Chaliifrancisco
JF-Expert Member
- Jan 17, 2015
- 26,021
- 79,710
- Thread starter
-
- #101
Vita ni mbaya ila Israel kashindwa mission yake ya GazaTuweke Ushabiki pembeni Vita ni mbaya!
Just imagine maelfu ya watu wamepoteza maisha kwa pande zote,uharibifu wa mali,nk
Vita ni mbaya!
Hahaha yani unalinganisha kweli nguvu ya kivita ya Iran, Hamas na Hezbollah vs Israel, USA, France, England na wenzao 29 wa NATO?Daah yaani Israel pamoja na kichangiwa koote na iran,yen etc bado kuna mtu anakuja kuidhihaki hapa na kujiona shujaa kisa mateka. Akina nasra and the co wameuliwa leo hii wanaunganishwa kwenye kundi la wanawake na watoto daah
WAYAHUDI WANAUA RAIA 100 KWA SHABAHA YA KUMLENGA HAMAS MMOJA, LAKINI HAMAS AKIUA ANAUA WANAJESHI TUNimeshangaa sana kweli walio uliwa wengi ni raia, Hamas bado wapo wa kutosha
😃😅Facts huwa hazijifichi mkuu. Ukweli upo wazi sasa kuwa IDF ni sawa na Boko Haram tu
Hahaha yani unalinganisha kweli nguvu ya kivita ya Iran, Hamas na Hezbollah vs Israel, USA, France, England na wenzao 29 wa NATO?
Yani Hamas na Hezbollah wanapigana vita na Israel na nchi 32 za NATO?
Dah asee ni hatari.
IDF walishusha mvua za mabomu lengo ni kukomboa watu wao lakini wamefeli 100%, sasa watu wao wanaachiliwa kwa mkataba, ni weakness kubwa sana mkuu wacha hamas washangilie na magari yao yakiwa katika hali nzuri kabisa
Numbi una uhakika kabisa uko vizuri kwenye hizi medani za geopolitics ili tupeane facts na sio ubishani uchwara!!?Kinachojulikana ni Israel kaua watoto na wanawake gaza. Sasa hapo nato anahusikaje. Wakiuliwa watu Israel kaua ,zikja habari za kubomoa majumba na kuua makamanda wa hamas ni nato kaua daah
Numbi una uhakika kabisa uko vizuri kwenye hizi medani za geopolitics ili tupeane facts na sio ubishani uchwara!!?
Propaganda ni mbaya sana. Uzuri ni kuwa siku hizi dunia iko mikononi mwetu hakuna siri tena kila kinachotokea tunakishuhudia wenyewe.Hivi kwa akili yako unadhani Israel angekuwa na Uwezo wa kuimaliza Iran angesubiri Nini?fikiria Gaza sio kitisho kwake alivyokuwa anaipiga,kwa umri huu ninakiri hadharani sisi wa zamani tuliilishwa uongo wa kutisha
Jibu swali kama. Nimekupa facts kuwa IDF waliingia Gaza kwa lengo la kuwamaliz Hamas na kukomboa mateka lakini wameshindwa kufanikisha hata moja kati ya hayo malengo yao.Eri ubishani uchwara,hamas wa bongo bana
Wangekuwa descpline na organized, wangesha wipe israel juu ya uso wa dunia. But then every time wanaenda kwneye battle na israel wanaumia wao zaidi na wanao wazunguka.uko sahihi wale wanamgambo wa Hamas wako very disciplined and very organized and highly motivated to fight ZIONIST brutal occupation, halafu hawapati msaada wowote rasmi kutoka nje wa silaha wala FEDHA wanatumia uzoefu tu , Mfano mabomu yale yale ambayo ISRAEL anayatupa Gaza ndo yale yale Hamas wanayaokota na kuipiga ISRAEL, Itoshe kusema ISRAEL ni jeshi la mashoga na mabwabwa tu sema linaungwa mkono na Mabepari, bila mabepari lisingekuepo
Jibu swali kama. Nimekupa facts kuwa IDF waliingia Gaza kwa lengo la kuwamaliz Hamas na kukomboa mateka lakini wameshindwa kufanikisha hata moja kati ya hayo malengo yao.
Je hiyo ni ku fail au sio ku fail?
najibu kwa niaba ya watu wengine. Kuifita hamas ita require IDF ku commit genocide, since hammas operate among civilians.Jibu swali kama. Nimekupa facts kuwa IDF waliingia Gaza kwa lengo la kuwamaliz Hamas na kukomboa mateka lakini wameshindwa kufanikisha hata moja kati ya hayo malengo yao.
Je hiyo ni ku fail au sio ku fail?
Bado hujajua. Siku ukijua njoo. Hamas sio Sinawar au Haniyeh.Kwa wewe unaona unajua kila kitu kule utaona wameshindwa ila kwa waliopo kule wameona Israel imemaliza kazi ,zile chokochoko za hamas zimekomeshwa. Hawana jeuri tena ya kivamia Israel. Watu wameua makamanda wa juu,wamegeuza mji kifusi bado upo unajitapa kisa mateka wachache aiseee
So kwa muktadha huo na kwa kuzingatia nguvu ya kivita tunayoambiwa IDF inayo na kwakuzingatia msaada wa NATO je operation hii ya Gaza ilipaswa kuwachukua majeshi ya IDF na NATO wenye kila aina ya tech na silaha muda huu waliochukua bila kumaliza cells zote za Hamas hapo Gaza na bila kuwakomboa hostages?najibu kwa niaba ya watu wengine. Kuifita hamas ita require IDF ku commit genocide, since hammas operate among civilians.
Kama sio international communities kuoiga kelele kuhusu ops za IDF israel isinge stop.
Imagine international community ingekaa kimya, na kuacha IDF ifanye ina ch o kifanya? Human cost upande wa hamas ingekuwa kubwa mno kuliko kawaida
Na kuna reports hamas military wing imeachwa na hali mbaya sana.
IDF sio majeshi ya africa
Hata wangekaa kimya kila mtu bado IDF angeua Watu wasio na hatia kama alivyofanya na kuwaacha hamas wangeua Zaid ya laki 5najibu kwa niaba ya watu wengine. Kuifita hamas ita require IDF ku commit genocide, since hammas operate among civilians.
Kama sio international communities kuoiga kelele kuhusu ops za IDF israel isinge stop.
Imagine international community ingekaa kimya, na kuacha IDF ifanye ina ch o kifanya? Human cost upande wa hamas ingekuwa kubwa mno kuliko kawaida
Na kuna reports hamas military wing imeachwa na hali mbaya sana.
IDF sio majeshi ya africa
We shabiki wa nyumbu Manchester,Arsenal wanahusika vipi katika huu Uzi?Wewe yako imejaa funza kama wachezaji wa asenyeto
UWEZO WAKO WA KUPAMBANUA MAMBO UNAONEKANA MDOGO, HAMAS NI WANAHARAKATI TU HAWANA JESHI KAMILI WALA HAWANA NCHI , WAMEZUNGUKWA NA ADUI PAMOJA NA VIBARAKA WAO, HAWANA JIRANI WALA WATU WA.KUWAPA MSAADA, WAPO KATIKA ENEO DOGO LA KIJIOGRAFIA AMBALO LINA FENSI KILA KONA,.HAWANA JESHI LA MAJINI WALA ANGA , LAKINI WAMEIDINDISHIA ISRAEL MPAKA IMEKUBALI MASHARTI YAO,.HUU NI USHINDI MKUBWA NA AIBU KWA ISRAEL NA MASHOGA ZAKE MAREKANI NA UENGEREZA.Wangekuwa descpline na organized, wangesha wipe israel juu ya uso wa dunia. But then every time wanaenda kwneye battle na israel wanaumia wao zaidi na wanao wazunguka.
wajipange the fact IDF imeweza kudefend mipaka yake kabla hata ya kuzaliwa kwa hezbollah na hammas on 1984 na 1985
Tactical IDF wbaco record zinawebaba, siku hamas na hezbollah watapo ungana ndipo atleast wata cause major damage else mipango yao itakuwa ina fail