Israel Ameamua Kukimbia Lebanon

Upuuzi ni kushabikia vita! Watu wanauawa bila hatia na mtu anapenda viendelee! Hakuna kitu cha busara Israel amefanya kwa wapenda amani kama kusitisha vita. Upambe wa nini?
Kwa nini amesitisha Lebanon na sio gaza.. Lebanon sio blockage na pia wanyonge kama ghaza ndo maana amekimbia si aliingia kwa mbwembwe kuwarudisha watu wa kaskazini jaman badala yake ndo kwanza wameondolewa hadi wa miji ya kati
 
mnawachochea warudi ili ndugu zenu wafe muwapige picha kuwapost dunia iwaonee huruma ? waislam hawapenda hata kdg , hv kwa Gaza mlikuwa mnapost kisha baadae watu wa Gaza wanaangamia mnaanza jiliza dunia imewatenga wkt mlikuwa na option ya kuepusha vita isitokee
 
Hao mbwa mazayuni wapigwe hukohuko kwao wanakokimbilia.

Hawana cha UN, hawana cha TV. Ni qaongo qa kutuowa hao. Hizbollah iwabamize mpaka wanyanyuwe bendera nyeupe. Hakuna kuondoka kimya kimya.
 
Mkuu unareport ukiwa wapi vile.. ?
 
Hao mbwa mazayuni wapigwe hukohuko kwao wanakokimbilia.

Hawana cha UN, hawana cha TV. Ni qaongo qa kutuowa hao. Hizbollah iwabamize mpaka wanyanyuwe bendera nyeupe. Hakuna kuondoka kimya kimya.
Mtume Mudy muasherati alisema Wanawake wa kiislam mna akili nusu.. ulichoandika ni nusu akili.. sasa pinga umpinge mtume wenu
 
Hezbollah hawana nguvu yeyote ya kupigana na Israel zaidi ya kupiga kwa kuvizia na kujificha kwenye mashimo kama panya huku wakijinyea kama wanaume wasimame peupe kama mwenzao Ukraine ndo tutajua wanaweza,vita vya msituni hata mkwawa aliweza mbele ya mjerumani Kwa miaka minne yeye ana mkuki mjerumani ana mizinga na bunduki achilia mbali mabomu
 
Wenzako Israel wanajidai wanafanya study kusimamisha vita upande wao, ili Hezbullah awache kuwabamiza labda🤣 Wanasingizia sababu ya UN resolution ambayo inaweza kusababisha US asiwape support. Kwanini wasifanye study hio Gaza kwanini Lebanon?

View: https://youtu.be/oLdLvaxChh4?si=FYx-l2ZTIls3Ihf5
 
Wewe utakuwa unavaa kobazi na ndugu wa majini
 
Hao mbwa mazayuni wapigwe hukohuko kwao wanakokimbilia.

Hawana cha UN, hawana cha TV. Ni qaongo qa kutuowa hao. Hizbollah iwabamize mpaka wanyanyuwe bendera nyeupe. Hakuna kuondoka kimya kimya.
Una roho ngumu! Vijukuu vya mtume kule GAZ vimeteketea kama kuku wa kideri na mpaka sasa maisha yao hayatofautiani na panya. Hakuna shule Wala madrassa Wala chakula. Wewe umekaa kwa mtogole unazomea wayuda?

Pumbavuuu
 
Hayajaanza leo wala jana hayo, Ghaza wanaishi kwa mashaka zaidi ya miaka 75 sasa.

Ngoma ikivuma sana...
 
Upuuzi ni kushabikia vita! Watu wanauawa bila hatia na mtu anapenda viendelee! Hakuna kitu cha busara Israel amefanya kwa wapenda amani kama kusitisha vita. Upambe wa nini?
Tofautisha kuretreat Na kusitisha vita. Mtu ana retreat anapopigwa na kusitisha vita ni watu kukaa Mezani. Kila siku bado Israel anaendelea kuua wanawake na watoto Hawajasitisha vita.
 
Una roho ngumu! Vijukuu vya mtume kule GAZ vimeteketea kama kuku wa kideri na mpaka sasa maisha yao hayatofautiani na panya. Hakuna shule Wala madrassa Wala chakula. Wewe umekaa kwa mtogole unazomea wayuda?

Pumbavuuu
Correction ni vijukuu vya Yesu, hapo Palestina ndio alipokuja Yesu na hao wanauliwa leo ni descendant wa Yesu na Makanisa yanayovunjwa ni yale ya zamani yenye Historia ndefu mengine toka wakati huo huo wa Yesu.
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…