Ramesses II
JF-Expert Member
- Sep 29, 2013
- 3,710
- 5,054
Nenda mwenyewe usidanganywe na mitandao. Hizo kesi ndogo ndogo hata huku bongo zipo, ma house girls na house boys wapo wanaonyanyasika hata bongoMbona Jamii Kubwa ya watu wanaenda kutafuta Maisha Bora huko kwa watu wenye Roho mbaya Unayosema Mbona hawaendi kwa hao Unaowaita wana Roho Nzuri Oman,Iran,Iraq,Egypt kila Siku Tunasikia Watu Wana lia Kwa Kunyanyaswa na hao Waarabu Unaowapenda kwa mihemko Yako