Chaliifrancisco
JF-Expert Member
- Jan 17, 2015
- 26,021
- 79,710
- Thread starter
- #101
Vita ni mbaya ila Israel kashindwa mission yake ya GazaTuweke Ushabiki pembeni Vita ni mbaya!
Just imagine maelfu ya watu wamepoteza maisha kwa pande zote,uharibifu wa mali,nk
Vita ni mbaya!