Bwana Utam
JF-Expert Member
- Feb 15, 2016
- 19,559
- 36,514
Angalia ulivyo kipofu Iran mwaka huu kaitwanga israhell Mara ngapi au unasema israhell ipiIndelea kujiliwaza
Endelea kujiliwaza hv unajua kwanini Israeli anabonda Iraq anabonda Syria anabonda Gaza anabonda Yemen anabonda Lebanoni wapo kimywa Irani anaogapo hata kuinua helicopter kupiga Israeli???
Ushaishiwa hoja naona unaanza viojaSawa Kila la kheri msalimie na alah wako huko aliko ila mwambie myahudi anawamaliza waumini
Ingekuwa palestine ipo uru mipaka yake tungeona ungeona wangekuwa zaid ya Ukrain Gaza wqpo jela lkn wameshangaza DuniaNi kweli wahuni wanajificha nyuma ya raia kama Wana nguvu wange Kaa peke Yao kama Ukraine wanavo Fanya sio kujificha kwa akina mama
Una uhakika? Mbona leo wameondoa na kichwa cha msemaji wa Hizibula ndungu na shehe Mohamed AfifHabari ndio hio Israel wanasingizia watasimamisha vita North kwa mda kutokana na UN itatoa Resolution kuhusu Gaza. Swali toka lini Israel ilifata sheria za UN. Hakuna zaidi ya moto wa Hezbullah unatisha wameona wakimbia kijanja huko Lebanon
Habari ndio hio Al Arab TV inasema hio ni Breaking news kutokana na Israel TV channel 12.
View: https://youtube.com/shorts/XhhX2vgRvaY?si=cCLRefvVPxmGWqTo
Kwa hio kumuwa msemaji wa habari ndio ubabe 😄 Huyo kwanza sio askari hapo ndio inaonyesha vipi Israel kafilisika hajui.target za kijeshi au za civilian. Yeye anadhani kupiga civilian target ndio ushindi. Haya we tuambia huyo msemaji wa Hezbullah kamua kapata nini, ili asifance press conference au 😄Una uhakika? Mbona leo wameondoa na kichwa cha msemaji wa Hizibula ndungu na shehe Mohamed Afif
Msemaji wa Hezbollah Auwawa kwenye shambulio la Anga la Jeshi la Israel
Msemaji wa Hezbollah Auwawa kwenye shambulio la Anga la Jeshi la Israel
Israeli imemuuwa msemaji wa kikundi cha Hezbollah kwenye shambulizi la ndege vita lililoua watu 72 wengi wao wakiwa ni wanamgambo wa Hezbollah.... Habari zaidi ni hapo chini kwa kimombo Al Jazeera Live By Mersiha Gadzo and Alma Milisic Published On 17 Nov 202417 Nov 2024 Hezbollah’s top...www.jamiiforums.com
Israel yamuua Salim Ayyash, wa Hisbollalieh aliyehukumiwa na Mahakama Kuu ya Lebanon kwa mauaji ya waziri mkuu wa zamani Rafik Hariri
Salim Ayyash, gaidi wa Hezbollah, alietiwa hatiani kwa mauaji ya waziri mkuu wa zamani, Rafik Hariri, ambaye alikuwa mzalendo wa Lebanon anayejulikana kwa kujenga upya Beirut baada ya vita vya wenyewe kwa wenyewe. Ripoti zinadai kuwa aliuawa katika shambulizi la Israel nchini Syria...www.jamiiforums.com
Tena awajamaa zetu hii habari wanataka iyonekane ya kishujaa kuuwa mwandishi tu faida yake sijui nn adi wameshobokea ili tukio mtu kakimbia vita vya chini anaenda kuuwa mwandishi habari !!!Kwa hio kumuwa msemaji wa habari ndio ubabe 😄 Huyo kwanza sio askari hapo ndio inaonyesha vipi Israel kafilisika hajui.target za kijeshi au za civilian. Yeye anadhani kupiga civilian target ndio ushindi. Haya we tuambia huyo msemaji wa Hezbullah kamua kapata nini, ili asifance press conference au 😄
Katwanga Nini? Leta ushahidi saivi Israeli kamtwanga Irani kamuacha uchi saivi Ayatola anamawazo sana maana mwisho wake umefika akirudishia tu kajitoa muhanga anaondoka madarakaniAngalia ulivyo kipofu Iran mwaka huu kaitwanga israhell Mara ngapi au unasema israhell ipi
Sioni kama unazungumza lolote la maanaUshaishiwa hoja naona unaanza vioja
Wameshangaza Dunia kwa kuua na kuteka raia wametuulia na mtanzania wetuIngekuwa palestine ipo uru mipaka yake tungeona ungeona wangekuwa zaid ya Ukrain Gaza wqpo jela lkn wameshangaza Dunia
Mipaka ndo Nini swali wanashikilia ardhi ganj mpaka sasa?Ingekuwa palestine ipo uru mipaka yake tungeona ungeona wangekuwa zaid ya Ukrain Gaza wqpo jela lkn wameshangaza Dunia
Nenda ka google utaona katwanga nini hem leta picha tuone Iran iloachwa uchiKatwanga Nini? Leta ushahidi saivi Israeli kamtwanga Irani kamuacha uchi saivi Ayatola anamawazo sana maana mwisho wake umefika akirudishia tu kajitoa muhanga anaondoka madarakani
Kama ambavyo wewe hujawahi kuongea la maanaSioni kama unazungumza lolote la maana
Gaidi lazima wauliwe tu hata wakiwa wa Kenya wenzanguWameshangaza Dunia kwa kuua na kuteka raia wametuulia na mtanzania wetu
Sawa wamwaga damu tunawafahamu sasa nanyie mkiuliwa msilalamikeGaidi lazima wauliwe tu hata wakiwa wa Kenya wenzangu
SawaKama ambavyo wewe hujawahi kuongea la maana
Siyo kazi yangu kutafuta huko google ila mi nakuleta kupigwa kwa Uran mpaka nasikia Ayatolaha kapata mstuko wa moto huko na sijui Hali yake kwa sassNenda ka google utaona katwanga nini hem leta picha tuone Iran iloachwa uchi
Usitume Mimi nenda katafute wewe ila Mimi ushahidi wangu huu hapaNenda ka google utaona katwanga nini hem leta picha tuone Iran iloachwa uchi
Akili zingine kweli urojo, yaani makamanda wenu wauliwe halafu useme wameshinda vitaKweli kamanda, hakuna kama Hezbollah. Israeli kashindwa vita kaishia kuua makamanda wa Hezbollah nà wanawake na watoto.