Neither do i!!
Ni ipi sababu ya wewe kuweka haya maelezo yako?
Huenda ukawa unasahau yale unayosema hapa
Lengo lako ni zaidi ya kushinda hapa
Unataka kuwaaminisha Watanzania kuwa kuna watu wamesahauliwa kimakusudi kwa sababu ya dini yao
Unataka watu waamini kuwa Uhuru wa nchi hii ulipiganiwa na Waislam kwa kiwango kikubwa na sababu ya kufanya hivyo ni dini yao
Au unakana na hayo
Mzee Said wewe una haki ya kusema chochote lakini jambo hilo linapokuwa ni la maslahi ya nchi na kichochezi kama yako inatakiwa ufikirie zaidi,sio kila kitu kinaandikwa tu
Unaweza kuwa unajua historia lakini hilo sio suala,suala hapa ni kuwa hicho unachoandika hapa ni kweli ama la
Ndio maana nikakuuliza maswali ambayo bahati mbaya hujayajibu na sababu za kufanya hivyo unazijua wewe mwenyewe
Inamaana hadi sasa hujajua nimekuuliza kuhusu nini?
Nikuambie mara ngapi kuwa hicho unachodai kujua kina mashaka?
Unadai kuwa unajua kuhusu historia ambayo ina mashaka ndani yake wewe huoni hilo ni tatizo?
Na matatizo yameanzia pale nilipokuuliza kuhusiana na madai yako kuwa Waislam ndio waliopigania uhuru na Uislam ndio iliyokuwa itikadi,nikakuuliza hayo yaliwezekanaje hadi Nyerere akawa kwenye nafasi aliyokuwa nayo katikati ya watu ambao yeye hakuwa na itikadi ya harakati zao?[Uislam]
Hili hujajibu hadi sasa!
Ili tujue lengo lako sio hadi utuambie,tunaweza kuliona lengo lako kupitia maelezo yako tu
Na hilo ndilo lililokuwa lengo langu hasa lakini nasikitika hujanielewesha hadi sasa tofauti na kuleta assumption tu
Siko hapa kwaajili ya kuamini bali kutaka kujua
Kwani suala la ugomvi linakujaje hapa?
Inawezekana hujaelewa maelezo yangu,chukua muda uyasome tena ili uyaelewe
Hilo ni kweli kabisa
Mbona tayari nishaweka hapa na hujaelimika bado?
Nimekuelewa,tatizo wewe hujanielewa!
Eiyer,
Tumerudi pale tulipoanzia.
Kuhusu itikadi ya uhuru na Nyerere.
Kukueleza hapa habari za Al Jamiatul Islamiyya, Sheikh Hassan bin Amir na wengine wengi si
kazi ndogo.
Umaarufu wa kitabu changu umetokana na hayo na hao niliowataja hapo juu.
Kuhusu hayo mengine ya dhulma mimi siko peke yangu.
Wako wengine halikadhalika kama mie wamepita humo nilikopita tena wamenitangulia na wameandika.
Hebu angalia hapa chini nakuwekea taarifa za
Sivalon na
Bergen na haya nimeyasema katika kitabu changu.
Ukipenda msome Prof. Hamza Mustafa Njozi ''Mwembechai Killings...'' kasema hayo hayo.
Serikali imekipiga marufuku kitabu chake na hapa ninaposema serikali hujui la Kanisa lipi la serikali lipi.
Lakini kitabu cha Mbogoni ''The Crescent and the Cross'' kinauzwa.
Ndipo Waislam tunasema ''Mfumokristo'' ndiyo unaoendesha Tanzania.
Sasa nisome hapo chini:
[TABLE="width: 660"]
[TR]
[TD]At the moment there are two books in existence written by non-Muslims which proves that Christians have used their positions in the government to subvert Islam and Muslims.
Jan P van Bergen in his book,
Development and Religion in Tanzania, (1981)
[1] divulges
very incriminating information on former President Nyerere.
The book gives details of how during his rule Nyerere used to have private confidential meetings with Bishops to discuss the future of Tanzania.
In those meetings Nyerere is reported to have assured Bishops of his continued support to Christianity.
The work reveals how Nyerere guaranteed Christians a privileged position and backed his promise by appointing them to important positions in his government and party.
This book was on sale at the Catholic Bookshop, Dar es Salaam, and was hurriedly withdrawn from sale after it was realised that it was revealing highly confidential and sensitive information on Islam.[/TD]
[/TR]
[TR]
[TD]
The second book is by Dr John C. Sivalon, who in his expose, Kanisa Katoliki na Siasa ya Tanzania Bara 1953 Hadi 1985, [2] unmasks a conspiracy in the government to subvert Islam.
Sivalon revealed that the Catholic Church as far back as 1961 was worried by two prospects.
First, was the unity between the Muslim
madhheb (sect) of Sunni, Bohora, Ismailia and Ithnasheri in Tanganyika; and the second, was the transfer of the headquarters of the East African Muslim Welfare Society (EAMWS) from Mombasa to Dar es Salaam.
The Church was worried that the resources in the hands of rich Asian Muslim community in East Africa, coupled with the political power of African Muslims, particularly in Tanganyika, would endanger Christian interests in East Africa.
The Church therefore declared Islam as its enemy in the country and plotted to thwart its progress.[3] T
here are also two works by Muslim writers focusing on post-independence relations between the government and Muslims.
The first is an undergraduate dissertation by Dr K. Mayanja Kiwanuka, The Politics of Islam in Bukoba District (1973);
[4] and the second is a research paper Islam and Politics in Tanzania (1989)
[5] by the current author.[/TD]
[/TR]
[TR]
[TD]It was after reading Kiwanukas work in which he deduced that President Nyerere was justified in using his high office to prevent a parallel Muslim force from developing in the Tanzanian body politic to preserve national unity, that I as a Muslim first, and a patriot second, felt obligated to respond with a research paper to give the Muslim version of the crisis which for two decades remained unheard.[/TD]
[/TR]
[TR]
[TD]There is also the Kwikima Report (1968)
[6] which gives a detailed account of the Muslim crisis, its source and the role of the post-independence government in subverting Muslim unity.
This report is valid today as it was then.
It reveals how the Party, government and few Muslim bureaucrats used their political offices to put brakes on Islam in the belief that that particular decision was desirable as a matter of national interest.
The above five references are important to students of Tanzanian politics and history; and to anyone who wants to understand the source of religious sentiments engulfing the country.
All the above referred books, papers and reports, in their multiplicity of authorship and diversity in approach to the subject, prove the fact that there has been for almost a century a continuous conspiracy, first by colonising powers in Tanganyika, and then by African Christians, to relegate Islam and Muslims in free Tanzania.[/TD]
[/TR]
[/TABLE]
Bwana Eiyer,
Kwa Mswahili kukuambia ''hakuna ugomvi'' hiana maana mnagombana huo ni msemo tu na maana yake ni kuwa
''yote sawa'' kuashiria ameridhika.
Ama la kushinda.
Siwezi kujisikia raha kupata ushindi JF.
Ziko sehemu huzungumza na nikatoka moyo wangu kwatu kwa kueleza historia ya wazee wangu.
Kwa kumaliza nakufahamisha kuwa hapana ugomvi kwa wewe kuona kasoro katika historia hii niloandika na sasa
imedumu miaka 15 na ndiyo inayosomeshwa kwenye vyuo vingi.
[1] Jan P van Bergen,
Religion and Development in Tanzania, (Madras, 1981). passim.
[2] John C. Sivalon,
Kanisa Katoliki na Siasa ya Tanzania Bara 1953 Hadi 1985, (Ndanda, 1992).
[3] Ibid. p 37.
[4] K. Mayanja Kiwanuka,
The Politics of Islam in Bukoba District (1973), B.A. Thesis, University of Dar es Salaam.
[5] Mohamed Said, Islam and Politics in Tanzania (1989) and Tewa's unpublished manuscript A Probe In the History
of Islam in Tanzania, and Waikela's papers and newspaper cuttings on the crisis were of great help. This paper was
later published by
Al Haq International (Karachi) Vol. 1 No. 3 August-December 1993, under the same heading.
[6]Kwikima Report is in
The Standard, 12 December, 1968, and also in
The Nationalist, 15 th December, 1968. See
Bergen, p. 238.