Waterloo
JF-Expert Member
- Nov 30, 2010
- 25,682
- 39,811
Ni waziri kuwa Hali si shwari Tena kati ya Israel na marekani. Rais Trump ameamua kuukosoa kwa wazi na kuubeza utawala wa Israel bila aibu.
Leo makamu wa rais JD Vance nae ameongea na kueleza kuwa Israel hawana adabu na wanapaswa kumshukuru Donald Trump's na akaendelea kusema kuwa Israel imejengwa na walipa Kodi wa marekani pamoja na ulinzi.
Sambamba na haya yanayoendelea utawala wa marekani umeeleza Iran anayo Haki ya kumiliki makombora ya ballistic.
Huko nchini Israel ni kama wamepigwa na butwaa kwa namna u turn iliyopigwa na marekani kuhusu mtazamo wao juu ya Israel.
Kwa mtazamo wangu nilichokiona mimi matatizo ya ndani ya marekani hasa mafuta na kuporomoka kwa masoko ya hisa na upungufu wa mafuta. Gharama za uendeshaji wa vita mashariki ya kati umeiingiza marekani katika hasara kubwa., Iran kutokubali kushindwa vita hii ndio changamoto kubwa iliyomfanya marekani Kuona sasa anakwenda kudhalilika na ukubwa alionao. Kumbuka tayari kambi zake za kijeshi uarabuni zimeshambuliwa ba hazifanyi kazi ipasavyo.
Israel anakaza shingo kutaka marekani aendelee kupigana hapa niwazi Israel anataka kuzama na marekani katika hii vita
Sasa marekani ameshtuka na kaamua kumkataa mshrika wake muhimu mashariki ya kati. Tusubiri tuone.
Kwa upande wake Iran ameshaanza kuuza mafuta mamilioni ya tani kuanzia jana usiku anaingiza pesa. Uchumi wa Iran unaenda kuwa imara sana na kuwa tishio Tena kwa marekani na Israel. Marekani Hana jinsi.