Israel haipigani tena na Hamas.Inaua watu kinyama.Dunia isimame kabla janga kuliko corona halijatokea.Tanzania kwa uchache iitishe maandamano kulaani

Wanaoabudu mtu "yeshu" hawatokuelewa maana akili zao zimejaa usheitwani
 
Mwanzoni si ulikuwa unatoa taarifa kuwa, israel kuingia Gaza atakuwa anajitafutia maafa makubwa?!!!
 
Mwanzoni si ulikuwa unatoa taarifa kuwa, israel kuingia Gaza atakuwa anajitafutia maafa makubwa?!!!
Ndicho kinachoendelea.Kwani wewe umeona amepata nafuu gani.
Ameshindwa kuwakamata Hamas na kuokoa mateka.Mpaka nyumba ya Netanyahu imezingirwa na ndugu za mateka wakidai watu wao.
Hilo kwa mtazamo wako unaona ni kitu gani
 
Wewe itakuwa huna dini.Ni mfuasi wa shetani.
 
Acha watwangane tumezoea kuonyeshwa migogoro ya Sudani, Kongo, Afrika ya Kati, Afrika Magharibi n.k. Sasa Al-Jazeera, CNN na BBC wamehamishia makamera Urusi na Israel.
 
Mtasema tu na Bado !
Shida Hawa magaidi akili zao ni kidogo sana wanadhani wakienda kujificha mashuleni Israel hawatawapiga, wanadhani wakijificha kwenye makambi ya wakimbizi basi watakua salama, wanadhani wakijichimbia mahospitalini Israel itaogopa kuwafurusha kwa missile bombs(wanawaponza wenzao)

Wanasahau kwamba walichokaza machizi vita, hata wajifiche wapi watapigwa tu,hata wakusanye watoto wadogo malaki kwa malaki then wajichomeke katikati Yao kombola litawashukia hapo hapo. sasa kama wanapenda uhai wa watoto wao, wanawake na wazee basi wakae mbali nao vinginevyo watawaponza.

Alafu hii vita Toka imeanza inamaana hakuna kijana hata mmoja aliekufa?
Inamaana hii vita Hamas wao hawafi?
Wanaokufa ni wanawake na watoto tu???
Sasa Israel itasitisha vita pale mtakapoanza kusema ukweli kwamba sasa hivi Hamas wanakufa, maana kwa mujibu wenu hakuna Hamas wanaokufa isipo kuwa ni watoto na wanawake. Sasa lengo la Vita Bado halijatimizwa.
 
Oil,gas [emoji618]
 
Kwa mujibu wa mikataba ya UN kuhusu vita. Mtoto anapoteza haki ya Kinga ya kushambuliwa ikiwa atatumika kama ngao . Hao HAMAS wanawatumia watoto kama ngao unategemea waachwe.😭😭😭

Ingekuwa inapiga kenge isingekuwa na neno.Lakini watoto na akinamama ni balaa kubwa sana.
 
Walikufa wangapi mtaalam?
 
Halafu mnataka vita iishe. Si tuendelee hivihivi tu.
 
Walikufa wangapi mtaalam?
Idadi ya waliokufa kila siku inabadilishwa na hakuna majina ya kutosha wala picha kuthibitisha hivyo vifo.Kwa kifupi ni watu wachache sana kuliko wapalestina waliokwisha kuuliwa na majumba yao ya kuishi kubomolewa.
 
Ndicho kinachoendelea.Kwani wewe umeona amepata nafuu gani.
Ameshindwa kuwakamata Hamas na kuokoa mateka.Mpaka nyumba ya Netanyahu imezingirwa na ndugu za mateka wakidai watu wao.
Hilo kwa mtazamo wako unaona ni kitu gani
Jambazi ametoka ndani ya nyumba yako na siku zote huwa anaishi kwako unamjua vzuri...kaja kwangu kapiga tukio kaondoka,wewe unazani mim nitaenda kuwatandika nyumba ya nani anaemjua/kumfuga jambazi wangu zaidi yako wewe unaemfuga ndugu yako
 
Si unaona mwenyewe.Kila bomu likipigwa wengi ni watoto walioparaganyika viungo.Ni picha za papo kwa papo kutoka mashirika maarufu ya habari.Na ukipiga shule si umekusudia kuuwa watoto.
 
Watoto unaowakuta ndani ndio utawaua kwa vile Jambazi kaingia ndani ya nyumba hiyo.Huo ni ujinga.
 
Kuna wakati inabidi kutazama,mwana kulitafuta mwana kulipata,mwana kulikoroga mwana kulinywa. Watu wa Gaza inabidi walipe gharama za uovu wa Hamas
 
Ndo
Si unaona mwenyewe.Kila bomu likipigwa wengi ni watoto walioparaganyika viungo.Ni picha za papo kwa papo kutoka mashirika maarufu ya habari.Na ukipiga shule si umekusudia kuuwa watoto.
Ndo waache kujificha huko! Kujificha kwa watoto ni kuhatarisha maisha ya hao watoto kwa makusudi
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…