Brother Depo
JF-Expert Member
- Feb 26, 2026
- 593
- 797
Kwa hiyo ile mikwara ilikuwa ni kuwafanga nyingi wafuasi kama midoli? 🤣Wamepigwa ambush na Hezbollah walijaribu kusonga kundi zima alie mzima hana viungo, halafu Iran hawezi kuhangaika na mzayuni anacheza game kubwa formula ni kuua mbwa ili mbwa ajifie mwenyewe au akimbie njaa, hivyo US ndio saizi ya Iran huyo mzayuni anahangaishwa tu hezb
Mnafanywa midoli, hao Hezbollah miaka yote hawajaweza hata kugusa inch Wala centimeter ya Israel, ila Israel kaweza kugusa walipo na Kila siku anawafuata walipo🤣🤣🌟⚡️🇮🇱 The spokesperson for the Israeli army said: Yesterday, a combat officer was moderately injured, and another combat officer and two fighters were lightly injured, following a clash with a gunman in southern Lebanon. The injured were evacuated to the hospital for treatment, and their families were notified.
🚩 ResistanceTrench | Boost
Kama ni kweli tuwekee picha hapa ya video tuone vingine ya utakuwa unajitekenya mwenyewe harafu unacheka mwenyewe tu!Wamepigwa ambush na Hezbollah walijaribu kusonga kundi zima alie mzima hana viungo, halafu Iran hawezi kuhangaika na mzayuni anacheza game kubwa formula ni kuua mbwa ili mbwa ajifie mwenyewe au akimbie njaa, hivyo US ndio saizi ya Iran huyo mzayuni anahangaishwa tu hezb
Walikua wanajua Israel ni nchi ya kupiga mikwara🤣🤣Kama ni kweli tuwekee picha hapa ya video tuone vingine ya utakuwa unajitekenya mwenyewe harafu unacheka mwenyewe tu!
Hezbollah safari hii wanapigwa kipondo cha kufa mtu na Iran Hana cha kuifanya Isarel na wamebaki kubwabwaja tu mitandaoni!!
Wazee wa mikwara mbuzi Iran hawana hamu, wakijua Israel ni Kuwait au Bahrain 🤣🤣Israel wamemuambia Trump wataondoka Lebanon pale watakapoona inafaa kufanya hivyo na malengo yao yatakapokuwa yametimia.
Israel pia imesema silaha nyingi wanazonunua kutoka Marekani ndani ya miaka kadhaa ijayo watakuwa wanazitengeneza wenyewe nchini Israel.
Inaonekana una elimu ndogo sana, sasa kwa zile terms za mkataba nani angekataa negotiations? Hivi kifungu gani kinawapa ushindi USA? Nitajie kimoja tu?Negotiation ni faida kwao kama wanavyosema, alafu marekani huyo huyo anakulazimisha lazima ukubali hiyo negotiation la sivyo anakumaliza. Hapo jiulize hiyo negotiation ni faida kwa nani. Jambo la faida kwako unalazimishwa
Yaani waache kuangalia maslahi ya taifa lao waangalie wafuas wa "mitandaoni"? Mitandao gani hiyo ambayo hata Iran tu hakukuwa na Internet zaidi ya miezi 4 sasa!!Viongozi wa Iran waligundua udhaifu wa Wafuasi wao hasa mitandaoni, hivyo wakawa wanaenda na biti, wanawageuza Midoli Wafuasi wao:
Iran walijibu mbona tokea tarehe 10 June, ndio USA ikaingilia na kuita negotiation za Israel na Lebanon.Israel ikishambulia Lebanon na gaza, tutajibu kwa nguvu kubwa haijapata kutokea. Israel ikashambulia, wapo kimya Hadi Leo, wamebadili kitisho kwa sasa wanasema watafunga Hormuz 🤣
Acha kujifariji Iran kapigwa na Gaidi Ayatollah Ali Khamenei kuangamizwa!!!Iran walijibu mbona tokea tarehe 10 June, ndio USA ikaingilia na kuita negotiation za Israel na Lebanon.
Iran sio wajinga wanajua Israel anafanya hayo yote ili Iran irudi vitani na amani isiwahi kupatikana. Kumbuka Israel wameumia sana kuona Iran anaenda kuwa taifa kubwa kuliko hata kabla ya vita so watafanya kila kitu kuhujumu amani.
Ni utoto kudhani kushambulia Lebanon ndio eti umempiga Iran ilihali Iran ni nchi huru, huko Lebanon ni hezbollah tu ndio interest ya Iran not otherwise. Ushindi wa Iran kupitia makubaliano haya unawauma sana wayahudi weusi.
Netanyahu alishasema, ili kumuua octopus, usihangaike ni ile mikia, ila piga kichwa chake. Iran anajua wazi akijichanganya, Israel atawasha moto kama kawaida.Kwa hiyo ile mikwara ilikuwa ni kuwafanga nyingi wafuasi kama midoli? 🤣
Iran hawezi kuhangaika na Israel lakini mwezi mzima walikua wanaipiga mikwara au walifikiri Israel ni Kuwait? 🤣🤣
Netanyahu alikua anawasubiri kwa haku warushe hata mchanga TU amalize kazi🤣🤣
Uzuri huwa anaanzaga kukata kichwa cha nyoka, anawatamani sana wale Kina Ghalibaf na wenzake ila naona wameshtukia mchezo hawataki kufa mapema
Hili jibu lako ndio linaonyesha una elimu kubwa? Kwani lengo la Iran ilikua ni kupata pesa au kutetea wanaoonewa huko Gaza na Lebanon?Inaonekana una elimu ndogo sana, sasa kwa zile terms za mkataba nani angekataa negotiations? Hivi kifungu gani kinawapa ushindi USA? Nitajie kimoja tu?
Trump amesema wazi kuwa alitaka majadiliano maana ilibakia wiki 2 tu mafuta yakauke USA.
Wafuasi wao wapo huko ndio maana unaona Ghalibaf na Aragchi wapo busy muda wote kutweetYaani waache kuangalia maslahi ya taifa lao waangalie wafuas wa "mitandaoni"? Mitandao gani hiyo ambayo hata Iran tu hakukuwa na Internet zaidi ya miezi 4 sasa!!
Jeshi la kupigana na Israel na marekani?I wonder Kwan hiz nch kama lebano hawanan jeshi