Detective J
JF-Expert Member
- Oct 17, 2016
- 24,058
- 41,518
Hakuna mahali nimesema hamas ni jeshi , punguza mkurupuko. Weka hisia pembeni weka facts and logicUWEZO WAKO WA KUPAMBANUA MAMBO UNAONEKANA MDOGO, HAMAS NI WANAHARAKATI TU HAWANA JESHI KAMILI WALA HAWANA NCHI , WAMEZUNGUKWA NA ADUI PAMOJA NA VIBARAKA WAO, HAWANA JIRANI WALA WATU WA.KUWAPA MSAADA, WAPO KATIKA ENEO DOGO LA KIJIOGRAFIA AMBALO LINA FENSI KILA KONA,.HAWANA JESHI LA MAJINI WALA ANGA , LAKINI WAMEIDINDISHIA ISRAEL MPAKA IMEKUBALI MASHARTI YAO,.HUU NI USHINDI MKUBWA NA AIBU KWA ISRAEL NA MASHOGA ZAKE MAREKANI NA UENGEREZA.
HALAFU KITU CHENGINE HAMKIJUI WALE JAMAA HAWAOGOPI.KIFO KAMA MAYAHUDI NDIO MAANA WAMESHINDA KWA KISHINDO
Ulisema wako well organized while in reality they are not. Wao ndio wana attempt kupigana na well organized army, hawatokaa washinde
Is why nika recommed wanahitaji kujipanga zaidi
suala la hawaogopi kufa, mamalalamiko uya nini wakati IDF wanashambulia?