Islam’s role in Tanzania’s freedom struggle

Islam’s role in Tanzania’s freedom struggle

Toa unafiki wewe wazee wetu, baba zetu wanatukanwa humu wanaitwa Stupid, wauza kahawa, wakaa vibarazani, akili za madrasa, Madhalim, mbona hauonekani kuwatetea.

Shariff Ritz,

Salaam.

Yaani ndo kwanza natia maguu humu jamvini,naangua kicheko kwa jinsi bayana zenu "zilivyovuruga" hili jamvi! Kwi! Kwi! Kwi!

Huyo mnafiki Remote anayeeneza Islamophobia humu Jf takriban kila kwenye thread/s...ni uzuri mno hivyo ulimvyomjibu.

Huyo mpuuzi kweli,yaani wao kutukana Wazee Wetu matusi na kashfa za nguoni ndo wanaona sawa!?...embu kama yeye kweli ni muungwana na ana hishma japo ya kuazima mwambie achungulie kila post humu jamvini,aone ni vipi sisi hulazim kujibu hayo makhanatha yao!?

Wao kutukana Dini/Imani yetu,khasa Mtume wetu mtukufu na Alllah,ndo wanaona ati ni sawa!?

Na woote wamekaa kimya,wanachungulia wakirejea na kucheka...khalaf kwa akili zao mbovu ndo wanataraji ati nasi tukae kimya bila ya kujibu hayo makhantha yao na ku-protect dignity yetu!?

Kwa kifupi,mindhali wao wamefungulia hili sega la nyuki,sisi hatutorejea nyuma asilan!

Wao kama wanaona yakuwa yule khabith Nyerere ndo bora au wanamlinganisha na darja ya Mtume wetu mtukufu...hapa wamekosea njia!

Khalaf utaona anatokea mnafiki mwingine kama Wickama,Mkristo anaejifanza ati ni Muislam...yoote anayotukanwa Mtume wetu Mtukufu na Dini yetu,yeye huwa kimya kabisa,lakini anastaajabisha huyo mtu wa Tarime,ati akiguswa yule haramia wao Nyerere kiduchu tu...basi ati yule Wickama atajaribu "kuchambua" Quraan nzima na khadith za Mtume ili tu ku-justify makhanatha ya yule maluuni Nyerere!?

Nipa salaam zangu za dhati kwa woote khasa ndugu zetu hapa jamvini;Maulana Dr Kahtaan,Al Murid THE BIG SHOW,Hajjat Faizafoxy,Ulamaa Boko Haram,Mujtahid Wabara,Ayatollah Chamviga,Al Akhiy Polite,Al Akhiy Faby,Ustaadh Hassanalis,Al Habiby Al Tayeb na wengineo...waambia yakuwa khabar zao ni ndefu mno na bayana zao mubashar ni tamu mno ndo nazipitia hapa kiduchu! Kwi! Kwi! Kwi!

Nipa fursa nikwache kiduchu maana pana jamaa hapa nataka nimtohoe kwa majiti ya roho! Kwi! Kwi! Kwi!

Ahsanta.
 
The struggle for independence in Tanganyika was driven by patriotic sentiments across the entirety of Tanganyikan territory. Apparently, the new feeble claim that Muslim played bigger part in the struggle for independence signifies weak attempt geared towards rewriting the history of Tangayika's independence.
 
Dr. kahtaan.

Niwe radhi ngoja nikuachie huyu kiumbe.

Shariff Ritz,

Nimecheka mpaka basi,yaani wewe na Maulana Dr Kahtaan mmekua kama vile pack of lions...yaani mnamgombania kumtoa roho yake mbichi huyo Mkristo/Chadema ajifanzae ati anaijua school of thoughts baina ya Shia na Sunni!? Kwi! Kwi! Kwi!

Mwambie akaharishie kule "jukwaa la dini" atapata makhabithi wenzie wa kucheza nao "nachi"!? Kwi! Kwi! Kwi!

Ahsanta.
 
The struggle for independence in Tanganyika was driven by patriotic sentiments across the entirety of Tanganyikan territory. Apparently, the new feeble claim that Muslim played bigger part in the struggle for independence signifies weak attempt geared towards rewriting the history of Tangayika's independence.

You have to raise your vibrations,mature your childhood stories and grow up from ethno-centred consciousness...it's a good place to start!

Ahsanta.
 
Eiyer,
Niwie radhi mimi siko hapa kwa ajili ya kubishana.
Neither do i!!
Wala siko hapa kuwa kile nisemacho mie mtu akiiamini.
Ni ipi sababu ya wewe kuweka haya maelezo yako?
Huenda ukawa unasahau yale unayosema hapa
Mimi wala si kama na ''quote'' maneno yangu kwa maana unayofikiria wewe ya
mie kutaka kushinda mnakasha.
Lengo lako ni zaidi ya kushinda hapa
Unataka kuwaaminisha Watanzania kuwa kuna watu wamesahauliwa kimakusudi kwa sababu ya dini yao
Unataka watu waamini kuwa Uhuru wa nchi hii ulipiganiwa na Waislam kwa kiwango kikubwa na sababu ya kufanya hivyo ni dini yao

Au unakana na hayo
Mimi naweka hapa yale niliyoandika kwa kuwa wengi hawajui historia kama
niijiavyo mimi.
Mzee Said wewe una haki ya kusema chochote lakini jambo hilo linapokuwa ni la maslahi ya nchi na kichochezi kama yako inatakiwa ufikirie zaidi,sio kila kitu kinaandikwa tu
Unaweza kuwa unajua historia lakini hilo sio suala,suala hapa ni kuwa hicho unachoandika hapa ni kweli ama la

Ndio maana nikakuuliza maswali ambayo bahati mbaya hujayajibu na sababu za kufanya hivyo unazijua wewe mwenyewe
Labda kama utanipinga kuwa siijui historia ya wazee wangu katika kupigania
uhuru wa Tanganyika.
Inamaana hadi sasa hujajua nimekuuliza kuhusu nini?
Huku kujua historia ya wazee wangu ndicho kinachonifanya niweke yale niliyoandika
katika kitabu changu hadharani watu wasome.
Nikuambie mara ngapi kuwa hicho unachodai kujua kina mashaka?
Unadai kuwa unajua kuhusu historia ambayo ina mashaka ndani yake wewe huoni hilo ni tatizo?

Na matatizo yameanzia pale nilipokuuliza kuhusiana na madai yako kuwa Waislam ndio waliopigania uhuru na Uislam ndio iliyokuwa itikadi,nikakuuliza hayo yaliwezekanaje hadi Nyerere akawa kwenye nafasi aliyokuwa nayo katikati ya watu ambao yeye hakuwa na itikadi ya harakati zao?[Uislam]

Hili hujajibu hadi sasa!
Siweki kwa nia ya kufanya ubishi na kutaka kushinda.
Ili tujue lengo lako sio hadi utuambie,tunaweza kuliona lengo lako kupitia maelezo yako tu
Ulipouliza lile swali nikakuchukulia kuwa unataka kujua.
Na hilo ndilo lililokuwa lengo langu hasa lakini nasikitika hujanielewesha hadi sasa tofauti na kuleta assumption tu
Unao uhuru wa kuamini nilichoandika au kukataa.
Siko hapa kwaajili ya kuamini bali kutaka kujua
Wala hapana ugomvi katika hilo.
Kwani suala la ugomvi linakujaje hapa?
Ikwa hivi ndivyo hiyo ''absurdity'' haipo.
Inawezekana hujaelewa maelezo yangu,chukua muda uyasome tena ili uyaelewe
Waarabu wana msemo: Ukijua sababu ajabu hutoweka.
Hilo ni kweli kabisa
Halikadhalika ikiwa na wewe unalo jipya ambalo halifahamiki ahlan wasaalan
leta hapa jamvini tutakisoma na sote tutaelimika.
Mbona tayari nishaweka hapa na hujaelimika bado?
Nadhani umenielewa.
Nimekuelewa,tatizo wewe hujanielewa!
 
Ndio maana nimetoka katik huu mjadala haya matusi hapo kwenye si mazuri hata.

Ewe Nyangarakata!... kumbuka yakuwa hayo uitayo "matusi",ameleta huyo shangingi wenu wa hoja Nguruvi3.

Pitia post by post,sio unaropokwa tu,sisi hatujawahi hata kiduchu humu kutaja hizo khabar za jando na kashfa nyinginezo.

Hayo ni mambo yenu na huyo maluuni mwenzio wa hicho kikundi chenu cha taarab na makhanatha aka Chadema!

Ahsanta.
 
Teh teh teh teh!
Sababu kubwa inayo wafanya nyie mnune siku zote ni ulaji wa nyama haramu ya nguruwe!
Na msipoacha mtanuna mpaka mnaingia jahannamu!

Teh teh teh teh!

Usifanye mchezo na mnyama mtakatifu huyo wewe kijana

Hebu anza kula uone namna alivyo mtamm na afya yako itakavyoimarika

Hakuna kilicho haram kijana nyie mmeingizwa choo cha kike tena mazima na hata hamshtukiii hadi leo!
 
Neither do i!!

Ni ipi sababu ya wewe kuweka haya maelezo yako?
Huenda ukawa unasahau yale unayosema hapa

Lengo lako ni zaidi ya kushinda hapa
Unataka kuwaaminisha Watanzania kuwa kuna watu wamesahauliwa kimakusudi kwa sababu ya dini yao
Unataka watu waamini kuwa Uhuru wa nchi hii ulipiganiwa na Waislam kwa kiwango kikubwa na sababu ya kufanya hivyo ni dini yao

Au unakana na hayo

Mzee Said wewe una haki ya kusema chochote lakini jambo hilo linapokuwa ni la maslahi ya nchi na kichochezi kama yako inatakiwa ufikirie zaidi,sio kila kitu kinaandikwa tu
Unaweza kuwa unajua historia lakini hilo sio suala,suala hapa ni kuwa hicho unachoandika hapa ni kweli ama la

Ndio maana nikakuuliza maswali ambayo bahati mbaya hujayajibu na sababu za kufanya hivyo unazijua wewe mwenyewe

Inamaana hadi sasa hujajua nimekuuliza kuhusu nini?

Nikuambie mara ngapi kuwa hicho unachodai kujua kina mashaka?
Unadai kuwa unajua kuhusu historia ambayo ina mashaka ndani yake wewe huoni hilo ni tatizo?

Na matatizo yameanzia pale nilipokuuliza kuhusiana na madai yako kuwa Waislam ndio waliopigania uhuru na Uislam ndio iliyokuwa itikadi,nikakuuliza hayo yaliwezekanaje hadi Nyerere akawa kwenye nafasi aliyokuwa nayo katikati ya watu ambao yeye hakuwa na itikadi ya harakati zao?[Uislam]

Hili hujajibu hadi sasa!

Ili tujue lengo lako sio hadi utuambie,tunaweza kuliona lengo lako kupitia maelezo yako tu

Na hilo ndilo lililokuwa lengo langu hasa lakini nasikitika hujanielewesha hadi sasa tofauti na kuleta assumption tu

Siko hapa kwaajili ya kuamini bali kutaka kujua

Kwani suala la ugomvi linakujaje hapa?

Inawezekana hujaelewa maelezo yangu,chukua muda uyasome tena ili uyaelewe

Hilo ni kweli kabisa

Mbona tayari nishaweka hapa na hujaelimika bado?

Nimekuelewa,tatizo wewe hujanielewa!
teh teh teh! Hivi haya maswali ya Juma na Roza unaumuliza nani?
 
Don't know if you've ever seen the studies on brain activity!?

...where our brains are most active when we are babies and toddlers and the only time activity like that is seen in adults,is when we're still learning and attempting to expand our minds to something greater.

The study shows that unless we actively use our minds,we are nothing more than sheep in a literal sense...and that's you Eiyer!

Ahsanta

Hii ndio sababu ya kucheka cheka hovyo hata pasipostahili?
 
Neither do i!!

Ni ipi sababu ya wewe kuweka haya maelezo yako?
Huenda ukawa unasahau yale unayosema hapa

Lengo lako ni zaidi ya kushinda hapa
Unataka kuwaaminisha Watanzania kuwa kuna watu wamesahauliwa kimakusudi kwa sababu ya dini yao
Unataka watu waamini kuwa Uhuru wa nchi hii ulipiganiwa na Waislam kwa kiwango kikubwa na sababu ya kufanya hivyo ni dini yao

Au unakana na hayo

Mzee Said wewe una haki ya kusema chochote lakini jambo hilo linapokuwa ni la maslahi ya nchi na kichochezi kama yako inatakiwa ufikirie zaidi,sio kila kitu kinaandikwa tu
Unaweza kuwa unajua historia lakini hilo sio suala,suala hapa ni kuwa hicho unachoandika hapa ni kweli ama la

Ndio maana nikakuuliza maswali ambayo bahati mbaya hujayajibu na sababu za kufanya hivyo unazijua wewe mwenyewe

Inamaana hadi sasa hujajua nimekuuliza kuhusu nini?

Nikuambie mara ngapi kuwa hicho unachodai kujua kina mashaka?
Unadai kuwa unajua kuhusu historia ambayo ina mashaka ndani yake wewe huoni hilo ni tatizo?

Na matatizo yameanzia pale nilipokuuliza kuhusiana na madai yako kuwa Waislam ndio waliopigania uhuru na Uislam ndio iliyokuwa itikadi,nikakuuliza hayo yaliwezekanaje hadi Nyerere akawa kwenye nafasi aliyokuwa nayo katikati ya watu ambao yeye hakuwa na itikadi ya harakati zao?[Uislam]

Hili hujajibu hadi sasa!

Ili tujue lengo lako sio hadi utuambie,tunaweza kuliona lengo lako kupitia maelezo yako tu

Na hilo ndilo lililokuwa lengo langu hasa lakini nasikitika hujanielewesha hadi sasa tofauti na kuleta assumption tu

Siko hapa kwaajili ya kuamini bali kutaka kujua

Kwani suala la ugomvi linakujaje hapa?

Inawezekana hujaelewa maelezo yangu,chukua muda uyasome tena ili uyaelewe

Hilo ni kweli kabisa

Mbona tayari nishaweka hapa na hujaelimika bado?

Nimekuelewa,tatizo wewe hujanielewa!

Eiyer,
Tumerudi pale tulipoanzia.

Kuhusu itikadi ya uhuru na Nyerere.

Kukueleza hapa habari za Al Jamiatul Islamiyya, Sheikh Hassan bin Amir na wengine wengi si
kazi ndogo.

Umaarufu wa kitabu changu umetokana na hayo na hao niliowataja hapo juu.

Kuhusu hayo mengine ya dhulma mimi siko peke yangu.
Wako wengine halikadhalika kama mie wamepita humo nilikopita tena wamenitangulia na wameandika.

Hebu angalia hapa chini nakuwekea taarifa za Sivalon na Bergen na haya nimeyasema katika kitabu changu.
Ukipenda msome Prof. Hamza Mustafa Njozi ''Mwembechai Killings...'' kasema hayo hayo.

Serikali imekipiga marufuku kitabu chake na hapa ninaposema serikali hujui la Kanisa lipi la serikali lipi.
Lakini kitabu cha Mbogoni ''The Crescent and the Cross'' kinauzwa.

Ndipo Waislam tunasema ''Mfumokristo'' ndiyo unaoendesha Tanzania.

Sasa nisome hapo chini:

[TABLE="width: 660"]
[TR]
[TD]At the moment there are two books in existence written by non-Muslims which proves that Christians have used their positions in the government to subvert Islam and Muslims.

Jan P van Bergen in his book, Development and Religion in Tanzania, (1981) [1] divulges
very incriminating information on former President Nyerere.

The book gives details of how during his rule Nyerere used to have private confidential meetings with Bishops to discuss the future of Tanzania.

In those meetings Nyerere is reported to have assured Bishops of his continued support to Christianity.

The work reveals how Nyerere guaranteed Christians a privileged position and backed his promise by appointing them to important positions in his government and party.

This book was on sale at the Catholic Bookshop, Dar es Salaam, and was hurriedly withdrawn from sale after it was realised that it was revealing highly confidential and sensitive information on Islam.[/TD]
[/TR]
[TR]
[TD]The second book is by Dr John C. Sivalon, who in his expose, Kanisa Katoliki na Siasa ya Tanzania Bara 1953 Hadi 1985, [2] unmasks a conspiracy in the government to subvert Islam.

Sivalon revealed that the Catholic Church as far back as 1961 was worried by two prospects.

First, was the unity between the Muslim madhheb (sect) of Sunni, Bohora, Ismailia and Ithnasheri in Tanganyika; and the second, was the transfer of the headquarters of the East African Muslim Welfare Society (EAMWS) from Mombasa to Dar es Salaam.

The Church was worried that the resources in the hands of rich Asian Muslim community in East Africa, coupled with the political power of African Muslims, particularly in Tanganyika, would endanger Christian interests in East Africa.

The Church therefore declared Islam as its enemy in the country and plotted to thwart its progress.[3]
T

here are also two works by Muslim writers focusing on post-independence relations between the government and Muslims.

The first is an undergraduate dissertation by Dr K. Mayanja Kiwanuka, ‘The Politics of Islam in Bukoba District’ (1973);[4] and the second is a research paper ‘Islam and Politics in Tanzania’ (1989)[5] by the current author.[/TD]
[/TR]
[TR]
[TD]It was after reading Kiwanuka’s work in which he deduced that President Nyerere was justified in using his high office to prevent a parallel Muslim force from developing in the Tanzanian body politic to ‘preserve national unity’, that I as a Muslim first, and a patriot second, felt obligated to respond with a research paper to give the Muslim version of the crisis which for two decades remained unheard.[/TD]
[/TR]
[TR]
[TD]There is also the ‘Kwikima Report’ (1968)[6] which gives a detailed account of the Muslim crisis, its source and the role of the post-independence government in subverting Muslim unity.

This report is valid today as it was then.

It reveals how the Party, government and few Muslim bureaucrats used their political offices to put brakes on Islam in the belief that that particular decision was desirable as a matter of national interest.

The above five references are important to students of Tanzanian politics and history; and to anyone who wants to understand the source of religious sentiments engulfing the country.

All the above referred books, papers and reports, in their multiplicity of authorship and diversity in approach to the subject, prove the fact that there has been for almost a century a continuous conspiracy, first by colonising powers in Tanganyika, and then by African Christians, to relegate Islam and Muslims in free Tanzania.[/TD]
[/TR]
[/TABLE]

Bwana Eiyer,
Kwa Mswahili kukuambia ''hakuna ugomvi'' hiana maana mnagombana huo ni msemo tu na maana yake ni kuwa
''yote sawa'' kuashiria ameridhika.

Ama la kushinda.
Siwezi kujisikia raha kupata ushindi JF.

Ziko sehemu huzungumza na nikatoka moyo wangu kwatu kwa kueleza historia ya wazee wangu.

Kwa kumaliza nakufahamisha kuwa hapana ugomvi kwa wewe kuona kasoro katika historia hii niloandika na sasa
imedumu miaka 15 na ndiyo inayosomeshwa kwenye vyuo vingi.

[1] Jan P van Bergen, Religion and Development in Tanzania, (Madras, 1981). passim.

[2] John C. Sivalon, Kanisa Katoliki na Siasa ya Tanzania Bara 1953 Hadi 1985, (Ndanda, 1992).

[3] Ibid. p 37.

[4] K. Mayanja Kiwanuka, The Politics of Islam in Bukoba District (1973), B.A. Thesis, University of Dar es Salaam.

[5] Mohamed Said, ‘Islam and Politics in Tanzania’ (1989) and Tewa's unpublished manuscript ‘A Probe In the History
of Islam in Tanzania’, and Waikela's papers and newspaper cuttings on the crisis were of great help. This paper was
later published by Al Haq International (Karachi) Vol. 1 No. 3 August-December 1993, under the same heading.

[6]‘Kwikima Report’ is in The Standard, 12 December, 1968, and also in The Nationalist, 15 th December, 1968. See
Bergen, p. 238.
 
Nani kakwambia bibilia ni andiko langu. Jifunze kwanza kuruani kwakujibu maswali yangu. Angalia signature yangu. Swali: shia wanasema ali ndiye mrithi halali baada ya muahamadi kufa. Tena ameandikwa kwenya kuruani kuliko abubakari na omary. Na wanasema kuruani ilichakachuliwa ili kuuficha ukweli huo. Na ndio sababu ya ugomvi wenu waislamu. Je nikweli?

Muhammad SAW. Fanya adabu na heshima unapoandika jina la Muhammad SAW, nimeshakuona mara kadhaa unabadili liandikwavyo makusudi. Vipi? unaogopa, unatutafuta au ndio heshima ya "Uafrika kwanza" ilivyokufundisha?
 
Jibu kwanza swali!

Uliuliza kwa nini twapenda kucheka cheka,
Nami nikakuuliza nini maana ya kucheka, ili mtu acheke nini kifanyike?

Kafiri wewe huna hoja juu ya maswali ya msingi

Chukua tafsiri hii itakusaidia;-
Kucheka ni kitendo cha mtu kuonesha furaha yake ima kwa sauti ama kwa ishara au kwa maandishi kama tunavyokupa hapa jamvini,

Na twapenda cheka kwa sababu ya ujinga wa majibu yako dhidi ya maulizo muulizwayo na huo umajnuni wenu ambao kwenu mwauona ndo majibu,

Kwa taarifa yako hakuna KAFIRI yeyote awaye hapa duniani atabahatika uliza swali kwa Waislaamu na likakosa jibu/ majibu,

Walimu walioko hapa jamvini si kwa bahati mbaya ni vifaa vilivyo adimu na ni wachache katika wengi waliobaki ambao maswali yao wakikuulizeni hamna hata mmoja kati yenu atathubutu kujibu,

Hiyo ndo sababu twakusomesheni japo ninyi mmekosa fadhila na watovu wa nidhamu kwa walimu zenu,

Naamini kidogo utakuwa umefahamu japo si yenu asili ya uongofu/haki,

Uliza tena katika kile ujisikiacho!
 
Eiyer,
Tumerudi pale tulipoanzia.

Haya nisemayo mimi siko peke yangu.
Wako wengine halikadhalika kama mie wamepita humo nilikopita tena wamenitangulia.

Hebu angalia hapa chini nakuwekea taarifa za Sivalon na Bergen:

[TABLE="width: 660"]
[TR]
[TD]At the moment there are two books in existence written by non-Muslims which proves that Christians have used their positions in the government to subvert Islam and Muslims.

Jan P van Bergen in his book, Development and Religion in Tanzania, (1981) [1] divulges
very incriminating information on former President Nyerere.

The book gives details of how during his rule Nyerere used to have private confidential meetings with Bishops to discuss the future of Tanzania.

In those meetings Nyerere is reported to have assured Bishops of his continued support to Christianity.

The work reveals how Nyerere guaranteed Christians a privileged position and backed his promise by appointing them to important positions in his government and party.

This book was on sale at the Catholic Bookshop, Dar es Salaam, and was hurriedly withdrawn from sale after it was realised that it was revealing highly confidential and sensitive information on Islam.
[/TD]
[/TR]
[TR]
[TD]The second book is by Dr John C. Sivalon, who in his expose, Kanisa Katoliki na Siasa ya Tanzania Bara 1953 Hadi 1985, [2] unmasks a conspiracy in the government to subvert Islam.

Sivalon revealed that the Catholic Church as far back as 1961 was worried by two prospects.

First, was the unity between the Muslim madhheb (sect) of Sunni, Bohora, Ismailia and Ithnasheri in Tanganyika; and the second, was the transfer of the headquarters of the East African Muslim Welfare Society (EAMWS) from Mombasa to Dar es Salaam.

The Church was worried that the resources in the hands of rich Asian Muslim community in East Africa, coupled with the political power of African Muslims, particularly in Tanganyika, would endanger Christian interests in East Africa.

The Church therefore declared Islam as its enemy in the country and plotted to thwart its progress.[3]
T

here are also two works by Muslim writers focusing on post-independence relations between the government and Muslims.

The first is an undergraduate dissertation by Dr K. Mayanja Kiwanuka, ‘The Politics of Islam in Bukoba District' (1973);[4] and the second is a research paper ‘Islam and Politics in Tanzania' (1989)[5] by the current author.[/TD]
[/TR]
[TR]
[TD]
It was after reading Kiwanuka's work in which he deduced that President Nyerere was justified in using his high office to prevent a parallel Muslim force from developing in the Tanzanian body politic to ‘preserve national unity', that I as a Muslim first, and a patriot second, felt obligated to respond with a research paper to give the Muslim version of the crisis which for two decades remained unheard.
[/TD]
[/TR]
[TR]
[TD]There is also the ‘Kwikima Report' (1968)[6] which gives a detailed account of the Muslim crisis, its source and the role of the post-independence government in subverting Muslim unity.

This report is valid today as it was then.

It reveals how the Party, government and few Muslim bureaucrats used their political offices to put brakes on Islam in the belief that that particular decision was desirable as a matter of national interest.

The above five references are important to students of Tanzanian politics and history; and to anyone who wants to understand the source of religious sentiments engulfing the country.

All the above referred books, papers and reports, in their multiplicity of authorship and diversity in approach to the subject, prove the fact that there has been for almost a century a continuous conspiracy, first by colonising powers in Tanganyika, and then by African Christians, to relegate Islam and Muslims in free Tanzania. [/TD]
[/TR]
[/TABLE]

[1] Jan P van Bergen, Religion and Development in Tanzania, (Madras, 1981). passim.

[2] John C. Sivalon, Kanisa Katoliki na Siasa ya Tanzania Bara 1953 Hadi 1985, (Ndanda, 1992).

[3] Ibid. p 37.

[4] K. Mayanja Kiwanuka, The Politics of Islam in Bukoba District (1973), B.A. Thesis, University of Dar es Salaam.

[5] Mohamed Said, ‘Islam and Politics in Tanzania' (1989) and Tewa's unpublished manuscript ‘A Probe In the History of Islam in Tanzania', and Waikela's papers and newspaper cuttings on the crisis were of great help. This paper was later published by Al Haq International (Karachi) Vol. 1 No. 3 August-December 1993, under the same heading.

[6]‘Kwikima Report' is in The Standard, 12 December, 1968, and also in The Nationalist, 15 th December, 1968. See Bergen, p. 238.

Hujajibu Nyerere alipataje nafasi aliyokuwa nayo miongoni mwa watu ambao yeye mwenyewe hakuwa na itikadi ya harakati zao,umeishia kuniletea copy and paste tu za watu hapa japokuwa hujasema wao ni wakina nani hadi tuyachukulie maelezo yao serious kiasi hicho

Pia yalihakikiwa na nani maelezo yao kuwa ni kweli
Tutajuaje kama walikuwa wanaandika hisia zao tu?

Pia hujasema ni kwanini itikadi ya kupigania uhuru iwe Uislam na isiwe nyingine inayowatambua na watu wengine pia!
 
Kila namna ambayo tunatafuta kukuweka sawa na kukurudisha kwenye mstari mnyoofu umekuwa unajikwepesha kwamakusudi na kukimbilia unakokujua wewe mwenyewe,ila sio kitu nguruvi3,sisi tutazid kukurudisha kwenye mstari tuh.

Hoja ya waislam wa eneo fulan mfano kilimanjaro na bukoba kufanya vizur na waislam wa maeneo mengine mfano lindi na mtwara kufanya vibaya kwenye sekta ya elimu mfano unaibeba bila mafuhum yenye kueleweka,

Unapozungumzia jamii ambazo zina geographical positions tofaut ndan ya nchi hii na jamii zenye historia tofauti ya kutawaliwa na kuendelezwa kimiundombinu na kimaendeleo stahiki ya kitaifa unakuwa unakosea sana,

Mfano tukichukua maeneo ya lindi na mtwara kuhusu sekta ya elimu na kiwango cha ufaulu wa wanafunz katika ngaz mbalimbali kuanzia za msiingi hadi sekondari kwa kias kikubwa hadi leo hii haziwez kufanana na shule za huko kilimanjaro na kwingineko.

Hilo linasababishwa kwanza na vipaombele vya taifa katika kupeleka nyenzo,huduma na uelewa kwa wananchi wake katika maeneo husika,mfano huku lindi na mtwara unafaham fika ni kwa jins gani kumewekwa nyuma katika sekta zote za maendeleo ya nchi hii ikiwemo miundimbinu ya bara bara,maji,afya,na huduma mbali mbali za kijamii ambazo kwa namna moja ama nyingine zinaweza kuchochea kwa namna moja ama nyingine kukua kwa sekta ya elimu na mwingiliano wa watu wa aina mbali mbali,

Wewe umesahau kuwa ilishafikia hatua huku mfanyakazi wa serikali let say mwalimu,muuguz au daktari na kadhalika akipangiwa kituo cha kazi kanda hii basi huchukulia nafasi hiyo kwake ni kama adhabu na wakati mwingine tumeshuhudia wengi miongon mwao wakihama na kuacha kazi kulingana na mazingira magumu ya kufanyia kazi na kuish,unataka kuniambia mambo kama hayo hayaathiri hadi mfumo wa elimu wa kanda hii kulinganisha na maeneo kama arusha na kilimanjaro??

Pamoja na kwamba naweza kukubali kwamba kuna wakati mwingine zipo baadhi ya familia zimekuwa hazikutilia mkazo suala la elimu kwa asilimia mia moja kwa vizaz vyao lakin ni ukweli kwamba hilo pekee halikuwa ni pingamiz kwa kutokuelimika kwa watoto wa kanda kama hizi na kusin na pwani,

Hakuna anaesimama hapa kutafuta sababu za kipuuz kujenga hoja kama ulivyotukana hapo juu,japo ukitukanwa na wewe twajua wakimbilia moja kwa moja kunyooshea vidole kwmba hao si waislam wenye mafunzo,
Hoja ulizopewa na Moh Said si za kipuuz,ni hoja zilizofanyiwa utafiti na umewekewa rejea kibao hapo chini,sema wewe hutaki kuzisoma na kuzielewa,hili ni suala linaloelezewa vizur na kwa hatua zenye kueleweka.

Linapokuja suala la bakwata ambayo wewe unakiona ni chombo makin na imara kwetu sisi waislam ndiyo tunakufahamisha kwamba hicho ndicho mziz wa fitna na taharuki zote unazoziana kwa sasa,

Lait kingalikuwa ni chonbo chenye vision na misson nzur haya tunayoyadili humu ndan kwa sasa kwa kifua mbele yasingalikuwapo,hilo yapasa ulitambue nguruvi3,ule ujasiri alioutumia julius nyerere kusimamia suala la uanzishwaji wa bakwata kinyemela ndilo hili linalotugharim hadi hiv sasa,watu wapo hapa kukufunza historia yake ya utendaji na mwingiliano wake katika nyanja mbali mbali,hilo ulitambue
NITAKUREJEA TENA

Al Murid THE BIG SHOW,

Shukran kwa ku-break down/amplify hayo majambo kwa huyo Nguruvi3...

Takriban yoote hapo mbona tulishawajibu na kuyajadili kwa kina kwenye posts kadhaa humu,lakini si unawajua dasturi yao...wakishaona mambo yamewazidi hujitia umaluuni wa kurejea kuuliza makhanatha yayo kwa yayo ili ku-divert hoja/mada mbadala au kuleta distraction na kujaza server/s humu Jf kwa utumbo ulojaa kashfa,tashtit...Chembilecho cha Ayatollah Chamviga mipasho ya kwenye kanga! Kwi! Kwi! Kwi!

Kwa kifupi huyo khabith wa kibondei Nguruvi3,ameadhirika na kujishusha mno kwenye mnakasha huu! Kwi! Kwi! Kwi!

Kama kweli angekua na japo maarifa ya kuazima alitakiwa atupe taula ulingoni,maana kwasasa nakhis hali yake ni taabani mno na kabaki wa kujikongoja tu maskini Nguruvi3!? Kwi! Kwi! Kwi!

Chezea Al DuktuuriSheikh Mohamed Said weye!?...si unaona yule punguani mwengine Mag3,hata pua yake anaogopa kutia humu,anamwacha kimada wake anaadhirika humu jamvini!? Kwi! Kwi! Kwi!

Ahsanta.
 
ndugu yangu Ritz hayo matusi si mazuri kwa baba wa taifa. Jadili kwa hekima na heshima.
Muacheni Nyerere apumzike,

Twende kwa istilaahi/tafsida za kueleweka,
Nini maana ya matusi ili Ritz ionekane amemtusi huyo babaako wa kanisa,

Tena tia ADABU usirejee kusema kauli chafu ati tujadili kwa hekima na heshima,

Wewe huwezi kutufunza hata sekunde moja namna ya kuhekimika wala kuheshmika,

Sasa njoo kiadabu na kiakili kwa mawakili huenda ukapata akili.
 
Last edited by a moderator:
Uliuliza kwa nini twapenda kucheka cheka,
Nami nikakuuliza nini maana ya kucheka, ili mtu acheke nini kifanyike?
Kwahiyo kwako mtu akitaka sababu ya kucheka ni sawa na ameuliza maana ya kucheka?
Kafiri wewe huna hoja juu ya maswali ya msingi
There we go again,kafir tu huna kingine
Mtu akikuuliza kitu unaishia kumuita kafir

Hivi maana ya kafir ni nini?
Chukua tafsiri hii itakusaidia;-
Kucheka ni kitendo cha mtu kuonesha furaha yake ima kwa sauti ama kwa ishara au kwa maandishi kama tunavyokupa hapa jamvini,
Sijakuuliza kucheka ni kitu gani
Nimekuuliza kwanini mnacheka cheka

Ni sawa unaulizwa kazi ya damu ni mwilini mwa binadamu ni nini halafu wewe unasema sababu ya binadamu kuwa na mdomo,huoni kama hiyo ni tofauti?

Umeshindwa kulielewa swali dogo kama hilo unawezaje kuelewa mambo mengine unayoita "hoja za msingi"?
Na twapenda cheka kwa sababu ya ujinga wa majibu yako dhidi ya maulizo muulizwayo na huo umajnuni wenu ambao kwenu mwauona ndo majibu,
Hebu tuoneshe huo ujinga kijana

Na ukishindwa tutake radhi hapa hapa maana wewe ndio utakuwa ni mwehu maana mwehu yeye akiona mtu amevaa nguo anamuona mjinga

Inawezekana wewe nawe unapoyaona majibu ya msingi unayaona ni ya kijinga kama mwehu
Kwa taarifa yako hakuna KAFIRI yeyote awaye hapa duniani atabahatika uliza swali kwa Waislaamu na likakosa jibu/ majibu,
Nipe tafsiri ya Allah kwa kiswahili!
Kisha uniambie Isa kwa kiswahili ni nini!

Ukishindwa tu utakuwa umeudanganya umma wa JF kuwa "hakuna kafir atakaeuliza swali kwa waislam na likakosa majibu/jibu" na itakubidi ututake radhi kwa mara nyingine
Walimu walioko hapa jamvini si kwa bahati mbaya ni vifaa vilivyo adimu na ni wachache katika wengi waliobaki ambao maswali yao wakikuulizeni hamna hata mmoja kati yenu atathubutu kujibu,
Walimu wa nini?
Maswali gani waliouliza yakakosa majibu?
Hiyo ndo sababu twakusomesheni japo ninyi mmekosa fadhila na watovu wa nidhamu kwa walimu zenu,
Mmemsomesha nani?
Nyie shule zinawashinda halafu msomeshe mtu?
You must be kidding!
Naamini kidogo utakuwa umefahamu japo si yenu asili ya uongofu/haki,
Nani asili ya haki?
Uliza tena katika kile ujisikiacho!
Nishakuuliza tayari
Au huoni?
 
Back
Top Bottom