CattleRustler
JF-Expert Member
- Oct 26, 2013
- 1,055
- 467
Sasa nimefahamu lengo lako!!
Sasa kumbe kuzunguka kooote huko! Kumbe unatafuta mume??
Teh teh teh teh!
Mutaa my foot!
Unfortunately hapa sisi woote tumeshaoa!
Mjaribu Nyakageni huenda hajaolewa/hajaoa!!
Na kama nilivyokwambia mwanzo , kiswahili pia ni tatizo kubwa kwako!
We unaweka maelezo ya ajabu halafu unaniuliza swali!
Mimi nikakwambia ukitaka kuelewa jaribu kusoma hata kidogo kabla ya kuja humu!!
Sasa unaniambia ETI USOME MAVITABU YETU KWA AJILI YA NINI!!
teh teh teh teh teh!
Au unapokuja humu JF unakuwa umeshavuta ile maneno!!?
Manake nyie msio na elimu hamchezi mbali na bangi!!
La mwisho hiki kitu unachorudia rudia ukikiita kuruani mi sikijui!! Hebu jaribu kutafuta jina kamili.
Kbd ya kuanza kubwabwaja nenda KASOME KWANZA!
NA KAMA WE KIPOFU!! BASI JAPO KASIKILIZE!
Mutaa! mutaa! mutaa!
Stori nyiiiingi kumbe unatafuta buzi!! Nenda vingunguti wamejaa pale!
Teh teh teh teh teh!.
Kwasababu nyinyi vichwa ni vigumu. Ngoja niwawekwee swali la kuchagua
Ulisema kuruani ipo kamili.
Na nimekuja na hoja ya mutah au pleasure marriage( yaani kuoa mwanamke kwa siku moja kwaajili ya kujifurahisha ) je nihalali?
Chagua jibu moja
a) nikweli
b)sikweli
c) mimi kilaza sijui jibu.
d) na maasira naenda kuchukua jambia
cc wabara faizafoxy
Last edited by a moderator: