Israel Bado Wanapiga Lebanon. Hivi Ndivyo Viongozi Wa Iran Wanavyowafanya Midoli Wafuasi wao

Unapomwita mwenzako mdoli, angalia kwanza kama wewe mwenyewe hupigwi na kamba za propaganda unazosikiliza.
 
Kwa hiyo Iran wanaposemaga kuwa Israel wakishambulia Lebanon nao wataishambulia Israel huwa unakuwaga ni utani?

Iran si walisema hakutakua na negotiation kama Israel ataendelea kuishambulia Lebanon? Mbona bado wapo kwenye negotiation?

Haya muda huu Marekani nae anawatwanga huko, Mbona hawaachi hiyo negotiation? Au marekani nae katumwa na Israel?
 
Unapomwita mwenzako mdoli, angalia kwanza kama wewe mwenyewe hupigwi na kamba za propaganda unazosikiliza.
Kamba zipi? Iran walisema hawataendelea na negotiation kama Israel itaendelea kushambulia Lebanon, Mbona bado wapo kwenye negotiation? Mbona hawajafanya malipizi kwa Israel?

Walisema marekani ikiwashambulia Tena basi negotiation inakufa, Mbona marekani anawapiga muda huu huko🤣🤣
 
Marekani pia alisema hata negotiate na Iran, lakini nini kilitokea?

Wewe unataka Iran aanzishe vita ili kukidhi mapenzi yako ya kulipiza kisasi?
 
Marekani pia alisema hata negotiate na Iran, lakini nini kilitokea?

Wewe unataka Iran aanzishe vita ili kukidhi mapenzi yako ya kulipiza kisasi?
Marekani kasema lini hatanegotiate wakati toka mwanzo kauli yake ni Saini dili au nikushambulie Kila kitu kwako

Hakuna nilipotaka Iran waanzishe vita Bali Mimi nakumbushia kauli za viongozi wa Iran na mikwara Yao, nilitaka waifanyie kazi na sio kuridhisha midoli Yao mitandaoni 🤣🤣
Ona mikwara hii ya Ghalibaf. Haya muda huu Marekani anapiga huko, alafu tuone kama watakua na ubavu wa kukataa negotiation
 
Kama ni kweli tuwekee picha hapa ya video tuone vingine ya utakuwa unajitekenya mwenyewe harafu unacheka mwenyewe tu!

Hezbollah safari hii wanapigwa kipondo cha kufa mtu na Iran Hana cha kuifanya Isarel na wamebaki kubwabwaja tu mitandaoni!!
Mimi wewe na kujua ni chenga kazi ya kupandisha video hapa wakati hunilipi na video ziko bure tu zimezagaa telegram kila mtu anaona IDF wanavyokufa kama kumbikumbi na hao walienda kufuata kifaru kilichobaki na mabaki ya miili ya wakazanie ni kibarazani mwao kumbe pori linamwenyewe
 
Kama IDF kazi wanaiweza iweje Trump awape kazi Syria? Ndio wapigane na Hezbollah? Na jeshi la Lebanon wamelipa same task? Sasa ndio mtajua Hezbollah ni wehu
 
Ili uwe mwislamu safi ni lazima uwe muongo muongo sana ili kuficha aibu ya kipondo kutoka IDF
 
Hivi ndio uhalisia wa unafiki, timu ya uokoaji ya mashetani mzayuni imeenda Venezuela huku watoto waliofukiwa hai wako chini ya kifusi Gaza,
**************



🇵🇸 🇻🇪 🇮🇱 Image on the left shows Israeli rescue arrives in Venezuela.

Image on the right shows Israelis bombed a three-storey Palestinian residential building in Gaza City’s Al-Zeytoun neighborhood, civilians killed and remain trapped under the rubble.

🚩 ResistanceTrench | Boost
 
Israel inaua magaidi na vizazi vyao huko Gaza waliofukiwa na vifusi ni Magaidi wa Hamas Israel iko huko kuua magaidi na vizazi vyao!!!!

IDF iko Venezuela kuokoa watu wasio na hatia!!!!!!
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…