Unaliport kutoka sehemu gani ya Irani?Iran iko hoi bin taabani na ndio maana wanalilia zile dola bilioni 300 ili ziwaokoe.
Maisha yamekuwa magumu sana na ni wachache tu kwa sasa wenye kumudu milo mitatu kwa siku na hela yao imekuwa makaratasi tu.
Sijakuelewa unaliport ndio kusemaje.Unaliport kutoka sehemu gani ya Irani?
Tupe source ya taarifa yako @ umeitoa wap?Iran iko hoi bin taabani na ndio maana wanalilia zile dola bilioni 300 ili ziwaokoe.
Maisha yamekuwa magumu sana na ni wachache tu kwa sasa wenye kumudu milo mitatu kwa siku na hela yao imekuwa makaratasi tu.
Ila hiyo taarifa ya muanzisha thread huitaji source yake kwasababu ni habari inayokufurahisha na ndicho ungependa kukisikia!!! Double standards. Wazungu wanaakili sana, wanajua kucheza na akili za wajinga. Nyie kwa akili zenu mkajua kweli America inagombana na Ulaya. Hahahahaa.... Trump yupo meza moja tena na Macron wa France, so hata huyo Benjamin ni suala la muda tu.Tupe source ya taarifa yako @ umeitoa wap?
“But even with aid, Tehran’s ability to manage its domestic woes will remain limited, and the internal pressures will build.” Iran emerges from war with its economy in free fall and inflation on some food items above 400%. If the regime doesn’t fix it, ‘there will be trouble’ | FortuneTupe source ya taarifa yako @ umeitoa wap?
kwa mantiki ya hivi vita Iran ndiye aliye miliki uchumi wa dunia, trump alikuwa ana haha kukubaliana na iran kuliko vita, kwa vita US alishindwa mapema sanaIran iko hoi bin taabani na ndio maana wanalilia zile dola bilioni 300 ili ziwaokoe.
Maisha yamekuwa magumu sana na ni wachache tu kwa sasa wenye kumudu milo mitatu kwa siku na hela yao imekuwa makaratasi tu.
Iran iko hoi bin taabani na ndio maana wanalilia zile dola bilioni 300 ili ziwaokoe.
Maisha yamekuwa magumu sana na ni wachache tu kwa sasa wenye kumudu milo mitatu kwa siku na hela yao imekuwa makaratasi tu.
Empty set 🎯Iran iko hoi bin taabani na ndio maana wanalilia zile dola bilioni 300 ili ziwaokoe.
Maisha yamekuwa magumu sana na ni wachache tu kwa sasa wenye kumudu milo mitatu kwa siku na hela yao imekuwa makaratasi tu.
Source of information?Ni waziri kuwa Hali si shwari Tena kati ya Israel na marekani. Rais Trump ameamua kuukosoa kwa wazi na kuubeza utawala wa Israel bila aibu.
Leo makamu wa rais JD Vance nae ameongea na kueleza kuwa Israel hawana adabu na wanapaswa kumshukuru Donald Trump's na akaendelea kusema kuwa Israel imejengwa na walipa Kodi wa marekani pamoja na ulinzi.
Sambamba na haya yanayoendelea utawala wa marekani umeeleza Iran anayo Haki ya kumiliki makombora ya ballistic.
Huko nchini Israel ni kama wamepigwa na butwaa kwa namna u turn iliyopigwa na marekani kuhusu mtazamo wao juu ya Israel.
Kwa mtazamo wangu nilichokiona mimi matatizo ya ndani ya marekani hasa mafuta na kuporomoka kwa masoko ya hisa na upungufu wa mafuta. Gharama za uendeshaji wa vita mashariki ya kati umeiingiza marekani katika hasara kubwa., Iran kutokubali kushindwa vita hii ndio changamoto kubwa iliyomfanya marekani Kuona sasa anakwenda kudhalilika na ukubwa alionao. Kumbuka tayari kambi zake za kijeshi uarabuni zimeshambuliwa ba hazifanyi kazi ipasavyo.
Israel anakaza shingo kutaka marekani aendelee kupigana hapa niwazi Israel anataka kuzama na marekani katika hii vita
Sasa marekani ameshtuka na kaamua kumkataa mshrika wake muhimu mashariki ya kati. Tusubiri tuone.
Kwa upande wake Iran ameshaanza kuuza mafuta mamilioni ya tani kuanzia jana usiku anaingiza pesa. Uchumi wa Iran unaenda kuwa imara sana na kuwa tishio Tena kwa marekani na Israel. Marekani Hana jinsi.
Madrasa effect.
Jikite kwenye mada mlokoleMadrasa effect.