Israel Bado Wanapiga Lebanon. Hivi Ndivyo Viongozi Wa Iran Wanavyowafanya Midoli Wafuasi wao

Brother Depo

JF-Expert Member
Joined
Feb 26, 2026
Posts
593
Reaction score
797
Israel bado wanapeleka moto Lebanon, hakuna chochote ambacho Iran wamefanya kama walivyokua wakiahidi na kutoa vitisho huko kwenye Media.

Viongozi wa Iran waligundua udhaifu wa Wafuasi wao hasa mitandaoni, hivyo wakawa wanaenda na biti, wanawageuza Midoli Wafuasi wao:

- Israel ikishambulia Lebanon na gaza, tutajibu kwa nguvu kubwa haijapata kutokea. Israel ikashambulia, wapo kimya Hadi Leo, wamebadili kitisho kwa sasa wanasema watafunga Hormuz 🤣

- Viongozi walipoenda kwenye negotiation huko Switzerland, Trump aliwaambia anaweza kuwamaliza wasirudi Tena Iran. Kama ilivyo kawaida Yao, wakatokea kwenye Media walisema hatawaendelea na negotiation mpaka Trump aombe radhi, wakati nyuma ya pazia wanaendelea na negotiation kama kawaida🤣

- walisema endapo marekani itashambulia tena basi ceasefire itakwisha na Watajibu kwa nguvu kubwa, marekani wiki mbili zilizopita walishambulia Iran kwa nguvu, lakini bado wanaendelea na negotiation 🤣🤣

Wamegundua Wafuasi wao ni watu wasiotumia akili hivyo wanawapa maneno matamu ya kuwafurahisha huku wakiwa hawamaanishi.

Negotiation ni faida kwao kama wanavyosema, alafu marekani huyo huyo anakulazimisha lazima ukubali hiyo negotiation la sivyo anakumaliza. Hapo jiulize hiyo negotiation ni faida kwa nani. Jambo la faida kwako unalazimishwa ulifanya, usipolifanya utashambuliwa kwa nguvu🤣🤣🤣

Adiosamigo
Echolima1
mdogoee
zitto junior
6 Pack
Ritz
Khaibar
100 others
adriz

Screenshot_20260626-152259.png
 
Wamepigwa ambush na Hezbollah walijaribu kusonga kundi zima alie mzima hana viungo, halafu Iran hawezi kuhangaika na mzayuni anacheza game kubwa formula ni kuua mbwa ili mbwa ajifie mwenyewe au akimbie njaa, hivyo US ndio saizi ya Iran huyo mzayuni anahangaishwa tu hezb
 
🌟⚡️🇮🇱 The spokesperson for the Israeli army said: Yesterday, a combat officer was moderately injured, and another combat officer and two fighters were lightly injured, following a clash with a gunman in southern Lebanon. The injured were evacuated to the hospital for treatment, and their families were notified.

🚩 ResistanceTrench | Boost
 
Kwa hiyo ile mikwara ilikuwa ni kuwafanga nyingi wafuasi kama midoli? 🤣
Iran hawezi kuhangaika na Israel lakini mwezi mzima walikua wanaipiga mikwara au walifikiri Israel ni Kuwait? 🤣🤣

Netanyahu alikua anawasubiri kwa haku warushe hata mchanga TU amalize kazi🤣🤣

Uzuri huwa anaanzaga kukata kichwa cha nyoka, anawatamani sana wale Kina Ghalibaf na wenzake ila naona wameshtukia mchezo hawataki kufa mapema
 
Mnafanywa midoli, hao Hezbollah miaka yote hawajaweza hata kugusa inch Wala centimeter ya Israel, ila Israel kaweza kugusa walipo na Kila siku anawafuata walipo🤣🤣

Si unajua Israel huwa hawatanii?? Muulize Hassan Nasrallah alivyoshindiliwa mabomu 80 huko huko shimoni alipo🤣🤣
 
Israel wamemuambia Trump wataondoka Lebanon pale watakapoona inafaa kufanya hivyo na malengo yao yatakapokuwa yametimia.

Israel pia imesema silaha nyingi wanazonunua kutoka Marekani ndani ya miaka kadhaa ijayo watakuwa wanazitengeneza wenyewe nchini Israel.
 
Wamepigwa ambush na Hezbollah walijaribu kusonga kundi zima alie mzima hana viungo, halafu Iran hawezi kuhangaika na mzayuni anacheza game kubwa formula ni kuua mbwa ili mbwa ajifie mwenyewe au akimbie njaa, hivyo US ndio saizi ya Iran huyo mzayuni anahangaishwa tu hezb
Kama ni kweli tuwekee picha hapa ya video tuone vingine ya utakuwa unajitekenya mwenyewe harafu unacheka mwenyewe tu!

Hezbollah safari hii wanapigwa kipondo cha kufa mtu na Iran Hana cha kuifanya Isarel na wamebaki kubwabwaja tu mitandaoni!!
 
Walikua wanajua Israel ni nchi ya kupiga mikwara🤣🤣

Leo wa ulinzi wa Israel kasema anasubiri kwa hamu sana Iran wajitekenye kidogo TU wammalize kazi
 
Israel wamemuambia Trump wataondoka Lebanon pale watakapoona inafaa kufanya hivyo na malengo yao yatakapokuwa yametimia.

Israel pia imesema silaha nyingi wanazonunua kutoka Marekani ndani ya miaka kadhaa ijayo watakuwa wanazitengeneza wenyewe nchini Israel.
Wazee wa mikwara mbuzi Iran hawana hamu, wakijua Israel ni Kuwait au Bahrain 🤣🤣

Israel huyo hapo anamwaga moto lebanon na Gaza kama kawaida, hakuna nywi nywi nywi Wala nywa nywa nywa🤣
Cc: Adiosamigo
 
Negotiation ni faida kwao kama wanavyosema, alafu marekani huyo huyo anakulazimisha lazima ukubali hiyo negotiation la sivyo anakumaliza. Hapo jiulize hiyo negotiation ni faida kwa nani. Jambo la faida kwako unalazimishwa
Inaonekana una elimu ndogo sana, sasa kwa zile terms za mkataba nani angekataa negotiations? Hivi kifungu gani kinawapa ushindi USA? Nitajie kimoja tu?

Trump amesema wazi kuwa alitaka majadiliano maana ilibakia wiki 2 tu mafuta yakauke USA.
 
Viongozi wa Iran waligundua udhaifu wa Wafuasi wao hasa mitandaoni, hivyo wakawa wanaenda na biti, wanawageuza Midoli Wafuasi wao:
Yaani waache kuangalia maslahi ya taifa lao waangalie wafuas wa "mitandaoni"? Mitandao gani hiyo ambayo hata Iran tu hakukuwa na Internet zaidi ya miezi 4 sasa!!
 
Israel ikishambulia Lebanon na gaza, tutajibu kwa nguvu kubwa haijapata kutokea. Israel ikashambulia, wapo kimya Hadi Leo, wamebadili kitisho kwa sasa wanasema watafunga Hormuz 🤣
Iran walijibu mbona tokea tarehe 10 June, ndio USA ikaingilia na kuita negotiation za Israel na Lebanon.

Iran sio wajinga wanajua Israel anafanya hayo yote ili Iran irudi vitani na amani isiwahi kupatikana. Kumbuka Israel wameumia sana kuona Iran anaenda kuwa taifa kubwa kuliko hata kabla ya vita so watafanya kila kitu kuhujumu amani.

Ni utoto kudhani kushambulia Lebanon ndio eti umempiga Iran ilihali Iran ni nchi huru, huko Lebanon ni hezbollah tu ndio interest ya Iran not otherwise. Ushindi wa Iran kupitia makubaliano haya unawauma sana wayahudi weusi.
 
Acha kujifariji Iran kapigwa na Gaidi Ayatollah Ali Khamenei kuangamizwa!!!

Hezbollah naye kapigwa na Gaidi Hassan Nasrallah katangulizwa kaburini!! Na viongozi wengi wa IRGC na Hezbollah wameangamizwa bila huruma!! Wewe endelea tu kujifariji na kuficha aibu ya kupigwa na nchi ndogo kama Israel
 
Kwa hiyo ile mikwara ilikuwa ni kuwafanga nyingi wafuasi kama midoli? 🤣
Iran hawezi kuhangaika na Israel lakini mwezi mzima walikua wanaipiga mikwara au walifikiri Israel ni Kuwait? 🤣🤣

Netanyahu alikua anawasubiri kwa haku warushe hata mchanga TU amalize kazi🤣🤣

Uzuri huwa anaanzaga kukata kichwa cha nyoka, anawatamani sana wale Kina Ghalibaf na wenzake ila naona wameshtukia mchezo hawataki kufa mapema
Netanyahu alishasema, ili kumuua octopus, usihangaike ni ile mikia, ila piga kichwa chake. Iran anajua wazi akijichanganya, Israel atawasha moto kama kawaida.
 
Inaonekana una elimu ndogo sana, sasa kwa zile terms za mkataba nani angekataa negotiations? Hivi kifungu gani kinawapa ushindi USA? Nitajie kimoja tu?

Trump amesema wazi kuwa alitaka majadiliano maana ilibakia wiki 2 tu mafuta yakauke USA.
Hili jibu lako ndio linaonyesha una elimu kubwa? Kwani lengo la Iran ilikua ni kupata pesa au kutetea wanaoonewa huko Gaza na Lebanon?

Trump huyo hapo anawaambia no cents🤣🤣, kuthibutisha anawachora Leo hii muda huu hapa anawatwanga mabomu huko Iran. Kesho anawaita Tena, Yani jambo lenye faida kwako ulazimishwe? Alafu unaambiwa ukikataa tunakuua, hapo Inakuingia akilini?
20260619_193048.jpg
 
Yaani waache kuangalia maslahi ya taifa lao waangalie wafuas wa "mitandaoni"? Mitandao gani hiyo ambayo hata Iran tu hakukuwa na Internet zaidi ya miezi 4 sasa!!
Wafuasi wao wapo huko ndio maana unaona Ghalibaf na Aragchi wapo busy muda wote kutweet

Hakuna jambo lolote la maslahi, huwezi kupata maslahi kwa mtu ambae muda wote anakutishia kukushambulia na kukuua🤣

Trump aliwatishia kuwa Wanaweza wasirudi Tena Iran, wakakinmbilia kwenye media kusema hawataendelea na negotiation mpaka trump aombe msamaha kwa vitisho vyake. Mbona waliendelea na negotiation?
 
I wonder Kwan hiz nch kama lebano hawanan jeshi
Jeshi la kupigana na Israel na marekani?

Hao Iran mnaowasifia Kila siku wanalazimishwa negotiation, wakitaka kunyanyua TU Midomo wanakula kipondo Tena. Muda huu wanashanbuliwa huko kwao, alafu kesho wanaambiwa lazima wakubali negotiation 🤣
 
Back
Top Bottom