shariff Ritz naona nguchiro wote wamerudi mashimo!
Sasa naomba rukhsa kidogo nitoke hewani.
Inshallah baadae!
Nakuachia rungu wewe na ma ulamaa wengine humu !
Wala hakuna cha nimekoma! We wape za vichwa tu!
Fii amani lllah.
 
Teh teh teh! Walaahi nakupa ruksa mipini yako inabaki Mubashar.
 
Last edited by a moderator:
Nguruvi3,

Ukichelewa kutufahamisha alokunyofoa govi lako hapa...sisi itabidi tuingie upande wa "Baba Wa Taifa"!? Kwi! Kwi! Kwi!

Si unajua Mwalimu alikua yale mambo flani ivi hajaondoa kwa miaka mingi mpaka Wazee Wetu wakampeleka kufanyiwa pale Tuangoma kwa Marehemu Mzee Mbonde Bin Shaaban!? kwi! Kwi! Kwi!

Huyo Mzee wa Kingindo,ndo alokua Nyakanga wa Mwalimu Nyerere,na pesa ya shughuli hiyo ililipwa na Sheikh Abdallah Bin Kau Bin Kunyamale! Kwi! Kwi! Kw!

Mimi binafsi ninayo picha ya Sheikh Abdallah Kau,kapiga na yule Nyerere!...kama Sheikh Mohamed Said ataihitaji nitampatia aweke kwenye toleo lijalo la kitabu chetu!? Kwi!" Kwi ! Kwi!

Ahsanta.

ndugu yangu Ritz hayo matusi si mazuri kwa baba wa taifa. Jadili kwa hekima na heshima.
Muacheni Nyerere apumzike,
 
Last edited by a moderator:
ndugu yangu Ritz hayo matusi si mazuri kwa baba wa taifa. Jadili kwa hekima na heshima.
Muacheni Nyerere apumzike,
Toa unafiki wewe wazee wetu, baba zetu wanatukanwa humu wanaitwa Stupid, wauza kahawa, wakaa vibarazani, akili za madrasa, Madhalim, mbona hauonekani kuwatetea.
 
Last edited by a moderator:
Nguruvi3.

Watu hawataki hadith za Bulicheka na mke wake Elizabeti.

Umesema pesa za mradi darul islam kibaha zimeliwa na Waislam ambao walikuwa kwenye kama na ushahidi unao JF siyo sehemu ya porojo tuwekee huo ushahidi.

Usipouweka nakuweka kwenye list yangu ya wazee wa mipasho wa JF.

Cc: Dr. kahtaan mujitahid Tayeb.

Al habib Ritz,

Huyo Nguruvi3 ni sawa na mfa maji tu teh teh teh!

Ni bingwa wa kuzua huyo kwi kwi kwi!!
 
Last edited by a moderator:
Wanajamvi. Amani ya mungu iwe juu yenu wote!
NAOMBA RADHI.

Mi nataka kutoka nje ya mada kidogo.

Unajua toka mwanzo bwana Nguruvi3 na mwenzake Mag3 wamekua wakipeenda sana kutumia maneno kama "inshallah" jazakallah" assalamu alaikum" na meengi ambayo kwa.watu wasio wajua unaweza kupumbaika Wakadhani hawa na WAISLAMU!
Kumbe maskini za mungu bado wako ktk ukafiri!
(Tafadhali msiseme ukafiri ni kashfa! La hasha! Hiki ni cheo)

Sasa mi ushauri wangu ni kuwa, kwa nini wasiingie jumla tu! Wakawa na wao ktk mufaizuun! Tena hasa huyu Nguruvi3 manake wabondei kumfundisha quraan ni kazi ya ziada lkn huyu anaonekana amekaa sana na wadigo! Zile lahja za kiislamu anazo tena kwa wingi tu!

Sasa mimi bwana Nguruvi3 nakukaribisha ktk UISLAMU bwana!

Huku kaka hakuna cha kubatizwa wala kunyweshwa sijui damu ya bwana wala ya mwana!

We ikifika ramadhani si unaona mwenyewe!? Mambo ni faluda. Mihamri. Vibibi, futari za nazi. Na mengi mengineyo!

Wachana na hayo ma kitimoto na uchafu mingine.
Au unasemaje?? Hata kama hujatiwa sunnah (hujatairi) unakaribishwa hivo hivo!
Tutakutahiri mbele ya safari.TENA BURE!
Na kama huna jiko! Basi nasema hadharani hapa kuwa gharama za harusi juu yangu.
Haya ofa hio utaikubali??

Dr. kahtaan,

Hiyo nondo uloshusha hapo inanikumbusha mbali sana teh teh teh teh!!

Hivi yule kiumbe anaitwa MaxShimba yuko wapi siku hizi? kwi kwi kwi!!
 
Last edited by a moderator:
Back
Top Bottom