Israel haikushindwa kwenye ujasusi

Israel haikushindwa kwenye ujasusi

Hii dhana kwamba Israel ilipwaya kwenye ujasusi hadi HAMAS wakapanga, kuratibu na hatimaye kuishambulia.

Wamefanya makusudi maana taarifa walikuwa nazo bila chembe ya shaka. HAMAS wameingia kwenye mtego na huenda wakaangamizwa kabisa.

Sasa itakuwa vigumu kuishutumu Israel kwa unyama unaoenda kufanywa kwa kisingizio kwamba walichokozwa kitu ambacho kilikuwa ndani ya uwezo kuzuia.

Ndiyo maana kuna kelele nyingi eti wana haki ya kujilinda.
Ujinga wa kiwango cha lami kama wamefanya huvyo ubajuza gharma ya hii vita kwa Israeli kama unajua ,mpaka sasa ni waizraeli wwngapi wamehama nchi ,mfumuko wa bidhaa muhimu maana ametangaza kabisa yupo vitani amna mgeni atakayeend huko
 
Tatizo akili ya Mtanzania ni finyu sana, mleta mada anacho kisema yawezakuwa make kwa taarifa cheki aljazeera wanasema Misri iliwataarifu Israel siku tatu kabla ya tukio lenyewe.

Iserael wanataka ardhi yao, sidhani kama kuna mtu atakaye weza kuwatoa Gaza tena, Hamas ndo kwaheri hivyo......!!!
Ni mahaba au mahbuuba. ,unajua athari za vita kwa nchi inayopenda neeema kama Israeli, unajua gharma za kurusha yale makombora.
 
Hii dhana kwamba Israel ilipwaya kwenye ujasusi hadi HAMAS wakapanga, kuratibu na hatimaye kuishambulia.

Wamefanya makusudi maana taarifa walikuwa nazo bila chembe ya shaka. HAMAS wameingia kwenye mtego na huenda wakaangamizwa kabisa.

Sasa itakuwa vigumu kuishutumu Israel kwa unyama unaoenda kufanywa kwa kisingizio kwamba walichokozwa kitu ambacho kilikuwa ndani ya uwezo kuzuia.

Ndiyo maana kuna kelele nyingi eti wana haki ya kujilinda.

Haya mwana Israel
 
Certainly true. Sema huja analyze vizuri. Around tareh 5-6 Egypt ali share intelligence na Israeli on possible movements za Hamas mpakani. I think more than once aka ignore na kusema ana rely kwenye intelligence ya US. Sasa haijakulikana kama kweli alikua anamsubiri US au walipanga kitu.

Na alimjibu Egypt kua hizo movements za Hamasi wanazo toka muda nizakawaida. Na perhaps walipanga na US kujustify Gaza annexation, possible walijua kua hamasi ata ambush lakini hawakujua angeambush to what extent? thus why nao wamepanic hivi. And ku connect dot kwamba yaweza kua pre-planned na US masaa machache baada ya Hamasi ku ambush ile festival US aircraft carrier imetua Mediterranean Sea how fast was that? Probably walijua every movement but impact ndo hawakujua.

These things are very complicated ku think kwamba CIA Mossad M16 etc hawakujua even drop? Naah! It’s Crystal clear na hata Hamas wenyewe wamekili kua msaada na plan yote wamepata toka Iran.

Probably area ya kwanza au ya pili dunia hii ambayo US anaimonitor 24/7 ni Iran. Ukiacha Russia na NK.
We are on the same page. Hii Intel failure in part of Israel si kweli.
 
Una elimu Gani mkuu

Una justify ujinga ulionao ...... Israel haiwezi sacrifice raia wake 700 Kwa ujinga
Elimu yangu iache. Shughulika na hoja. Elimu siijui lakini nina uhakika ni ndogo kuliko ya kwangu. You can take that to Equity Bank
 
hata akili za kuvukia barabara huna.
kuwaangamiza Hamas ni mpaka utoe kafara askari na raia wako?,huo sio ujasusi utakua ni ujinga!.
Kwani HAMAS ni mbuzi?
HAMAS ni watu kama walivyo Israel sasa ili uwaangamize na kupora ardhi yao yote lazima uwe na sababu nzito hasa, Israel asingeweza kuamka asubuhi na kuivamia tu Palestina na kuanza kupora maeneo huku akiwaambia watu wahame Gaza bila sababu ya kushiba.
Sasa sababu ndo hiyo,unakataa nini mkuu?
 
Kitu VPN .....unadhani TCRA kutoa tishio lao la 5,000,000/- au ndani 12 months wamekurupuka la hasha, wametonywa!
 
in espionage world anything is possible... even presidents can get assassinated kama JFK kwajili ya maslahi ya nchi au taasisi
 
Una elimu Gani mkuu

Una justify ujinga ulionao ...... Israel haiwezi sacrifice raia wake 700 Kwa ujinga
Raia wanatolewaga kafara huwa ni kitu cha kawaida Sana kwenye warefare , unakimbuka pearl harbor surprise attack ?? Marekani alikua na msuguano na mjapan wa mda mrefu Ila alikosekana wa kuanza , mjapani akapanga shambulizi la kushitukiza Marekani akaliacha liende hvyo ili ipatikane sababu ya kuzichapa , sku mjapan anashambulia hakukuwa na Aircraft carrier yoyote maeneo Yale , ( aircraft carrier ndo zilikuwa nguzo mhimu Kwa Pacific war ) zaidi ya wamarekani 2500 waliuawa , Kwenye vita kutolewa kafara baadhi ni normal sana
 
Hii dhana kwamba Israel ilipwaya kwenye ujasusi hadi HAMAS wakapanga, kuratibu na hatimaye kuishambulia.

Wamefanya makusudi maana taarifa walikuwa nazo bila chembe ya shaka. HAMAS wameingia kwenye mtego na huenda wakaangamizwa kabisa.

Sasa itakuwa vigumu kuishutumu Israel kwa unyama unaoenda kufanywa kwa kisingizio kwamba walichokozwa kitu ambacho kilikuwa ndani ya uwezo kuzuia.

Ndiyo maana kuna kelele nyingi eti wana haki ya kujilinda.
Over-rated israhell ilipigwa tukio la hatar halikuwahi tegemea

Israhell wakiamua lao wale wauaji hua hawatafuti sababu hua wanaingia tu na kuua halaf wanaondoka

Kule west bank wanapoua nakuteka watu napo wamewafanya nini

Over-rated israhell ilikua inaonekana kama nini kumbe yakawaida sanaaaaaaaa sanaaaaaaaa sanaaaaaaaa
 
Certainly true. Sema huja analyze vizuri. Around tareh 5-6 Egypt ali share intelligence na Israeli on possible movements za Hamas mpakani. I think more than once aka ignore na kusema ana rely kwenye intelligence ya US. Sasa haijakulikana kama kweli alikua anamsubiri US au walipanga kitu.

Na alimjibu Egypt kua hizo movements za Hamasi wanazo toka muda nizakawaida. Na perhaps walipanga na US kujustify Gaza annexation, possible walijua kua hamasi ata ambush lakini hawakujua angeambush to what extent? thus why nao wamepanic hivi. And ku connect dot kwamba yaweza kua pre-planned na US masaa machache baada ya Hamasi ku ambush ile festival US aircraft carrier imetua Mediterranean Sea how fast was that? Probably walijua every movement but impact ndo hawakujua.

These things are very complicated ku think kwamba CIA Mossad M16 etc hawakujua even drop? Naah! It’s Crystal clear na hata Hamas wenyewe wamekili kua msaada na plan yote wamepata toka Iran.

Probably area ya kwanza au ya pili dunia hii ambayo US anaimonitor 24/7 ni Iran. Ukiacha Russia na NK.
Duuuh [emoji1787][emoji3][emoji1787]

Mchafuzi uchwara
 
[emoji81][emoji81][emoji81]hili li nchi linawapa sana tabu kuli tetea
 
Back
Top Bottom