Ramesses II
JF-Expert Member
- Sep 29, 2013
- 3,710
- 5,054
Nenda mwenyewe usidanganywe na mitandao. Hizo kesi ndogo ndogo hata huku bongo zipo, ma house girls na house boys wapo wanaonyanyasika hata bongoMbona Jamii Kubwa ya watu wanaenda kutafuta Maisha Bora huko kwa watu wenye Roho mbaya Unayosema Mbona hawaendi kwa hao Unaowaita wana Roho Nzuri Oman,Iran,Iraq,Egypt kila Siku Tunasikia Watu Wana lia Kwa Kunyanyaswa na hao Waarabu Unaowapenda kwa mihemko Yako
unaweza tamani hata utekwe tena...Mateka waliochwa leo kutoka kwa hamas wameonekana wakiwa kwenye afya nzuri hali inayoashiria walikua sehemu salama na walikua wakiishi vizuri, tofauti na wapalestina waliochwa kutoka jela za waisrael ukiwaona tu unajua wametoka kwenye mateso.
Huu ni mfano bora kuwa waislamu ni watu wema, na Mazayuni mungu awalaani wao ndio chanzo cha matatizo yote haya.
Resistance movement against colonialist na coloniasm haijalishi kiasi Gani watu watakufa, ama watateseka but lengo la resistance Kwa upande mmoja ama mwingine ni kuhakikisha Kwa sadaka ya damu mkoloni hafanikiwi kuishi Kwa amani! Pale Gaza watakufa wengi lakini hawataacha movement hizi!Sasa faida Gani wamepata wapalestina wangapi wamekufa hapo
unaweza tamani hata utekwe tena...Mateka waliochwa leo kutoka kwa hamas wameonekana wakiwa kwenye afya nzuri hali inayoashiria walikua sehemu salama na walikua wakiishi vizuri, tofauti na wapalestina waliochwa kutoka jela za waisrael ukiwaona tu unajua wametoka kwenye mateso.
Huu ni mfano bora kuwa waislamu ni watu wema, na Mazayuni mungu awalaani wao ndio chanzo cha matatizo yote haya.
Kabla ya kumtusi mtukufu wa watu kwanza mjue alivo kwa undani wake.Muhammad alibaka kabint ka miaka 9 usisahau
100%Una uhakika?
thamani ya mwanadamu kapewa Mola muumba wewe ata ukidharau haisaidii lolote, Israel ina wafungwa wengi sana wa kipalestina, hamas wako na waisrael wachache ndio maana walikubaliana 1 kwa 50 na kuendeleaWewe angalia thamani yao. Muisrael mmoja sawa na wapalestina 50! Yaani wamebadilishana waisrael 4 magaidi 200.
Ata kama huna dini au ni dini yako ni ukiristo, jaribu kuweka akiba katika nafsi yako hujui nini kitakutokea baadae, hakuna muislamu ambaye amekuja hapa na kukutukana, ni muhimu sana ulimi wako kuuchagulia maneno ya kuongeaMuhammad alibaka kabint ka miaka 9 usisahau
Nothing mkuu, kwani Marekani itachukua miaka mingapi kuijenga na kuirejesha Los Angeles ilivyokuaItachukia miaka 16+ kuijenga Gaza mpya.
huu sasa ni ukora kuanza kuwalaani wayahudiLipo wazi wayahudi ni wabaguzi, ila sijui watu wanawasaport kwa lipi
Kwa misingi ya kiislamu mwanamke akibalehe tu anaruhusiwa kuolewa na ndo maana iraq wamepitisha sheria ya miaka 9, tofuati na hapo uzinzi hauwezi kuisha. Bi aisha aliolewa na mtume aliwahi kubalehe na alikua ana mwili mkubwa wa kisichana ndo maana hakukuwa na tatizo.Kwani uongo. Nenda kachukue katoto ka miaka tisa popote halafu uone kitakachofuata.
WanaChanganya sana mafile bora waitukuze ile ardhi ya pale Israeli na ofcourse ile ardhi ni ardhi tukufu ila sio wale viumbe hawana wema hata kwao wenyeweHAPA.MAYAHUDI WAMEAIBIKA SANA .PROPAGANDA ZAO ZOTE KWAMBA HAMAS NI MAKATILI ZIMEFELI, KINYUME CHAKE WAFUNGWA WA KIPALESTINA WANARUDISHWA WAKIWA WAGONJWA, WALEMAVU AU WAKIWA HAWANA MARINDA , HALAFU ANATOKEA MGALATIA KUTOKA MAKAMBAKO ANAKUAMBIA ISRAEL NI TAIFA TEULE
Sahihi mateka hawana hatia kabisa.Inaaikitisha sana. Na so hivo tu, inaogopesha.
Halafu ni wazuri kwa propaganda. Ninawapa mamia ya makumi, wanaweza mchezo wa kuspini maneno/narrative.
Tuwaombee mateka wote, haijalishi kutoka upande gani, warudi kujiunga na familia zao.