Ismael Jussa amesema kuwa Nyerere ndiye aliyemuua Abeid Karume, yana ukweli haya? Na kama siyo mbona bado anazunguka mitaani, akamatwe

Kama hampendi asilimia 100 huo muungano kwanini msijitoe sasa kama mnaweza, mnachofanya ni kuleta fujo na chuki kwa watu wa upande wa pili ambao hawana makosa. Kama kulikuwa na makosa ni yenu kwanini mlikubali ninyi, si mlivue hilo koti linalowabana?
 
Kama hampendi asilimia 100 huo muungano kwanini msijitoe sasa kama mnaweza, mnachofanya ni kuleta fujo na chuki kwa watu wa upande wa pili ambao hawana makosa. Kama kulikuwa na makosa ni yenu kwanini mlikubali ninyi, si mlivue hilo koti linalowabana?

Ondoeni majeshi yenu ya uvamizi kwanza. Aliyekubali huo uvamizi ni Mnyasa Karume, siyo Wazanzibari. Ndiyo maana mpaka leo mnatumia nguvu ya dola kuulinda huo uvamizi.
 
Ondoeni majeshi yenu ya uvamizi kwanza. Aliyekubali huo uvamizi ni Mnyasa Karume, siyo Wazanzibari. Ndiyo maana mpaka leo mnatumia nguvu ya dola kuulinda huo uvamizi.
Tatizo ni kwamba ninyi hamuelewi mnachoongea muda wote, hayo majeshi yapo kwa mujibu wa sheria. Hivi mnafikiri ule muungano wa 1964 ulikuwa ni mchezo wa bao. Ni sawa sawa na kusema kuwa polisi waondoke mitaani ili wahuni kama wewe na wenzako mkaibe. Sijui mtaelewa lini, lakini siwalaumu sana, uwezo wenu wa kufikiri ni mdogo sana. Kwani huyo Karume alikuwaje rais wakati ni Mnyasa? Kweli wewe huna ubongo, mpo hivyo hivyo, hambadiliki na wala uwezo wenu wa kufikiri haukui.
 

Muungano gani huo wa kulazamishana na kumwaga damu za watu? Huo ni uvamizi wa nchi moja kukalia nchi nyingine. Tena ni ukoloni kabisa.
 
Hofu ya muungano ni mkataba kati ya sultan na mjeruman kua sultan achukue eneo la km kum kuja tanganyika kutoka katika pwan ya tanganyika hii ndio sababu kubwa ya kuwabembeleza wanzazibar maana wakiwa huru watataka sehem yao so bandar kurasin yote inakua yao ndio maana wamalaw wanataka ziwa lao maana mpaka ni ukingo wa ziwa malawi upande wa tz ila wananch waruhusiwe kuvua na kusafir
 
Hiyo attachment ni moja tu.....isikilize natafuta nyingine inayo contents zote nilizotaja. Nitaendelea kuchambua moja hadi nyingine.
 
Niwekee link mkuu
 
Sasa kama kuna malalamiko kwa nini isiandaliwe kura ya maoni kuhusu huo muungano kama wakiukataa wengi uvunjwe
 
u
uhuru umepitiliza hasa a wazanzibari. nilimsikia hata fatma karume jana anasema Samia ni rais wa kwanza toka zanzibar, mwinyi sio Mzanzibar ni wa mkuranga. nilishangaa kwelikweli. akasahau kuwa babu yake alizaliwa malawi na alikuwa mmalawi. leo hii anajiona mzawa kuliko hata wazawa halisi.
 
Muungano gani huo wa kulazamishana na kumwaga damu za watu? Huo ni uvamizi wa nchi moja kukalia nchi nyingine. Tena ni ukoloni kabisa.
Yes inawezekana ni ukoloni kama unavyofikiri, nyiye mmeshadanganywa sana na Maalim Seif, Jussa na huyo domo mwingine OMO kuwa tunapata mamlaka kamili...Angalieni articles za muungano ulikuwa ukisema nini? Muungano siyo ndoa kama za huko kwenu unataliki asubuhi jioni una mke mwingine., Muungano unaangalia maslahi mapana ya walioungana. Huwezi kuamka asubuhi na kuanza kupiga makelele misikitini kuwa tunataka Zanzibar kamili, mbona hao wanaowaambia hawawezi kuwapa mamlaka kamili? Ndio maana nasema shule kwenu ni tatizo, mna midomo tu lakini vichwani mpo bwerere...hamna kitu, maboga tu.
Kuna makubaliano yaliyofanyika mwaka 1964, na anayevunja anatakiwa awe upande wa hasara....Ndiyo maana ya "binding agreement" Najua articles za muungano, lakini mpo tayari kupoteza kama articles za muungano zinavyosema? Ndiyo maana nakuelewesha kuwa usidhani muungano ni kama wanawake mnaowaoa huko wa kuwaacha asubuhi na kuoa tena jioni, hapa unaongelea maslahi ya nchi ambayo kwanza kujaribu kuyapinga ni kosa kubwa. HIYO NI TREASON, na unajua adhabu za treason case ni nini?
Mmedanganywa na mnaendelea kudanganywa na huyo OMO, Jussa na marehemu Maalim. Angalia historia ya nchi au sehemu zilizotaka kujitenga, mfano Marekani hadi kusababisha Civil war (Southerners walitaka kujitenga kupinga biashara ya utumwa kusitishwa).

Hao wanaowadanganya, hawawasaidii, masharti ya kuvunja miungano ni migumu, imefanyika kila mahali lakini imeshindwa.....Kuanzia USA, UK, Spain nk. Hivi ukiambiwa kuwa ili kuvunja muungano kunatakiwa kuwa na kura ya maoni ya asilimia 99.9...mtaipata hiyo? Ebu nenda kalale wewe, uamke kesho asubuhi ukatafute kazi...angalau itakusaidia kuliko kuwa na "wishful thinking".
 
Elimu yenu bado ndogo sana, Sultani yaani achukue eneo letu kwa mkataba gani? Kumbe ndivyo mnavyodanganywa...Duuh kweli bado mpo nyuma sana. Sultani wa wapi wewe Samaki wa urembo? Halafu kuhusu ziwa Nyasa kwa taarifa yako ile mipaka ilikuwa ikifahamika na pia kuna taratibu za mipaka kwenye sehemu za maji (waterbodies) aidha ziwa na mito, sheria inasema inakatisha maji si lazima ziwe kati kwa kati inaweza kuwa sehemu ndogo ya ziwa. Kwa taarifa yako sehemu yetu ya ziwa Nyasa meli za hao unaowasema huwa hazikanyagi hapo. Na miji ya Mbamba bay ipo ziwani na mingineo. Kwa hiyo jipe moyo na endelea kusikiliza uongo.
 
Sasa kama kuna malalamiko kwa nini isiandaliwe kura ya maoni kuhusu huo muungano kama wakiukataa wengi uvunjwe
Inategemeana kama upande huu mwingine utakubali, kitu ambacho ni ndoto. Hata huko wanakopiga kelele, wakiweza sana ni asilimia 55, kama kura ya maoni ya kutaka kujitenga ni asilimia 95, mtaifikia hiyo kaka? Siyo rahisi kama kutaliki mke huko uswahilini.
 
Ndiyo maana nasema hawa watu kuna vitu kwenye vichwa vyao ambavyo havipo sahihi. Ni wabaguzi mno, uelewa mdogo, wana mentality za kitumwa yaani hawafundishiki. Yaani kweli kuna mzanzibari kumshinda mzee Mwinyi, wengi wanaomsema hawakuzaliwa kabla ya mzee Mwinyi....Uelewa mdogo sana. Hiyo ndiyo elimu inayotolewa na maimamu mimbarini....hao wabakaji masheikh uchwara.
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…