Israel (IDF) ni Nchi (jeshi) ambao wako Very Overhyped. Hawana Uwezo Wowote

Hakuna mahali nimesema hamas ni jeshi , punguza mkurupuko. Weka hisia pembeni weka facts and logic

Ulisema wako well organized while in reality they are not. Wao ndio wana attempt kupigana na well organized army, hawatokaa washinde

Is why nika recommed wanahitaji kujipanga zaidi

suala la hawaogopi kufa, mamalalamiko uya nini wakati IDF wanashambulia?
 
Kazungukwa na wapumbavu wewe mnunua udongo itakuwa ujielewi yani wazayuni wenyewe waje ktkt ya mwarabu wakae apo afu ww useme wamezungkwa akili izi kweli nchi imebeba mizigo mingi sana!!!! Waisrael ndio wapumbavu kwenda kukaaa seeem katikati ya Warabu na bado wanataka kujitanua wawanyang,anye ardhi Warabu afu ww umeshiba migebuka unakuja uwongo wako!!!
 
Na pickups ni mpya kabisa jiulize walikua wamezipaki wapi?
Swali zuri sana vita hii ina mambo mengi nyuma yake tusiyajua na wala hatutaweza kuyajua zaidi ya kubishana tu humu mtandaoni.
 
Ndugu kuna mambo mengi amabayo hatuwezi kuyaona ktk macho ya kawaida wanayajua wao na wanao pambana nao.
 
Kajizungusha mwenyewe kwa utash wake eneo lote lile ni la Warabu WAISRAEL fake wenyewe wameletwa kwa msaada wa UN wakamegewa kipande cha ardhi ya mwarabu mwaka 1948 leo udai wamezungukwa!!! Endelea kununua udongo aya mambo yapo juuu sana kwako!!
 
Hatari sana
 
Kweli kabisa hakuna point ulio sema sio sahihi zote ni 💯
 
Facts nimeweka hapo. Kuwa

1. Israel kashindwa kuokoa mateka
2. Isreael wameshindwa kuimaliza Hamas
3. Israel wametumia dollar billion 67
4. Isreael walichofanikiwa kufanya Gaza ni kuua watoto na wanawake.
Kuna watu hawajui mambo yanavyoendelea huko Gaza.
1. Oct 07,2023 magaidi wa Hamas waliteka mateka 251 karibu wote wameachiwa kwa nią mbalimbali waliobaki ni 98 tu na huo ni Ushindi mkubwa kwa Israel!!
2..Kuimaliza Hamas ni process na mpaka huo bado unaendelea hata sasa baada ya usitishwaji wa mapigano hayo zwęzi la kuwamaliza hamas litaendelea.
3. Hizo takwimu sijui umezipata watu au umejitungia wewe mwenyewe?
4.Hilo la kuua wanawake na watoto hiyo ni Propaganda za kutafuta huruma kwa jumuia za kimataifa tu hazina ukweli wowote
 
Kwamba napika takwimu? Hebu lete basi zako ambazo ni zakweli.

Kwamba Gaza wanawake na watoto hawajauwawa bali ni propaganda?

Kweli wewe inabidi upimwe mkojo tujue unatumia nini.
 
Kwamba napika takwimu? Hebu lete basi zako ambazo ni zakweli.

Kwamba Gaza wanawake na watoto hawajauwawa bali ni propaganda?

Kweli wewe inabidi upimwe mkojo tujue unatumia nini.
Jiulize tu wewe mwenyewe kwa nini watoto tu na wanawake tu ndiyo hayo mabomu yawaue wengine mabomu yanawakwepa?
 
Jiulize tu wewe mwenyewe kwa nini watoto tu na wanawake tu ndiyo hayo mabomu yawaue wengine mabomu yanawakwepa?
Uwe unaelewa basi acha kuwa na akili fupi. Idadi kubwa ya waliouwawa ni wanawake na watoto.

Halafu hilo ni kundi maalumu kwenye vita linalindwa kwakuwa wenyewe wako weak tofauti na wanaume.

Uwe unaelewa mambo.
 
Uwe unaelewa basi acha kuwa na akili fupi. Idadi kubwa ya waliouwawa ni wanawake na watoto.

Halafu hilo ni kundi maalumu kwenye vita linalindwa kwakuwa wenyewe wako weak tofauti na wanaume.

Uwe unaelewa mambo.
Uwe unaelewa Hamas ni Magaidi wanawafanya wanawake na watoto kama Kinga yao na ndiyo maana wanapiga kelele sana. Ki kawaida wanawake na watoto wakati wa vita huwekwa mbali lakini kwa Hamas kwao ni mtaji wa kupata huruma kutoka ujmują za Kimataifa.
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…