Ujinga wa kiwango cha lami kama wamefanya huvyo ubajuza gharma ya hii vita kwa Israeli kama unajua ,mpaka sasa ni waizraeli wwngapi wamehama nchi ,mfumuko wa bidhaa muhimu maana ametangaza kabisa yupo vitani amna mgeni atakayeend hukoHii dhana kwamba Israel ilipwaya kwenye ujasusi hadi HAMAS wakapanga, kuratibu na hatimaye kuishambulia.
Wamefanya makusudi maana taarifa walikuwa nazo bila chembe ya shaka. HAMAS wameingia kwenye mtego na huenda wakaangamizwa kabisa.
Sasa itakuwa vigumu kuishutumu Israel kwa unyama unaoenda kufanywa kwa kisingizio kwamba walichokozwa kitu ambacho kilikuwa ndani ya uwezo kuzuia.
Ndiyo maana kuna kelele nyingi eti wana haki ya kujilinda.