Israel haipigani tena na Hamas.Inaua watu kinyama.Dunia isimame kabla janga kuliko corona halijatokea.Tanzania kwa uchache iitishe maandamano kulaani

Webabu

JF-Expert Member
Joined
Apr 29, 2010
Posts
8,870
Reaction score
14,258
Tuachane na vita vya Israel na Hamas.Hivi vita vimeisha na Israel haiwezi kuwapata Hamas wala mateka.
Uchunguzi wa kitaalamu ukihusisha mizozo mengine ya kivita ya miaka ya karibuni unaonesha Hamas wameyeyuka kabisa na kilichobakia ni mahandaki na alama zao nyengine kuwa walikuwepo
Uchunguzi unaonesha kuwa Hamas wataibuka mbeleni na kuendeleza vita ambavyo kamwe Israel hatoviweza kuvimaliza.Hilo limeshajulikana na Israel na sasa inapiga kwa malengo hayo ya kuzuia vita vya mbeleni jukumu ambalo ni gumu sana.
Sasa kwanini Israel inaachwa ifanye vitendo vya kifirauni mbele za walimwengu,ambavyo ni kuuwa watoto inaodhani wanaoweza kuchukua majukumu ya Hamas miaka ijayo..Lakini hizo zitabaki ni dhana na haiwezi kuhalalisha unyama inaofanya sasa.
Shule moja baada ya nyengine zinapigwa kwa mabomu mazito na kuua watoto.Vitoto vinakujfa mbele ya wenzao na watu dunia nzima wanaona.
Nimeangalia matukio ya kutisha sana ya wazee wakiokota vipande vya watoto wao waliokuwa wakisafiri nao kuelekea kusini.Vijana wenye njaa wanachimba vifusi kwa mikono yao kutafuta waliofukiwa.Huko ni kuchanganyikiwa kwani mikono haiwezi kuinua mazege na kubinua nondo zilizojengewa majengo hayo.Ndio maana kuna idadi kubwa mpaka sasa wamebaki chini ya vifusi.
Wanawake wanalia mpaka machozi yanakauka kuomba msaada kwa wanaume wa dunia nzima. Sauti zao ni ushahidi wa kuIshiwa na nguvu kwa majonzi
Wenye uwezo wa kuzuia hayo,huu ni wakati wao na sio matamko ya kisiasa kwa jambazi ambaye hasikilizi maneno hayo.Kuacha kufanya hivyo kwa hakika ni kukaribisha majanga kwa dunia nzima katika mfumo wa mabalaa yanayofanana na corona ambapo kila mmoja wetu hatoishi kwa raha tena bila kujjali dini zetu.
Wapo wengi katika nchi za mbali na eneo la tukio wameacha kuzungumzia vita vya Israel na Hamas na wanazaungumzia maangamizi (genocide) basi.
 
Wapo wengi katika nchi za mbali na eneo la tukio wameacha kuzungumzia vita vya Israel na Hamas na wanazaungumzia maangamizi (genocide) bas

Hamas walivyo shambulia tamasha la music na kuuwa hovyo mlishangilia kwa ndelemo na vifijo

Walivyoteka mateka wa mataifa mbali mbali mlishangilia sanaa nakusema allah amejibu

Bado wakaja wakarusha makombora 5,000 na kuuwa maelfu ya watu wakubwa kwa wadogo baso mkashangilia

Wanapojibu mnatia huruma kwetu tena badala mmalizane wenyewe [emoji23]

Tayari magaidi wameuwa kijana wetu msomi felix mnashangilia

KUNA HAJA YA KUPIMWA AKILI WAFUASI WA HIZI DINI
 
Hiyo ni vita, na lengo lao ndo Hilo, wangetaka mateka wangekubali prisons exchanges lakini inaonekana hao mateka wamewatoa mhanga ili waendelee kuichakaza Gaza na kuhalalisha Kila tukio wanalofanya pale Gaza, wataendelea kuishikilia Gaza Kwa kigezo Cha kutafuta mateka huku Gaza ikiwa ndo imeondoka, nani atamkolomea Israel huku mateka wakiwa wameshikiliwa?
 
Katika idadi za vifo Israel vilipaishwa ili kutoa sababu ya vita,hakuna maelfu.Zaidi ya hapo hata watu wengine walijuwa kujwa Hamas hawakufanya hivyo bila sababu.
sssa kama ni Hamas waliofanya hivyo umeshaambiwa hawapo tena.hawawezi kuwaona.Si watulie sasa na waache kuuwa watu ovyo huku wakilenga zaidi watoto.
 
Wewe kama binadamu unaunga mkono malengo hayo.
 
Tudai fidia za 100 mil dolla wanafamilia wagawane na nyengine ziingie mfuko wa maafa.Israel inapaswa kutulipa kwa sababu wao ndio walimuweka maeneo hatarishi wakijua wana vita na wapalesina daima.
Wewe utakuwa ni jini siyo binadamu, Kwa sababu tunaambiwa majini yapo, mnatetea magaidi, Hamas ilitakiwa baada ya kuwateka Tena wafrica weusi iwaachie tu, kwanini waliendelea kuwashikilia watu weusi ambao sio wazungu?
 
Tuachane na vita vya Israel na Hamas.Hivi vita vimeisha na Israel haiwezi kuwapata Hamas wala mateka.
Uchunguzi wa kitaalamu ukihusisha mizozo mengine ya kivita ya miaka ya karibuni unaonesha Hamas wameyeyuka kabisa na kilichobakia ni mahandaki na alama zao nyengine kuwa walikuwepo
Uchunguzi unaonesha kuwa Hamas wataibuka mbeleni na kuendeleza vita ambavyo kamwe Israel hatoviweza kuvimaliza.Hilo limeshajulikana na Israel na sasa inapiga kwa malengo hayo ya kuzuia vita vya mbeleni jukumu ambalo ni gumu sana.
Sasa kwanini Israel inaachwa ifanye vitendo vya kifirauni mbele za walimwengu,ambavyo ni kuuwa watoto inaodhani wanaoweza kuchukua majukumu ya Hamas miaka ijayo..Lakini hizo zitabaki ni dhana na haiwezi kuhalalisha unyama inaofanya sasa.
Shule moja baada ya nyengine zinapigwa kwa mabomu mazito na kuua watoto.Vitoto vinakujfa mbele ya wenzao na watu dunia nzima wanaona.
Nimeangalia matukio ya kutisha sana ya wazee wakiokota vipande vya watoto wao waliokuwa wakisafiri nao kuelekea kusini.Vijana wenye njaa wanachimba vifusi kwa mikono yao kutafuta waliofukiwa.Huko ni kuchanganyikiwa kwani mikono haiwezi kuinua mazege na kubinua nondo zilizojengewa majengo hayo.Ndio maana kuna idadi kubwa mpaka sasa wamebaki chini ya vifusi.
Wanawake wanalia mpaka machozi yanakauka kuomba msaada kwa wanaume wa dunia nzima. Sauti zao ni ushahidi wa kuIshiwa na nguvu kwa majonzi
Wenye uwezo wa kuzuia hayo,huu ni wakati wao na sio matamko ya kisiasa kwa jambazi ambaye hasikilizi maneno hayo.Kuacha kufanya hivyo kwa hakika ni kukaribisha majanga kwa dunia nzima katika mfumo wa mabalaa yanayofanana na corona ambapo kila mmoja wetu hatoishi kwa raha tena bila kujjali dini zetu.
Wapo wengi katika nchi za mbali na eneo la tukio wameacha kuzungumzia vita vya Israel na Hamas na wanazaungumzia maangamizi (genocide) basi.
Tanzania inatakiwa kuanzisha maandamano dhidi ya hamas, wameua vijana wetu wawili, na bado hamas wa mbagala mnakuja hapa kutulazimisha tuichukie Israel,sisi hatuichukii tunaipenda na tunaisapoti kwa kile inachofanya Gaza.
 
Katika idadi za vifo Israel vilipaishwa ili kutoa sababu ya vita,hakuna maelfu.Zaidi ya hapo hata watu wengine walijuwa kujwa Hamas hawakufanya hivyo bila sababu.
sssa kama ni Hamas waliofanya hivyo umeshaambiwa hawapo tena.hawawezi kuwaona.Si watulie sasa na waache kuuwa watu ovyo huku wakilenga zaidi watoto.
Tutolee kelele hapo, kavae mabomu ukawasaidie Hamas huko Gaza. Huna huruma na wapalestina wanaokufa Kila siku.
 
Waziri wa ulinzi wa Israel alisema kuwa dunia itaandika historia ya miaka 50 ijayo juu ya kipigo watakachoipa Gaza na hii ndiyo Hali halisi inaonekana .
Tutashuhudia kila Aina ya mauaji juu ya Hamas na Palestine Kwa ujumla, kumbuka wale wateka wamekufa karibia WOTE Jambo ambalo linazidi kuipa Israel jeuri ya kupiga atakavyo huku akisaidiwa na marekani.....kipigo cha mbwa Koko kitaendelea Hadi mwakani mwezi October
 
Back
Top Bottom