Israel haipigani tena na Hamas.Inaua watu kinyama.Dunia isimame kabla janga kuliko corona halijatokea.Tanzania kwa uchache iitishe maandamano kulaani

France anajuwa sana na canada na wengi wengineo na wote wameona na kuiambia Israel iache kuuwa watoto na kujpiga shule wala hawakuwataja Hamas.
Hizo nchi ulizozitaja zinawatambua Hamas kama kundi la KIgaidi unalifahamu hilo!? Na viongozi wake wote wakuu baada ya tarehe 7/10 walienda kuwafariji Israel na kuwaahidi support katika haki yao ya kujilinda. Na wote hao wana kura za veto Baraza la usalama la umoja wa mataifa....SASA UMUSHASIKIA KAMA SIO KUONA HATA MMOJA MIONGONI MWAO AMEPELEKA UN HOJA YOYOTE INAYOPINGA HICHO KINACHOENDELEA GAZA? Mind you umoja wa mataifa unajua watu hawana maji,chakula, dawa,wala mafuta yakuendeshea mitambo muhimu( generators) kwenye sehemu nyeti kama hospitals,minara ya simu( mawasiliano) huko maroli yamepangana msululu yenye mahitaji yote muhimu lakini ISRAEL KAZUIA. Na hata hao UN wamepimiwa mafuta jana kwenye vibaba na hakuna mtu anaweza kuingilia kati kwa vitendo imebaki maneno tu. Kwa kumalizia kama nchi zote kubwa ulizozitaja hapo juu zinaliona Hamas ni kundi la kigaidi unazani hawataki lifutwe kwenye uso wa dunia? Na kama wanataka lifutwe nani wa kulifuta zaidi ya ISRAEL?
 
Netanyahu ameshasema kwenye hii vita anasimamia neno kutoka 1Samwel 15 kasome mwenyewe,uone jinsi ndugu zako Hamas watakavyoendelea kuchakazwa hadi wafutike.
 
Kumbe ni hadaa zinaendelea.
Sasa unaonaje Mwenyezi Mungu akiwaletea majanga wote hao watamlaumu nani.
Na unaonaje jina Hamas likipotea halafu likaja jengine kali kuliko Hamas nani anaweza kuzuia
Unakumbuka Israel haikuanza leo kuuwa kwa matarajia ya kuwamaliza watetezi wa Palestina na hata Hamas enzi hizo haikuwepo.Israel ilimuua sheikh Yassin ambaye alikuwa babu na mlemavu kwa maelezo kuwa ndiye muasisi wa fikra za kigaidi.Imekuwaje miaka 20 mbele.
Hii dunia inakwenda na kanuni za Mwenyezi Mungu.Kila ukifanya dhulma sana na wewe jitayarishe na kudhulumiwa na kukumbwa na mabalaa
Soma WAKRISTO WA BETHLEHEM
 
Yes ni hadaa! Kama kufa watoto wamekufa sana sasa katika hali hii unategemea nn kitokee ndo wataingilia kati? Akimaliza kaskazini anaanza kuhalibu majengo na miundo mbinu ya kusini nako mauwaji yatakuwa mengi tu japo sio kama kaskazini....maana raia sasa wameanza kutii waelekezo kutoka Israel.
 
Jujkumu la kuingilia kati ni la kibinadamu na kama binadamu wa imani yoyote hawatafanya ujuwe hawatakuwa salama mbele ya aliyewaumba.
Mpaka watu watakapofahamu kuwa Israel inataka kuangamiza dunia na kuizuia na hilo basi ujuwe hakuna amani huko mbeleni.Atapiga kaskazini halfu kusini na watu wataendelea kufa kwa wingi na vilio vibaya.Kitakachoendelea na kukaliwa kimya ni balaa kwetu sote.
 
Hivi una akili Kweli
 
Watoto unaowakuta ndani ndio utawaua kwa vile Jambazi kaingia ndani ya nyumba hiyo.Huo ni ujinga.
Sasa wewe unaanzisha ugomvi wa mawe unajua unakaa kwenye nyumba ya vioo..Nani atakuwa mjinga apo??.
 
Watoto unaowakuta ndani ndio utawaua kwa vile Jambazi kaingia ndani ya nyumba hiyo.Huo ni ujinga.
wewe ulivyokuja kwangu kuua uliangalia mkubwa na mtoto au uliua tu wote uliowakuta au ulikuwa unategemea huruma za watu..acha akili za kitoto hizo
 
Kula mkongoto mpaka ......
 
Tulia wewe,israeli ilisema itawapa somo ambalo miaka mia hamtalisahau
 
Tulia wewe,israeli ilisema itawapa somo ambalo miaka mia hamtalisahau
Hilo somo liko wapi zaidi ya kuua watoto na wagonjwa na kukalia hospitali.
Kama ni somo basi wala sio letu peke yetu ni pamoja na nyinyi na dunia yote.
Hakuna alyeiwahi kuona somo hilo la kupiga hospitali zote za mji na kuua wagonjwa na watoto na kuwatoa wagonjwa vitandani mwao.
 
Nd
Ndio Somo lenyewe hilo,hivyo vitoto navyo ni magaidi wa siku za mbeleni
 
Kwahiyo Allah na yeye ana makosa kuwaruhusu Wairael kurejea kwenye nchi yao aliyowapa? unataka waendelee kusumbuliwa tu na magaidi? walishambiwa siku nyingi waweke silaha chini waishi salama wakakataa wametumia magendo mibichwa imekuwa mikumbwa inataka kupigana haya waache wajifunze na kufutwa... ukishabikia sana tunakupakia kwenye ndege uende na wewe Gaza
 
Nd

Ndio Somo lenyewe hilo,hivyo vitoto navyo ni magaidi wa siku za mbeleni
Hiyo dini yenu ina hatari sana.Na wala siamini kuwa wewe ni mkristo.unaweza ukawa myahudi au mfuasi wa shetani.
Watoto kwa dini yetu ni watu salama sana na wote ni waislamu mpaka watakapoanza kubaleghe.Hata wakifanya dhambi wakiwa wachanga hawaandikiwi kwenye madaftari yao.
Mmoja aliyewahi kutoa hukumu hiyo ni Firauni ambaye hatimae Allah mwenyewe alimshughulikia na kukoma.
 
jifurahisheni tu huku mnalia... kama Aljazeera
 
Wapi alipowapa au mnajdanganya tu.
 
chenga za mwili zinaudhi sana.lakini yakikupata lazima utulize bongo.
Hasara kamili ya IDF ni kubwa sana.Hamas wasingeweza kurusha video kama tunazoziona iwapo hawajapata mafanikio hayo.
 
Nakumbuka wakati mnashangilia tuliwaonya humu humu msije mkaanza kulia,kiko wapi😀
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…