Kijana Tatizo lako elimu!
Kama hujausoma uislamu huwezi kuuelewa! Na sio lzm uende shule kuubwa kufahamu basic concept ya uislamu.
Hayo mambo ya mijusi sijui kupenda kiarabu na mengineyo uliyosema hayahusiani hata kidogo na UISLAM HALISI.
Na inavyoonekana UKRISTO PIA HUUJUI!
We hushangai ni kwanini biblia kila siku inaregebishwa na kufutwa au kuongezwa sheria?
Tuangalie mfano wa ULAJI WA NGURUWE!!
Biblia ya ASILI inasema
" Na nguruwe, kwa sababu yeye anazo kwato ni mwenye miguu iliyopasuka kati, lakini hacheui, yeye ni najisi kwenu. Msile nyama yao, wala msiiguse mizoga yao; hao ni najisi kwenu.
(Mambo ya Walawi 11.7-8)
Kwa hiyo naliwaambia wana wa Israeli, Msile damu ya mnyama wa aina yo yote; kwa kuwa uhai wa wanyama wote ni katika hiyo damu yake; atakayeila awaye yote atakatiliwa mbali. Tena kila mtu atakeykula nyamafu, au nyama aliyeraruliwa na wanyama, kama ni mzalia, kama ni mgeni, atafua nguo zake, na kuoga majini, naye atakuwa najisi hata jioni; ndipo atakapokuwa safi.(Walawi 17.14-15)
Halafu angalia KITABU HICHOHICHO KILIVYO CHAKACHULIWA!
PAULO ANASEMA;-
Msikieni:Kila kitu kiuzwacho sokoni kuleni, bila kuuliza-uliza, kwa ajili ya dhamiri; maana Dunia ni mali ya Bwana na vyote viijazavyo.
.(1 Wakorintho 10.25-26)
Hapa ukiuliza kwa nini kitabu kimoja KINA SHERIA MBILI TOFAUTI.
YA KWANZA ASEME MUNGU!
YA PILI ASEME PAULO.
Halafu wakristo woote WAMEAMUA KUMFUATA PAULO NA KUMPUUZA MUNGU??
Unajibiwa kuwa hio ya MUNGU NI YA ZAMANI! Na hio ya PAULO NDIO YA SASA!!
MFANO WA PILI;- ULIBERALI
Biblia ya ASILI INASEMA:-
Mambo ya walawi 20:13
-"Tena mtu mume akilala pamoja na mtu mume, kama alalavyo na mtu mke, wote wawili wamefanya machukizo; hakika watauawa; damu yao itakuwa juu yao.
ANDIKO HILO HILO LINASEMA'
""Usimuhukumu mtu maana na wewe usije Hukumiwa!"
NA WIKI KAMA 3 ZILIZOPITA YULE POPE kiongozi wa wakatoliki ametangaza rasmi kuwa WALIBERALI HAWAFAI KUHUKUMIWA NA YEYE HANA MATATIZO YYT NAO!!
Na MALKIA WA UINGEREZA AMBAE NDIO MUWAKILISHI WA KANISA AMETIA SAINI SHERIA YA WALIBERALI KUOANA MAKANISANI NA SEHEMU YYT NA NDOA YAO IKUBALIKE KI SHERIA.
SASA UNAONA WAZI KABISA KUWA BIBLIA IMECHAKACHULIWA KUSUDI ILI IONEKANE INA UPENDO ZAIDI. lkn ukweli ni kuwa BIBLIA INA SHERIA ZA KIKATILI KULIKO QURAAN.
Na hapa chini NAKUWEKEA SHERIA ZA KIKATILI KABISA AMBAZO ZIMO NDANI YA BIBLIA LKN KWENYE QURAAN HAKUNA.!!!
Kill Witches-(WACHAWI WAUWAWE)
-You should not let a sorceress live.--(Exodus 22:17 )
Kill Fortunetellers---(WAPIGA RAMLI WAUWAWE)
-A man or a woman who acts as a medium or fortuneteller shall be put to death by stoning; they have no one but themselves to blame for their death.- (Leviticus 20:27 NAB)
-Death for Hitting Dad-(AMPIGAE BABA YAKE MZAZI AUWAWE)!
-Whoever strikes his father or mother shall be put to death.--(Exodus 21:15 NAB)
-Death for Cursing Parents---(MWENYE KUWALAANI WAZAZI WAKE AUWAWE)
-1)-If one curses his father or mother, his lamp will go out at the coming of darkness.--(Proverbs 20:20 NAB)--
- 2)-All who curse their father or mother must be put to death.- They are guilty of a capital offense.- (Leviticus 20:9 NLT)
Death for Fornication--(MZINIFU AUWAWE)
A priest's daughter who loses her honor by committing fornication and thereby dishonors her father also, shall be burned to death.- (Leviticus 21:9 NAB)-
HII HAPA NI SHERIA YA KUUA KILA ASIE KUWA MKRISTO!!
Death to Followers of Other Religions--
Whoever sacrifices to any god, except the Lord alone, shall be doomed.--(Exodus 22:19 NAB)-
Kill Nonbelievers---
Hii inasema kina
Kiranga na
Ibambasi na wapagani wasio amini mungu yyt LAZIMA WAUWAWE.
-They entered into a covenant to seek the Lord, the God of their fathers, with all their heart and soul; and everyone who would not seek the Lord, the God of Israel, was to be put to death, whether small or great, whether man or woman.- (2 Chronicles 15:12-13 NAB)-
HII HAPA WEWE PAMOJA NA
Nyakageni NA
2013 NA
Mlaleo NA
Eiyer HAWA WOTE WALITAKIWA WAFE! Ni MANABII WA UONGO!
Kill False Prophets----
If a man still prophesies, his parents, father and mother, shall say to him, "You shall not live, because you have spoken a lie in the name of the Lord."- When he prophesies, his parents, father and mother, shall thrust him through.--(Zechariah 13:3 NAB)-
HII HAPA ITABIDI MUUE WATU WA MIKOA YOTE HUKO TZ KWA SABABU KUNA DINI NYINGINE KAMA ZA KIHINDU WANAZO ABUDU MIUNGU WENGINE!!
Kill the Entire Town if One Person Worships Another God--
--Suppose you hear in one of the towns the LORD your God is giving you that some worthless rabble among you have led their fellow citizens astray by encouraging them to worship foreign gods.- In such cases, you must examine the facts carefully.- If you find it is true and can prove that such a detestable act has occurred among you, you must attack that town and completely destroy all its inhabitants, as well as all the livestock.- Then you must pile all the plunder in the middle of the street and burn it.- Put the entire town to the torch as a burnt offering to the LORD your God.- That town must remain a ruin forever; it may never be rebuilt.- Keep none of the plunder that has been set apart for destruction.- Then the LORD will turn from his fierce anger and be merciful to you.- He will have compassion on you and make you a great nation, just as he solemnly promised your ancestors.- "The LORD your God will be merciful only if you obey him and keep all the commands I am giving you today, doing what is pleasing to him."- (Deuteronomy 13:13-19 NLT)-
HII INASEMA KILA ALIEOA AKAKUTA MKEWE SIO BIKRA BASI LZM AMUUE!!
Kill Women Who Are Not Virgins On Their Wedding Night---
-But if this charge is true-(that she wasn't a virgin on her wedding night), and evidence of the girls virginity is not found, they shall bring the girl to the entrance of her fathers house and there her townsman shall stone her to death, because she committed a crime against Israel by her unchasteness in her father's house.- Thus shall you purge the evil from your midst.-
(Deuteronomy- 22:20-21 NAB)
SASA
Mgibeon nimekutajia sheria nyingi tu hapo ambazo ZIMO KWENYE BIBLIA LKN HAKUNA HATTA MOJA YA NAMNA HIZO NDANI YA QURAAN YA WAISLAMU.
Sasa kusema kwako kuwa"" MUNGU WA BIBLIA ANA UPENDO WA HALI YA JUU SANA"" ni UONGO ULIO WAZI KABISA!
NA KAMA UKIUSOMA UISLAMU BASI LZM USKIE RAHA TU!
JARIBU UINE MWENYEWE! WACHA KUSKILIZA MANENO YA MITAANI NA KWENYE TV NA RADIO.!!
Sasa TAZAMA WAGALATIA WATAKAVYO KUJA HAPA! NA YALE MANENO YAO YA KIPAROKO!
ohhh hizo sheria za wayahudi! Ohh hizo zimepitwa na wakati! Ohh Yesu kafundisha upendo!!
HAPO JUU UMEONA KUNA DALILI YOTE YA KUPENDANA??
Ahsanta.