Israel anataka kuiangusha Dola ya marekani (world superiority) marekani ameshtuka kabla mambo hayajaharibika

Waterloo

JF-Expert Member
Joined
Nov 30, 2010
Posts
25,682
Reaction score
39,811
Ni waziri kuwa Hali si shwari Tena kati ya Israel na marekani. Rais Trump ameamua kuukosoa kwa wazi na kuubeza utawala wa Israel bila aibu.

Leo makamu wa rais JD Vance nae ameongea na kueleza kuwa Israel hawana adabu na wanapaswa kumshukuru Donald Trump's na akaendelea kusema kuwa Israel imejengwa na walipa Kodi wa marekani pamoja na ulinzi.

Sambamba na haya yanayoendelea utawala wa marekani umeeleza Iran anayo Haki ya kumiliki makombora ya ballistic.

Huko nchini Israel ni kama wamepigwa na butwaa kwa namna u turn iliyopigwa na marekani kuhusu mtazamo wao juu ya Israel.

Kwa mtazamo wangu nilichokiona mimi matatizo ya ndani ya marekani hasa mafuta na kuporomoka kwa masoko ya hisa na upungufu wa mafuta. Gharama za uendeshaji wa vita mashariki ya kati umeiingiza marekani katika hasara kubwa., Iran kutokubali kushindwa vita hii ndio changamoto kubwa iliyomfanya marekani Kuona sasa anakwenda kudhalilika na ukubwa alionao. Kumbuka tayari kambi zake za kijeshi uarabuni zimeshambuliwa ba hazifanyi kazi ipasavyo.
Israel anakaza shingo kutaka marekani aendelee kupigana hapa niwazi Israel anataka kuzama na marekani katika hii vita

Sasa marekani ameshtuka na kaamua kumkataa mshrika wake muhimu mashariki ya kati. Tusubiri tuone.

Kwa upande wake Iran ameshaanza kuuza mafuta mamilioni ya tani kuanzia jana usiku anaingiza pesa. Uchumi wa Iran unaenda kuwa imara sana na kuwa tishio Tena kwa marekani na Israel. Marekani Hana jinsi.
 
Vita zinaleta machungu ya muda mrefu, lakini kwa upande mwingine vita huleta heshima ya kudumu.
Marekani na Israel wameingia vitani wakiamini watamaliza vita ndani masaa 48, lakini miezi imekatika na wanazidi kupata hasara na yule wanayepigana naye haonyeshi kuteteleka wala kutikisika..
Hapo lazima urushe taulo
 
Iran iko hoi bin taabani na ndio maana wanalilia zile dola bilioni 300 ili ziwaokoe.

Maisha yamekuwa magumu sana na ni wachache tu kwa sasa wenye kumudu milo mitatu kwa siku na hela yao imekuwa makaratasi tu.
 
Tupe source ya taarifa yako @ umeitoa wap?
Ila hiyo taarifa ya muanzisha thread huitaji source yake kwasababu ni habari inayokufurahisha na ndicho ungependa kukisikia!!! Double standards. Wazungu wanaakili sana, wanajua kucheza na akili za wajinga. Nyie kwa akili zenu mkajua kweli America inagombana na Ulaya. Hahahahaa.... Trump yupo meza moja tena na Macron wa France, so hata huyo Benjamin ni suala la muda tu.
 
Iran iko hoi bin taabani na ndio maana wanalilia zile dola bilioni 300 ili ziwaokoe.

Maisha yamekuwa magumu sana na ni wachache tu kwa sasa wenye kumudu milo mitatu kwa siku na hela yao imekuwa makaratasi tu.
kwa mantiki ya hivi vita Iran ndiye aliye miliki uchumi wa dunia, trump alikuwa ana haha kukubaliana na iran kuliko vita, kwa vita US alishindwa mapema sana
 
Wenyewe wanasema Trump humshangaza au hum betray kila mtu ni suala la muda tu. Wakati huu ni wakati wa Benjamini Nyentanyau haamini macho yake.

Nionavyo.
Trump atakuwa ameshauriwa asiendelee na awamu ya tatu ya urais. Afya yake inamvuta zaidi kujiangakia yeye binafsi ili a survive. Kipindi hiki kimekuwa na mkikimkuki mwingi nanumri na afya vinamfanya kuwa sleepy Donald. Analala sana ktk matukio yaleyale ya Biden. Anaumwa umwa. Wanasema diabet inamtesa.
Epstein files zinamtesa naona anaanua kutoboa masufuria mbwai iwe mbwai tu. Israel wanamkaliankooni attack attack attack... Pia kitaalam ma generali jeshini watakuwa wamempa ushauri kuwa stock itaisha watengeneze suraha kwanza maana wametoa nyingi kwenda Iran, Ukraine hapo Libya na South Korea na Nato na wameyza juzi nyingi kwenda Norway. So inawezekana wanavyta nguvu kwanza.
Pia, kuna hili la anti Israel lobby podcasters aisee hawa jamaa Wana nguvu sana. They can change mass opinions over a month. Sasa wanapambana sana na Israel kipindi hiki huku wakitag Trump.
Ingawaje vitendo huongea kuliko maneno.
 
Iran iko hoi bin taabani na ndio maana wanalilia zile dola bilioni 300 ili ziwaokoe.

Maisha yamekuwa magumu sana na ni wachache tu kwa sasa wenye kumudu milo mitatu kwa siku na hela yao imekuwa makaratasi tu.

Mlokole mavi, jikite kwenye mada,

1781948299814.png
 
Ni waziri kuwa Hali si shwari Tena kati ya Israel na marekani. Rais Trump ameamua kuukosoa kwa wazi na kuubeza utawala wa Israel bila aibu.

Leo makamu wa rais JD Vance nae ameongea na kueleza kuwa Israel hawana adabu na wanapaswa kumshukuru Donald Trump's na akaendelea kusema kuwa Israel imejengwa na walipa Kodi wa marekani pamoja na ulinzi.

Sambamba na haya yanayoendelea utawala wa marekani umeeleza Iran anayo Haki ya kumiliki makombora ya ballistic.

Huko nchini Israel ni kama wamepigwa na butwaa kwa namna u turn iliyopigwa na marekani kuhusu mtazamo wao juu ya Israel.

Kwa mtazamo wangu nilichokiona mimi matatizo ya ndani ya marekani hasa mafuta na kuporomoka kwa masoko ya hisa na upungufu wa mafuta. Gharama za uendeshaji wa vita mashariki ya kati umeiingiza marekani katika hasara kubwa., Iran kutokubali kushindwa vita hii ndio changamoto kubwa iliyomfanya marekani Kuona sasa anakwenda kudhalilika na ukubwa alionao. Kumbuka tayari kambi zake za kijeshi uarabuni zimeshambuliwa ba hazifanyi kazi ipasavyo.
Israel anakaza shingo kutaka marekani aendelee kupigana hapa niwazi Israel anataka kuzama na marekani katika hii vita

Sasa marekani ameshtuka na kaamua kumkataa mshrika wake muhimu mashariki ya kati. Tusubiri tuone.

Kwa upande wake Iran ameshaanza kuuza mafuta mamilioni ya tani kuanzia jana usiku anaingiza pesa. Uchumi wa Iran unaenda kuwa imara sana na kuwa tishio Tena kwa marekani na Israel. Marekani Hana jinsi.
Source of information?
 
Back
Top Bottom