Israel haipigani tena na Hamas.Inaua watu kinyama.Dunia isimame kabla janga kuliko corona halijatokea.Tanzania kwa uchache iitishe maandamano kulaani

Tuachane na vita vya Israel na Hamas.Hivi vita vimeisha na Israel haiwezi kuwapata Hamas wala mateka.
Uchunguzi wa kitaalamu ukihusisha mizozo mengine ya kivita ya miaka ya karibuni unaonesha Hamas wameyeyuka kabisa na kilichobakia ni mahandaki na alama zao nyengine kuwa walikuwepo
Uchunguzi unaonesha kuwa Hamas wataibuka mbeleni na kuendeleza vita ambavyo kamwe Israel hatoviweza kuvimaliza.Hilo limeshajulikana na Israel na sasa inapiga kwa malengo hayo ya kuzuia vita vya mbeleni jukumu ambalo ni gumu sana.
Sasa kwanini Israel inaachwa ifanye vitendo vya kifirauni mbele za walimwengu,ambavyo ni kuuwa watoto inaodhani wanaoweza kuchukua majukumu ya Hamas miaka ijayo..Lakini hizo zitabaki ni dhana na haiwezi kuhalalisha unyama inaofanya sasa.
Shule moja baada ya nyengine zinapigwa kwa mabomu mazito na kuua watoto.Vitoto vinakujfa mbele ya wenzao na watu dunia nzima wanaona.
Nimeangalia matukio ya kutisha sana ya wazee wakiokota vipande vya watoto wao waliokuwa wakisafiri nao kuelekea kusini.Vijana wenye njaa wanachimba vifusi kwa mikono yao kutafuta waliofukiwa.Huko ni kuchanganyikiwa kwani mikono haiwezi kuinua mazege na kubinua nondo zilizojengewa majengo hayo.Ndio maana kuna idadi kubwa mpaka sasa wamebaki chini ya vifusi.
Wanawake wanalia mpaka machozi yanakauka kuomba msaada kwa wanaume wa dunia nzima. Sauti zao ni ushahidi wa kuIshiwa na nguvu kwa majonzi
Wenye uwezo wa kuzuia hayo,huu ni wakati wao na sio matamko ya kisiasa kwa jambazi ambaye hasikilizi maneno hayo.Kuacha kufanya hivyo kwa hakika ni kukaribisha majanga kwa dunia nzima katika mfumo wa mabalaa yanayofanana na corona ambapo kila mmoja wetu hatoishi kwa raha tena bila kujjali dini zetu.
Wapo wengi katika nchi za mbali na eneo la tukio wameacha kuzungumzia vita vya Israel na Hamas na wanazaungumzia maangamizi (genocide) basi.
Ni wewe tena? Umechanganyikiwa
 
Acha maneno ya kimbea hayo.Umeambiwa Hamas wameyeyuka na hawajapatikana.Kama ni furaha wameshaondoka nayo.Sasa hatutaki vilio vya watoto.
muizrael mmoja akifa wanakufa wapalestina 100 mbona huelewi. wakifika wapalestina 15000 basi vita hakuna tena mbona ni mahesabu ya kawaida
 
Acha maneno ya kimbea hayo.Umeambiwa Hamas wameyeyuka na hawajapatikana.Kama ni furaha wameshaondoka nayo.Sasa hatutaki vilio vya watoto.
Watoto wanakufa kimaigizo Israel hakuna wajinga wa kudanganywa.. tulia Dawa ikuingie si mmefurahia kifo cha mtanzania pia nyie magaidi.. Vita ikisimama inamaana Israel imekubali kumalizwa... Karibu Gaza yote ilifurahia vifo vya Waisrael so wote wale ni magaidi alafu wamevua magwanda wote so wakiuliwa ni raia wanalia wakiuwa wao wanajisifu Al jazeera anawaponza sana... kawaponza hadi Al Shifa Israel kawafurumusha wote Hospitalini wakatafute habari mitaani walengwe nao pia karma
 
Nenda huko
Acha maneno ya kimbea hayo.Umeambiwa Hamas wameyeyuka na hawajapatikana.Kama ni furaha wameshaondoka nayo.Sasa hatutaki vilio vya watoto.
Palestina kawazuie waisrael hapa unapiga kelele zisizosaidia chochote
 
Tudai fidia za 100 mil dolla wanafamilia wagawane na nyengine ziingie mfuko wa maafa.Israel inapaswa kutulipa kwa sababu wao ndio walimuweka maeneo hatarishi wakijua wana vita na wapalesina daima.
Hamas ndio waliomteka na kusasabisha kifo chake ila lawama kwa Israeli?!
Hiyo chuki mliyopandikizwa huko madrasa sio ya kawaida
 
Katika idadi za vifo Israel vilipaishwa ili kutoa sababu ya vita,hakuna maelfu.Zaidi ya hapo hata watu wengine walijuwa kujwa Hamas hawakufanya hivyo bila sababu.
sssa kama ni Hamas waliofanya hivyo umeshaambiwa hawapo tena.hawawezi kuwaona.Si watulie sasa na waache kuuwa watu ovyo huku wakilenga zaidi watoto.
Dozi iendelee mpaka magaidi yateme bungo. Wametuulia Mtanzania mwenzetu kijana msomi, aliekua katika harakati za kujifunza kilimo cha kisasa kabisa kutoka Israeli..
 
Katika idadi za vifo Israel vilipaishwa ili kutoa sababu ya vita,hakuna maelfu.Zaidi ya hapo hata watu wengine walijuwa kujwa Hamas hawakufanya hivyo bila sababu.
sssa kama ni Hamas waliofanya hivyo umeshaambiwa hawapo tena.hawawezi kuwaona.Si watulie sasa na waache kuuwa watu ovyo huku wakilenga zaidi watoto.
Usiwapangie mayahudi cha kufanya.Wao ndio waasisi wa kanuni ya an eye for ana eye.Wacha kutu ile chuma
 
Tuachane na vita vya Israel na Hamas.Hivi vita vimeisha na Israel haiwezi kuwapata Hamas wala mateka.
Uchunguzi wa kitaalamu ukihusisha mizozo mengine ya kivita ya miaka ya karibuni unaonesha Hamas wameyeyuka kabisa na kilichobakia ni mahandaki na alama zao nyengine kuwa walikuwepo
Uchunguzi unaonesha kuwa Hamas wataibuka mbeleni na kuendeleza vita ambavyo kamwe Israel hatoviweza kuvimaliza.Hilo limeshajulikana na Israel na sasa inapiga kwa malengo hayo ya kuzuia vita vya mbeleni jukumu ambalo ni gumu sana.
Sasa kwanini Israel inaachwa ifanye vitendo vya kifirauni mbele za walimwengu,ambavyo ni kuuwa watoto inaodhani wanaoweza kuchukua majukumu ya Hamas miaka ijayo..Lakini hizo zitabaki ni dhana na haiwezi kuhalalisha unyama inaofanya sasa.
Shule moja baada ya nyengine zinapigwa kwa mabomu mazito na kuua watoto.Vitoto vinakujfa mbele ya wenzao na watu dunia nzima wanaona.
Nimeangalia matukio ya kutisha sana ya wazee wakiokota vipande vya watoto wao waliokuwa wakisafiri nao kuelekea kusini.Vijana wenye njaa wanachimba vifusi kwa mikono yao kutafuta waliofukiwa.Huko ni kuchanganyikiwa kwani mikono haiwezi kuinua mazege na kubinua nondo zilizojengewa majengo hayo.Ndio maana kuna idadi kubwa mpaka sasa wamebaki chini ya vifusi.
Wanawake wanalia mpaka machozi yanakauka kuomba msaada kwa wanaume wa dunia nzima. Sauti zao ni ushahidi wa kuIshiwa na nguvu kwa majonzi
Wenye uwezo wa kuzuia hayo,huu ni wakati wao na sio matamko ya kisiasa kwa jambazi ambaye hasikilizi maneno hayo.Kuacha kufanya hivyo kwa hakika ni kukaribisha majanga kwa dunia nzima katika mfumo wa mabalaa yanayofanana na corona ambapo kila mmoja wetu hatoishi kwa raha tena bila kujjali dini zetu.
Wapo wengi katika nchi za mbali na eneo la tukio wameacha kuzungumzia vita vya Israel na Hamas na wanazaungumzia maangamizi (genocide) basi.
Inaobyesha upo karibu sana na eneo la tukio.....hemu tujuze wewe upo Syria, Lebanon Egypt au Jordan? Maana unajua mambo mengi kuliko Israel wenyewe na swaiba wao US,UK, GERMAN NA FRANCE.
 
Ukitaka adui yako aumie unatakiwa uumize au uue kabisa watu wa karibu yake kama wazazi,mke,watoto nk.
 
hamas wanakimbia wanaachi waliwachagua kuwalinda
Unafahamu maana ya kujitowa mhanga? Kama huelewi ni kupigana mpaka kufa:

Wewe kama binadamu unaunga mkono malengo hayo.
Ndiooo tunaunga mkono! Hamas, Hezbollah, alshabab,janja widi,Isis,boko haram and the like wafutiliwe mbali. MUNGU WETU ANAUWEZO SANA WAKUJIPAMBANIA MWENYEW BILA KUTUMIA HAYO MAGENGE YA WAHUNI WANAOWAZA MABIKIRA 72. Hayo magaidi yakijitoa muhanga huwa yanawaweka kando watoto na wajawazito pembeni wasizulike?
 
Screenshot_20231118_173036_Instagram.jpg
 
Katika idadi za vifo Israel vilipaishwa ili kutoa sababu ya vita,hakuna maelfu.Zaidi ya hapo hata watu wengine walijuwa kujwa Hamas hawakufanya hivyo bila sababu.
sssa kama ni Hamas waliofanya hivyo umeshaambiwa hawapo tena.hawawezi kuwaona.Si watulie sasa na waache kuuwa watu ovyo huku wakilenga zaidi watoto.
hamas wamejificha mashuleni na hospitalini. Kinachotokea ni kwamba, israel wanalnga pale magaidi walipo. Kuhusu kuyeyuka hizo ni kauli za kishamba.
 
Tuachane na vita vya Israel na Hamas.Hivi vita vimeisha na Israel haiwezi kuwapata Hamas wala mateka.
Uchunguzi wa kitaalamu ukihusisha mizozo mengine ya kivita ya miaka ya karibuni unaonesha Hamas wameyeyuka kabisa na kilichobakia ni mahandaki na alama zao nyengine kuwa walikuwepo
Uchunguzi unaonesha kuwa Hamas wataibuka mbeleni na kuendeleza vita ambavyo kamwe Israel hatoviweza kuvimaliza.Hilo limeshajulikana na Israel na sasa inapiga kwa malengo hayo ya kuzuia vita vya mbeleni jukumu ambalo ni gumu sana.
Sasa kwanini Israel inaachwa ifanye vitendo vya kifirauni mbele za walimwengu,ambavyo ni kuuwa watoto inaodhani wanaoweza kuchukua majukumu ya Hamas miaka ijayo..Lakini hizo zitabaki ni dhana na haiwezi kuhalalisha unyama inaofanya sasa.
Shule moja baada ya nyengine zinapigwa kwa mabomu mazito na kuua watoto.Vitoto vinakujfa mbele ya wenzao na watu dunia nzima wanaona.
Nimeangalia matukio ya kutisha sana ya wazee wakiokota vipande vya watoto wao waliokuwa wakisafiri nao kuelekea kusini.Vijana wenye njaa wanachimba vifusi kwa mikono yao kutafuta waliofukiwa.Huko ni kuchanganyikiwa kwani mikono haiwezi kuinua mazege na kubinua nondo zilizojengewa majengo hayo.Ndio maana kuna idadi kubwa mpaka sasa wamebaki chini ya vifusi.
Wanawake wanalia mpaka machozi yanakauka kuomba msaada kwa wanaume wa dunia nzima. Sauti zao ni ushahidi wa kuIshiwa na nguvu kwa majonzi
Wenye uwezo wa kuzuia hayo,huu ni wakati wao na sio matamko ya kisiasa kwa jambazi ambaye hasikilizi maneno hayo.Kuacha kufanya hivyo kwa hakika ni kukaribisha majanga kwa dunia nzima katika mfumo wa mabalaa yanayofanana na corona ambapo kila mmoja wetu hatoishi kwa raha tena bila kujjali dini zetu.
Wapo wengi katika nchi za mbali na eneo la tukio wameacha kuzungumzia vita vya Israel na Hamas na wanazaungumzia maangamizi (genocide) basi.
October 7 mlifurahia kuuawa kwa wayahudi mkaita mafuriko ya al aqsa

Sent from my Infinix X663 using JamiiForums mobile app
 
Unajiita una nguvu za kijeshi duniani halafu unatandikwa na jamaa wamevaa flip flops na viatu vya adidas licha ya kusaidiwa na airfoce na misaada yote toka USA.

Hamas wanasema askari zaidi ya 3000 IDF wameliwa vichwa na Israel haijachukua hata miili, tanks zaidi ya 300 zimepigwa na gari zaidi ya 60 zimepigwa. Hizi ni habari ambazo IDF haitaki zitoke, ndicho chanzo askari wa IDF wanaamua kuingia misikitini na kurusha mabomu ya mikononi na kuua wasio na hatia.

Wachambuzi wakubwa kijeshi tena wamarekani wanasema Israel haiwezi pigana na Hamas face to face, na Israel imeshindwa vita, mtu kama Scott Ritter ambae ni former United States Marine Corps intelligence officer, mwanasiasa na alishiriki vita ya Iraq anasema Israel haina uwezo kupambana na Hamas.

video hii.

View: https://www.youtube.com/watch?v=PeaLnDprf7g&t=58s

Ona Sasa kama huyu mpumbavu anakwenda msikitini anarusha grenade, humo kuna wanawake , watoto, hakuna Hamas humo, hii video imelitia aibu sana jeshi la Israel, anaua watu msikitini ambao hawana hatia, ndio maana wachambuzi wanasema Israel vita imeshindwa,kila wakikutana na Hamas face to face wanatandikwa, video hii imepelekea IDF kumsimamisha huyu askari na hapo ni aibu kwa dunia baada ya dunia kuona video, isingeonekana wangemsifu askari huyo na kumpa cheo.

View: https://www.youtube.com/watch?v=nkvXiyfHWIM

Israel hawaelewi wapige wapi, wanabahatisha ndio maana wanapiga shuleni, misikitini, hospitali n.k wamezidiwa intelejensia na Hamas, wamepigwa chenga. Hii ndio vita Gaza.

Mtasema tu na Bado !
 
Inaobyesha upo karibu sana na eneo la tukio.....hemu tujuze wewe upo Syria, Lebanon Egypt au Jordan? Maana unajua mambo mengi kuliko Israel wenyewe na swaiba wao US,UK, GERMAN NA FRANCE.
France anajuwa sana na canada na wengi wengineo na wote wameona na kuiambia Israel iache kuuwa watoto na kujpiga shule wala hawakuwataja Hamas.
 
Back
Top Bottom