Islam’s role in Tanzania’s freedom struggle

Islam’s role in Tanzania’s freedom struggle

Niwia radhi kwa kungia kati ya hii bayana yako kwa mwenzio Mujitahid Wabara.

Nipa fursa ya kuzungumza nawe kiduchu kuhusu hapo nilipo-bold kwenye hiyo bayana yako!?

Yaani nimesoma hiyo bayana yako na kuacha mdomo wazi kabisa! Duh! Khalaf,mtu kama wewe unaweza kujiita ati ndo "msomi" kweli!?

Kutokana na hizo intellectual discrimination/selective views zako(as you seem to discourage historical facts!?),na hizo pia sexist remarks,primitive attitudes...ndo maana nyinyi wengi wenu mnashindwa asilan japo hata kiduchu ku-empathy na madhila na dhuluma wapitiazo wenzenu Waislam. Yaani sasa ndo nazidi kutanabahi,niliposoma hiyo bayana yako!

Bila hata ya kugusia kabisa mambo ya Dini/Imani,lakini embu wewe mwenyewe binafsi jaribu kupitia tena hapo kwenye hiyo bayana yako nilipo-bold!?

Yaani,wewe unashindwa kufahamu kabisa madhila,dhuluma,ubakaji,uporaj i,mauaji ya halaiki,mateso yaso kiasi...ambayo ndugu zetu Wanawake wamepitia tangia enzi za Cain na Abel,na bado yanawakumba mpaka kesho kwenye jamii/nchi nyingi tu humu duniani!?

Hivi wewe unafikiri,kama historia ya ndugu zetu Wanawake isingalikua ni ya mateso,dhuluma,ubakaji,unyang' anyi,mauaji na kunyimwa haki zao nyingi mno wanazostahili,je kungalikua na haja ipi ya hao Wanawake kujaribu kudai haki au watambuliwe as equals hivi leo humu duniani!?

Jamaa yangu Mgibeon,yaani umeshindwa kabisa kuliona hilo,na umekuja na arrogant remarks tena kwa mbwembwe nyingi,huku ukilinganisha madhila na dharuba za Wanawake na zile za Waislam!?...yaani,kama vile unajua mambo meengi ya maana!?

Ni kweli yawezekana kabisa yakuwa pana similarities nyingi mno,kwa madhila,dhuluma na nakma walizopitia/wapitiazo Waislam na ndugu zetu Wanawake,kama ulivyojitahidi kuyakinisha...sasa badala ya kuwabeza na kuwafanzia tahstit ,nafikiri la muhimu ni kutafuta ufumbuzi kwayo!?

Na hii itakua ni kwa manufaa yetu soote,Taifa letu changa na Vizazi vyetu vyoote vijavyo!

However,you sound a sincere person and I respect you for that.

No need for me to question the premise of your moral fundamentals.

But,but,when you can afford a little chance,read with understanding...I mean re-read your post and just think, Sir!

Wanawake ndugu zetu maskini,wamepitia mateso na dharuba nyingi mno na mpaka kesho wanaendelea kuteseka pita kiasi kwenye mikono ya hao Wanaume ati unaojaribu kuwasifia.

Mifano ni mingi mno pita kiasi...jaribu kuchungulia kuanzia kwenye medieval history na contemporary history;

Afrikan civilizations,Whites/European Civilizations,Hindus/Indian sub-continent,Arab/middle Eastern Civilizations,Chinese Civilization,Mayans,Aztecs na wengineo wengi mno.

Pitia hata recent history ya hata hizo nchi wajiitazo at ndo cradle of "democracy"/Western World...chungulia unyama,ubakaji,mauaji na unyanyasaji wa pale Amerika,Britain,France dhidi ya Wanawake for centuries and centuries na mpaka kesho bado kuna vitimbi na vituko kadhaa,ambavyo nina hakika wajua mangi mno!

Yaani ukatazama yayo na huko koote,ndugu zetu Wanawake,ni wa kuhurumiwa na pia...it's our moral and legal responsibility yetu sisi kuwasaidia na kushughulika nao pamoja ili kutokomeza hiyo gender discrimination.

Nastaajabu mno,yawaje leo katika hii 21th Century,mtu ajiitae ati ndo "msomi",khalafu unakua na hizo primitive views/attitudes!? Dah! Lazim nikubali yakuwa nimehuzunika kukusoma.

Next time when you write,please try to be guided by solid evidences and influenced by events,Ok Sir!?

Nipa fursa niwaite Dada zangu,King'asti,Angel Nylon na Faizafoxy ili tuone nao watatoa maoni yapi kwa hiyo bayana yako dhaifu/discriminatory!?

Natamani mno kuona Mujitahid Wabara,yeye naye atakwambani kwayo ulonena!?

Shukran kwa kunisikiza,na niwia radhi kama kuna lolote nimenena kwenye huo uchechefu wangu,nawe labda hukupendezwa nalo!?

Ahsanta.

Ahsante sana kwa kunialika kuchangia yatuhusuyo wanawake, ingawa sipendi kutoka nje ya mada ya mjadala huu, kwa mualiko inanilazim kidogo kwani inagusia wanawake.

Naomba kuwawekea kipande kidogo cha video kuhusu moja ya swali linalowatatiza sana wanawake wasio Waislaam ambalo kwa mwanamke wa Kiislaam ni kitu cha kawaida na wala hakifikirii:

[video=youtube_share;v6kR2XvZqgI]http://youtu.be/v6kR2XvZqgI[/video]
 
As salam aleykum Sheikh Mohamed Said

Wallahi ni bakti njema sana kwetu sote na hasa kwangu kila napojaaliwa kupita hapa na kukuta ilm hii muhimu
kuhusu wazee wetu walokua mstari wa mbele kwenye kuleta uhuru wa Taifa hili.

Waislam na Uislam bado tutabaki katika kumbukumbu za historia ya vita vya maji maji watake wasitake hawa wagalatia!

Ahsante Sheikh Mohamed Said kwa hii ilm hapa chini!

The Big Show,
Mnakasha umetolewa kwenye reli.

Hebu tujaribu kuurudisha In Sha Allah.

Songea+Mbano.JPG

Nimekuwekea hapa picha ya Chief Songea Mbano kama wanahistoria wetu
na wanasiasa wanavopenda ajulikane.

Laiti kama mwenyewe angelikuwa hai na ukamuuliza jina lake angelikwambia
kuwa, ''Jina langu naitwa Songea bin Rauf.''

Kwenye kaburi lake pale Makumbusho ya Majimaji, Mahenge Songea jina hili
haliuandikwa na badala yake liko hilo la Songea Mbano.

Jiulize kwa nini iwe hivi?

Imekuwa hivyo kwa uoga wa kuwatukuza Waislam na Uislam katika historia
ya Vita vya Maji Maji.

Waislam ndiyo walikuwa mstari wa mbele katika vita hivi:

Nakuwekea hapa chini jinsi nilivyomweleza Chief Songea bin Rauf katika kitabu
changu:

[TABLE="width: 660"]
[TR]
[TD]Islam has always been the ideology of resistance against colonial rule or any
other authority which tried to subjugate Muslims. Consequently, no government
in power either indigenous or foreign, has ever been kind or supportive to Islam,
and likewise Muslims have always been engaged in a continuous struggle to
preserve their faith and fight for their rights.

Christianity was resisted by Muslims right from the beginning. In any uprising
against the colonial government, Muslims took the opportunity to attack
missionaries and Christian establishments.

Muslim perceived both missionaries and the colonial government as fellow
collaborators and therefore enemies to Islam.

Islamic radicalism has therefore a long history in the struggle against colonial
rule and Christianity.

Christianity became a reactionary force siding with the colonial authority.

One needs only to read the letter written by the Chief Songea bin Ruuf at
the time when he was mobilising his people for war while at the same time
trying to cement alliances with other chiefs in Southern Tanganyika and
across the River Ruvuma in Mozambique.

This letter written to Sheikh and Sultan Mataka bin Hamin Massaninga
reads:[/TD]
[/TR]
[TR]
[TD]Sultan Songea bin Ruuf writes:

To the Shaykh and Sultan Mataka bin Hamis Massaninga.
Greetings, etc.

I am sending you a letter through Kazembe.

We have received an order from God that the Europeans must leave the
country.

We are in the process of fighting them here.

I believe that we have long since been reconciled,[so] send me your children,
so that we may make an alliance.

I had wanted to send you some cattle as a gift, but am not able to do, as
the war which God desired is continuing.

Send me a hundred riflemen, and support me in storming the Boma (Songea).

[TABLE="width: 660"]
[TR]
[TD]I am also sending you a flask of the Prophet Muhammad, which contains the
means for conquering the Europeans.

Have no doubt about it, it possessed great power.

And when we have taken the Boma (Songea), we shall go on the stations
on the Nyasa together, you and I.

Now, let us forget our old quarrels.[/TD]
[/TR]
[TR]
[TD]This bottle, with a da’wa, has been sent by Chinyalanyala himself, the war
leader.

He also sends the container (kombe), and sends you many greetings.[/TD]
[/TR]
[TR]
[TD]If your men will come, then Chinyalanyala himself will come and will give
you many of the holy things.[/TD]
[/TR]
[TR]
[TD]Hassan bin Isma’il greets you.[/TD]
[/TR]
[TR]
[TD]Many salutations,[/TD]
[/TR]
[TR]
[TD]Sultan Songea bin Ruuf.” [1][/TD]
[/TR]
[/TABLE]

[1] C.H. Becker, ‘Material for the Understanding Islam in German East Africa’,
Tanzania Notes and Records, No. 68, February, 1968, p.58.
[/TD]
[/TR]
[/TABLE]

The Big Show,
Hassan Ismail ambae Chief Songea bin Rauf kamtaja katika barua yake na yeye
alinyongwa na Wajerumani na jina lake lipo katika orodha ya lile kaburi la jumla
pale Songea.

Huu ni mfano mdogo tu wa hujuma inayofanyiwa historia ya Waislam.
 
Last edited by a moderator:
Ndugu zangu Waislaam,

Wamejiingiza watu humu kwenye mjadala na kuubadili kuwa ni wakidini na si wahistoria tena. Nasi tumeingia kichwa kichwa.

Naomba turudi kwenye mada.

Wanafanya makusudi, dawa yao ni kuwawacha bila kuwajibu pindi wanapotoka nje ya mada au tumuwache mmoja tu awashughulikie, napendekeza Kahtaan abaki nao hao akiwapa za uso, wengine tujikite kwenye mada.

Wanacheza na emotions zetu.
Kweli FaizaFoxy mikoba yote mbona tumeishamkadhi Dr kahtaan.
 
Last edited by a moderator:
Ahh baba upako! Umerudi na majibu yako ya mtari moja!

Teh teh teh teh.

Wacha longalonga hapa!

Hebu jibu swali hapo! UKATOLIKI NI NINI?

Ungekuwa na akili angalau kidogo ungeona namna huyo maamuma mwenzako alivyochemsha
Lakini kwa sababu mmejiandaa kulindana kwa gharama yoyote hata ya uchizi unacheka tu na kufumbia macho!
 
Kijana Tatizo lako elimu!
Kama hujausoma uislamu huwezi kuuelewa! Na sio lzm uende shule kuubwa kufahamu basic concept ya uislamu.
Hayo mambo ya mijusi sijui kupenda kiarabu na mengineyo uliyosema hayahusiani hata kidogo na UISLAM HALISI.
Na inavyoonekana UKRISTO PIA HUUJUI!
We hushangai ni kwanini biblia kila siku inaregebishwa na kufutwa au kuongezwa sheria?
Tuangalie mfano wa ULAJI WA NGURUWE!!

Biblia ya ASILI inasema

" Na nguruwe, kwa sababu yeye anazo kwato ni mwenye miguu iliyopasuka kati, lakini hacheui, yeye ni najisi kwenu. Msile nyama yao, wala msiiguse mizoga yao; hao ni najisi kwenu.
(Mambo ya Walawi 11.7-8)

Kwa hiyo naliwaambia wana wa Israeli, Msile damu ya mnyama wa aina yo yote; kwa kuwa uhai wa wanyama wote ni katika hiyo damu yake; atakayeila awaye yote atakatiliwa mbali. Tena kila mtu atakeykula nyamafu, au nyama aliyeraruliwa na wanyama, kama ni mzalia, kama ni mgeni, atafua nguo zake, na kuoga majini, naye atakuwa najisi hata jioni; ndipo atakapokuwa safi.(Walawi 17.14-15)

Halafu angalia KITABU HICHOHICHO KILIVYO CHAKACHULIWA!

PAULO ANASEMA;-

Msikieni:Kila kitu kiuzwacho sokoni kuleni, bila kuuliza-uliza, kwa ajili ya dhamiri; maana Dunia ni mali ya Bwana na vyote viijazavyo.
.(1 Wakorintho 10.25-26)

Hapa ukiuliza kwa nini kitabu kimoja KINA SHERIA MBILI TOFAUTI.
YA KWANZA ASEME MUNGU!
YA PILI ASEME PAULO.

Halafu wakristo woote WAMEAMUA KUMFUATA PAULO NA KUMPUUZA MUNGU??
Unajibiwa kuwa hio ya MUNGU NI YA ZAMANI! Na hio ya PAULO NDIO YA SASA!!

MFANO WA PILI;- ULIBERALI

Biblia ya ASILI INASEMA:-

Mambo ya walawi 20:13
-"Tena mtu mume akilala pamoja na mtu mume, kama alalavyo na mtu mke, wote wawili wamefanya machukizo; hakika watauawa; damu yao itakuwa juu yao.

ANDIKO HILO HILO LINASEMA'

""Usimuhukumu mtu maana na wewe usije Hukumiwa!"

NA WIKI KAMA 3 ZILIZOPITA YULE POPE kiongozi wa wakatoliki ametangaza rasmi kuwa WALIBERALI HAWAFAI KUHUKUMIWA NA YEYE HANA MATATIZO YYT NAO!!

Na MALKIA WA UINGEREZA AMBAE NDIO MUWAKILISHI WA KANISA AMETIA SAINI SHERIA YA WALIBERALI KUOANA MAKANISANI NA SEHEMU YYT NA NDOA YAO IKUBALIKE KI SHERIA.

SASA UNAONA WAZI KABISA KUWA BIBLIA IMECHAKACHULIWA KUSUDI ILI IONEKANE INA UPENDO ZAIDI. lkn ukweli ni kuwa BIBLIA INA SHERIA ZA KIKATILI KULIKO QURAAN.

Na hapa chini NAKUWEKEA SHERIA ZA KIKATILI KABISA AMBAZO ZIMO NDANI YA BIBLIA LKN KWENYE QURAAN HAKUNA.!!!

Kill Witches-(WACHAWI WAUWAWE)

-You should not let a sorceress live.--(Exodus 22:17 )

Kill Fortunetellers---(WAPIGA RAMLI WAUWAWE)

-A man or a woman who acts as a medium or fortuneteller shall be put to death by stoning; they have no one but themselves to blame for their death.- (Leviticus 20:27 NAB)

-Death for Hitting Dad-(AMPIGAE BABA YAKE MZAZI AUWAWE)!

-Whoever strikes his father or mother shall be put to death.--(Exodus 21:15 NAB)

-Death for Cursing Parents---(MWENYE KUWALAANI WAZAZI WAKE AUWAWE)

-1)-If one curses his father or mother, his lamp will go out at the coming of darkness.--(Proverbs 20:20 NAB)--

- 2)-All who curse their father or mother must be put to death.- They are guilty of a capital offense.- (Leviticus 20:9 NLT)

Death for Fornication--(MZINIFU AUWAWE)

A priest's daughter who loses her honor by committing fornication and thereby dishonors her father also, shall be burned to death.- (Leviticus 21:9 NAB)-

HII HAPA NI SHERIA YA KUUA KILA ASIE KUWA MKRISTO!!

Death to Followers of Other Religions--

Whoever sacrifices to any god, except the Lord alone, shall be doomed.--(Exodus 22:19 NAB)-

Kill Nonbelievers---

Hii inasema kina Kiranga na Ibambasi na wapagani wasio amini mungu yyt LAZIMA WAUWAWE.

-They entered into a covenant to seek the Lord, the God of their fathers, with all their heart and soul; and everyone who would not seek the Lord, the God of Israel, was to be put to death, whether small or great, whether man or woman.- (2 Chronicles 15:12-13 NAB)-

HII HAPA WEWE PAMOJA NA Nyakageni NA 2013 NA Mlaleo NA Eiyer HAWA WOTE WALITAKIWA WAFE! Ni MANABII WA UONGO!

Kill False Prophets----

If a man still prophesies, his parents, father and mother, shall say to him, "You shall not live, because you have spoken a lie in the name of the Lord."- When he prophesies, his parents, father and mother, shall thrust him through.--(Zechariah 13:3 NAB)-

HII HAPA ITABIDI MUUE WATU WA MIKOA YOTE HUKO TZ KWA SABABU KUNA DINI NYINGINE KAMA ZA KIHINDU WANAZO ABUDU MIUNGU WENGINE!!

Kill the Entire Town if One Person Worships Another God--

--Suppose you hear in one of the towns the LORD your God is giving you that some worthless rabble among you have led their fellow citizens astray by encouraging them to worship foreign gods.- In such cases, you must examine the facts carefully.- If you find it is true and can prove that such a detestable act has occurred among you, you must attack that town and completely destroy all its inhabitants, as well as all the livestock.- Then you must pile all the plunder in the middle of the street and burn it.- Put the entire town to the torch as a burnt offering to the LORD your God.- That town must remain a ruin forever; it may never be rebuilt.- Keep none of the plunder that has been set apart for destruction.- Then the LORD will turn from his fierce anger and be merciful to you.- He will have compassion on you and make you a great nation, just as he solemnly promised your ancestors.- "The LORD your God will be merciful only if you obey him and keep all the commands I am giving you today, doing what is pleasing to him."- (Deuteronomy 13:13-19 NLT)-

HII INASEMA KILA ALIEOA AKAKUTA MKEWE SIO BIKRA BASI LZM AMUUE!!
SASA TUMUULIZE SISTER King'asti JE ATAIKUBALI HII SHERIA?? AU KAMA VIPI AOLEWE NA MUISLAM TU!

Kill Women Who Are Not Virgins On Their Wedding Night---

-But if this charge is true-(that she wasn't a virgin on her wedding night), and evidence of the girls virginity is not found, they shall bring the girl to the entrance of her fathers house and there her townsman shall stone her to death, because she committed a crime against Israel by her unchasteness in her father's house.- Thus shall you purge the evil from your midst.-
(Deuteronomy- 22:20-21 NAB)

SASA Mgibeon nimekutajia sheria nyingi tu hapo ambazo ZIMO KWENYE BIBLIA LKN HAKUNA HATTA MOJA YA NAMNA HIZO NDANI YA QURAAN YA WAISLAMU.

Sasa kusema kwako kuwa"" MUNGU WA BIBLIA ANA UPENDO WA HALI YA JUU SANA"" ni UONGO ULIO WAZI KABISA!

NA KAMA UKIUSOMA UISLAMU BASI LZM USKIE RAHA TU!
JARIBU UINE MWENYEWE! WACHA KUSKILIZA MANENO YA MITAANI NA KWENYE TV NA RADIO.!!

Sasa TAZAMA WAGALATIA WATAKAVYO KUJA HAPA! NA YALE MANENO YAO YA KIPAROKO!
ohhh hizo sheria za wayahudi! Ohh hizo zimepitwa na wakati! Ohh Yesu kafundisha upendo!!
HAPO JUU UMEONA KUNA DALILI YOTE YA KUPENDANA??

Ahsanta.

Dr. kahtaan,

Salaam Maalim wangu!

Hakika mimi sina cha kuongeza hapo juu kwenye hizo bayana zako, kwani tayari umeshamaliza kwa kupigilia msumari wa kichwa teh teh teh! Watoto wa mjini wanasema lazima wakae kwi kwi kwi!!

Ahsante!
 
Ndugu zangu Waislaam,

Wamejiingiza watu humu kwenye mjadala na kuubadili kuwa ni wakidini na si wahistoria tena. Nasi tumeingia kichwa kichwa.

Naomba turudi kwenye mada.

Wanafanya makusudi, dawa yao ni kuwawacha bila kuwajibu pindi wanapotoka nje ya mada au tumuwache mmoja tu awashughulikie, napendekeza Kahtaan abaki nao hao akiwapa za uso, wengine tujikite kwenye mada.

Wanacheza na emotions zetu.

Ukhti FaizaFoxy I am honoured! Na nitafurahi sana kama mtaniachia hawa waparoko na wagalatia niwapakie kwenye hili lori langu!
Na mimi nawaahidi nitawafikisha tu huko tunakokwenda! But it will be a bumpy ride!
I promise! 😀😀😀😀.

Lile rungu la Shariff Ritz pia ninalo hapa just in case nguchiro wakizidi!
 
Last edited by a moderator:
Niwia radhi kwa kungia kati ya hii bayana yako kwa mwenzio Mujitahid Wabara.

Nipa fursa ya kuzungumza nawe kiduchu kuhusu hapo nilipo-bold kwenye hiyo bayana yako!?

Yaani nimesoma hiyo bayana yako na kuacha mdomo wazi kabisa! Duh! Khalaf,mtu kama wewe unaweza kujiita ati ndo "msomi" kweli!?

Kutokana na hizo intellectual discrimination/selective views zako(as you seem to discourage historical facts!?),na hizo pia sexist remarks,primitive attitudes...ndo maana nyinyi wengi wenu mnashindwa asilan japo hata kiduchu ku-empathy na madhila na dhuluma wapitiazo wenzenu Waislam. Yaani sasa ndo nazidi kutanabahi,niliposoma hiyo bayana yako!

Bila hata ya kugusia kabisa mambo ya Dini/Imani,lakini embu wewe mwenyewe binafsi jaribu kupitia tena hapo kwenye hiyo bayana yako nilipo-bold!?

Yaani,wewe unashindwa kufahamu kabisa madhila,dhuluma,ubakaji,uporaji,mauaji ya halaiki,mateso yaso kiasi...ambayo ndugu zetu Wanawake wamepitia tangia enzi za Cain na Abel,na bado yanawakumba mpaka kesho kwenye jamii/nchi nyingi tu humu duniani!?

Hivi wewe unafikiri,kama historia ya ndugu zetu Wanawake isingalikua ni ya mateso,dhuluma,ubakaji,unyang'anyi,mauaji na kunyimwa haki zao nyingi mno wanazostahili,je kungalikua na haja ipi ya hao Wanawake kujaribu kudai haki au watambuliwe as equals hivi leo humu duniani!?

Jamaa yangu Mgibeon,yaani umeshindwa kabisa kuliona hilo,na umekuja na arrogant remarks tena kwa mbwembwe nyingi,huku ukilinganisha madhila na dharuba za Wanawake na zile za Waislam!?...yaani,kama vile unajua mambo meengi ya maana!?

Ni kweli yawezekana kabisa yakuwa pana similarities nyingi mno,kwa madhila,dhuluma na nakma walizopitia/wapitiazo Waislam na ndugu zetu Wanawake,kama ulivyojitahidi kuyakinisha...sasa badala ya kuwabeza na kuwafanzia tahstit ,nafikiri la muhimu ni kutafuta ufumbuzi kwayo!?

Na hii itakua ni kwa manufaa yetu soote,Taifa letu changa na Vizazi vyetu vyoote vijavyo!

However,you sound a sincere person and I respect you for that.

No need for me to question the premise of your moral fundamentals.

But,but,when you can afford a little chance,read with understanding...I mean re-read your post and just think, Sir!

Wanawake ndugu zetu maskini,wamepitia mateso na dharuba nyingi mno na mpaka kesho wanaendelea kuteseka pita kiasi kwenye mikono ya hao Wanaume ati unaojaribu kuwasifia.

Mifano ni mingi mno pita kiasi...jaribu kuchungulia kuanzia kwenye medieval history na contemporary history;

Afrikan civilizations,Whites/European Civilizations,Hindus/Indian sub-continent,Arab/middle Eastern Civilizations,Chinese Civilization,Mayans,Aztecs na wengineo wengi mno.

Pitia hata recent history ya hata hizo nchi wajiitazo at ndo cradle of "democracy"/Western World...chungulia unyama,ubakaji,mauaji na unyanyasaji wa pale Amerika,Britain,France dhidi ya Wanawake for centuries and centuries na mpaka kesho bado kuna vitimbi na vituko kadhaa,ambavyo nina hakika wajua mangi mno!

Yaani ukatazama yayo na huko koote,ndugu zetu Wanawake,ni wa kuhurumiwa na pia...it's our moral and legal responsibility yetu sisi kuwasaidia na kushughulika nao pamoja ili kutokomeza hiyo gender discrimination.

Nastaajabu mno,yawaje leo katika hii 21th Century,mtu ajiitae ati ndo "msomi",khalafu unakua na hizo primitive views/attitudes!? Dah! Lazim nikubali yakuwa nimehuzunika kukusoma.

Next time when you write,please try to be guided by solid evidences and influenced by events,Ok Sir!?

Nipa fursa niwaite Dada zangu,King'asti,Angel Nylon na Faizafoxy ili tuone nao watatoa maoni yapi kwa hiyo bayana yako dhaifu/discriminatory!?

Natamani mno kuona Mujitahid Wabara,yeye naye atakwambani kwayo ulonena!?

Shukran kwa kunisikiza,na niwia radhi kama kuna lolote nimenena kwenye huo uchechefu wangu,nawe labda hukupendezwa nalo!?

Ahsanta.

Ahsanta mkuu gombesugu.

Nakusoma ustaadh.

Dada'angu FaizaFoxy naamini atakua na mchango mzuri.

Endeleeni kutuelimisha juu ya historia, sie wengine ndo twajifunzia hapa.

Allahu barik na Al jumaa kariim.

Cc: Mohamed Said
FaizaFoxy
@ Dr kahtaan
Tayeb
THE BIG SHOW
Na. Ritz
 
Last edited by a moderator:
Ndugu zangu Waislaam,

Wamejiingiza watu humu kwenye mjadala na kuubadili kuwa ni wakidini na si wahistoria tena. Nasi tumeingia kichwa kichwa.

Naomba turudi kwenye mada.

Wanafanya makusudi, dawa yao ni kuwawacha bila kuwajibu pindi wanapotoka nje ya mada au tumuwache mmoja tu awashughulikie, napendekeza Kahtaan abaki nao hao akiwapa za uso, wengine tujikite kwenye mada.

Wanacheza na emotions zetu.

Umeonge point.

Allahu barik
 
Hilo swali ulitakiwa ulijibu wewe maana hizo kopi nzako zinazungumzia hiyo kitu!

Muchungwaji Eiyer,

Nakupa kazi ya ziada, tafuta bandiko langu lenye kukutaka wende kujifunza kusema kwanza, ukishasoma pengine ukapata faida nilikua nakusudia nini hasa kukuambia vile!
 
Last edited by a moderator:
Dr. kahtaan,

Salaam Maalim wangu!

Hakika mimi sina cha kuongeza hapo juu kwenye hizo bayana zako, kwani tayari umeshamaliza kwa kupigilia msumari wa kichwa teh teh teh! Watoto wa mjini wanasema lazima wakae kwi kwi kwi!!

Ahsante!

Ndugu yangu al akhiy Tayeb I am soo pleased to see you my brother!

Tunafurahi kukuona umekuja na bashasha zako!
Tuko hapa na waparokia tukijaribu kuwakumbusha kidogo!

Shukran maalim.
 
Last edited by a moderator:
Ndugu yangu al akhiy Tayeb I am soo pleased to see you my brother!

Tunafurahi kukuona umekuja na bashasha zako!
Tuko hapa na waparokia tukijaribu kuwakumbusha kidogo!

Shukran maalim.

Shukran Doctor kahtaan,

Tuko pamoja, naona unaendelea kuwapa chembe kidevu hao waparokia wa kigango cha wasojua teh teh teh!
 
Last edited by a moderator:
Ungekuwa na akili angalau kidogo ungeona namna huyo maamuma mwenzako alivyochemsha
Lakini kwa sababu mmejiandaa kulindana kwa gharama yoyote hata ya uchizi unacheka tu na kufumbia macho!

Teh teh teh teh teh!
Tunalindana?
We umeskia sisi tunafanya kazi TRA au TANROD au wale mamwela wanao uza ushahidi halafu wakagawana maganji!
Teh teh teh teh!

We huna lolote ilijualo! Al muadham maalim gombesugu Umekuuliza swali dooogo tu!!

Je UKATOLIKI NI NINI!?

Ukaanza kujiwehusha!! Ohhh mimi sio makatoliki! Ohhhh mimi nimetahiriwa!...bla ...bla..bla..

Sisi Tunafahamu KUWA WEWE SIO MKATOLIKI NA UMESHASEMA WAKATOLIKI NI WAABUDU MASANAMU NA HAWAFAI!
LKN hii sio sababu ya kujizungusha kujibu swali!!

Unaleta Stori nyiiiiingi!

KWANI NI DHAMBI KUSEMA HUJUI??

We kama ukiulizwa kitu hujui sema tu SIJUI! baaas na swali linafia hapo hapo.

Baba paroko mzee wa kupakwa we!
Na Usipo shtukia watakupaka hivo hivo mpaka kiama!

Teh teh teh teh teh!
 
Last edited by a moderator:
Wewe ni dhahabi/sect ipi sasa...maana mimi nina mipini ya kila aina hapa,ok!?
Mimi ni mkristo
Au wewe ni Atheist,Agnostic,Animist,Mormon,Jehova Witness,Hindu,Budhist!?
Mbona unaanza kuassume mambo?
Au wewe ni mganga wa kienyeji?

Uliza swali ujibiwe sio unaanza kuwa kama wale jamaa zenu wanaowatabiria nyota
Wewe si uliamua kuacha mada/history,umetaka mazingaombwe!?
Leta ushahidi wa hili kama mimi ndie nilieanza kutoka nje ya mada
...kwanini unaukana Ukatoliki!?...

Ni wapi niliwahi kusema mimi ni mkatoliki?
je wewe hujawahi kuwa Mkatoliki!?

Niliwahi kusema hili wapi?
Narejea tena;Ukatoliki ni nini,
Wewe ndie ulieanza kuleta copy and paste zinazohusiana na ukatoliki,hilo swali ni lako na lijibu tafadhali
na je una tafauti ipi na madhahabi mangineyo ya Ukristo!?

Tofauti ziko nyingim sana
Wao wanaweka sanamu kanisani madhehebu mengine hayaweki
Wao wanasali jumapili lakini kuna wengine hawasali siku hiyo
Wao makao makuu yao ni Vatcan lakini mengine sio huko
Kiongozi wao ni Papa na wengine sio

Hizo tofauti zinakutosha
Ahsanta.
Ps; "Mpaka hapo vumbi litakapotuama,ndipo tutaweza kupembua farasi ni yupi na punda ni yupi" - By Ulamaa Boko Haram.
Haihitajiki
Hata kwa sauti zao wanajulikana tu!
 
Ukhti FaizaFoxy I am honoured! Na nitafurahi sana kama mtaniachia hawa waparoko na wagalatia niwapakie kwenye hili lori langu!
Na mimi nawaahidi nitawafikisha tu huko tunakokwenda! But it will be a bumpy ride!
I promise! 😀😀😀😀.

Lile rungu la Shariff Ritz pia ninalo hapa just in case nguchiro wakizidi!

Daktur kahtaan, mimi nimeona wewe hao unawagaragaza vizuri sana na wala haina haja ya sisi sote kuwaumiza zaidi kwani umeshawajeruhi vya kutosha.
 
Last edited by a moderator:
Mimi ni mkristo
!

Teh teh teh teh!
We huna haja ya kumwambia mtu wewe ni mkristo!
Harufu peke yake inajulisha kuwa wewe umesha pakwa !😀😀😀

Swali hujajibu!
UKATOLIKI NI NINI?

Na kama hujui sema!
Mchungwaji nuksi wewe!!
Teh teh teh
 
Teh teh teh teh!
Typical galatian! Copy and paste!
You have quoted few line here from quraan which YOU THINK it meant muslima were commanded to fight randomly to anybody!
Teh teh teh teh! R U NUTS??
Anyone with sound mind will understand that! " NO ONE CAN TELL YOU JUST GO AND FIGHT ANYTIME ANYWHERE WITH ANY NON MUSLIM!!😀😀😀😀.

All those line you quoted WAS REVEILED ON THE PAST SPECIFIC WAR EVENTS.
And is got nothing to do with me and you!

If you could atleast ask first what are those line meant! Someone could help you!

In regards to a dream! The world "BLACK" here DOES NOT REPRESENT COLOUR OF SKIN OR ANY COLOUR Rather is the SIGN OF NIGHTMARES! !
Another example of world "BLACK" WHICH DOES NOT REPRESENT SKIN COLOUR IS NOR ANYTHING TO DO WITH COLOUR AT ALL!!

BLACK MAGIC.
BLACK MARKET.
BLACK WIDOW.
BLACK MAILING.
BLACK SMITH.

So young man all those ABOVE, DOES GOT NOTHING TO DO WITH COLOUR AT ALL!
Tatizo lako ni limitation ya hio elimu yako!
Hakuna kitu kizuri kama kusoma kiti kabla ya kukiandika!
Sasa wewe wacha quraan HATA BIBLIA HUIJUI!
We unadhani wale waliotajwa ktk quraan kuwa "WALIOPEWA KITABU KABLA YENU" kwamba ni NYIE WAGALATIA??
teh teh teh teh teh!
We kwa akili yako hio biblia unayoitumia leo NI KITABU CHA MUNGU!

HIO BIBLIA ONLY 15% NDIO MANENO YA MUNGU 85% NI YA KWENU NA HUYO PAULO.

Al akhy umemjibu vizuri sana huyu kilaza wao wanaisoma Quran kibubusa wakikuta aya za jihad wanazibeba hivyo hivyo bila kufanya utafiti.

Ushauri wangu kwao sio kila unaloliona kwenye hadithi ni sawa kuna hadithi sahihi na dhaifu na vyote vinataka ilmu sio una copy na kupaste na kuleta huku.
 
Teh teh teh teh teh!
Tunalindana?
We umeskia sisi tunafanya kazi TRA au TANROD au wale mamwela wanao uza ushahidi halafu wakagawana maganji!
Teh teh teh teh!
Hapa ndipo ulipoishia kufikiri?
We huna lolote ilijualo! Al muadham maalim gombesugu Umekuuliza swali dooogo tu!!
Umejuaje hili
Je UKATOLIKI NI NINI!?
Hivi mbona mnakuwa kama hamnazo nyie watu?
Au hamjui kusoma kuwa niliwaambia hilo ni swali lenu?
Ukaanza kujiwehusha!! Ohhh mimi sio makatoliki! Ohhhh mimi nimetahiriwa!...bla ...bla..bla..
MNAPENDA SANA KUASSUME MAMBO EEEH!
Sisi Tunafahamu KUWA WEWE SIO MKATOLIKI NA UMESHASEMA WAKATOLIKI NI WAABUDU MASANAMU NA HAWAFAI!
Sasa ni kwanini unaniuliza kama unajua hawanihusu?
LKN hii sio sababu ya kujizungusha kujibu swali!!
Moja:Ukatoliki na wakatoliki hawanihusu
Pili:Sikua wa kwanza kuleta hoja yoyote hapa inayohusiana na ukatoliki au wakatoliki hivyo siwezi kujihusisha na mambo ambayo mwanzilishi wake sio mimi

Hivyo sio jukumu langu kujibu hilo
Unaleta Stori nyiiiiingi!
Anaeleta story ni yule anaezungumza kitu asichojua hata ni kitu gani
KWANI NI DHAMBI KUSEMA HUJUI??
Kwako wewe mtu akisema hajibu kwa sababu swali halimuhusu anakuwa amesema hajui jibu?
We kama ukiulizwa kitu hujui sema tu SIJUI! baaas na swali linafia hapo hapo.
Nimeshakuambia kuwa swali hilo halinihusu mbona huelewi?
Baba paroko mzee wa kupakwa we!
Hii umeitoa wapi?
Na Usipo shtukia watakupaka hivo hivo mpaka kiama!
Nini?
Teh teh teh teh teh!
Kama kawaida yako ya kuchekacheka hovyo
Au tayari??????
 
Teh teh teh teh!
We huna haja ya kumwambia mtu wewe ni mkristo!
Harufu peke yake inajulisha kuwa wewe umesha pakwa !😀😀😀

Swali hujajibu!
UKATOLIKI NI NINI?

Na kama hujui sema!
Mchungwaji nuksi wewe!!
Teh teh teh

Umesahau kuwa huyo maamuma mwenzako aliniuliza na wewe ukashabikia?
Au umeshasahau?
Au huyo maamuma mwenzako hana pua ya kunusa hiyo harufu?
 
Back
Top Bottom