Duu kwa kiongoz yupi uko Israel mwenye uwezo wa kutwaa eneo zaid ikiwa Gaza tu washazika Waisrael zaid ya 10000!!! Na bado wanaendelea kuzika.waje kuchukua ziwa lote, ili kuwe na ***** ***** watupige wamuondoe na ntu madarakani hata kesho
Duu kwa kiongoz yupi uko Israel mwenye uwezo wa kutwaa eneo zaid ikiwa Gaza tu washazika Waisrael zaid ya 10000!!! Na bado wanaendelea kuzika.waje kuchukua ziwa lote, ili kuwe na ***** ***** watupige wamuondoe na ntu madarakani hata kesho
Akili za waislamu ni upumbavu mkubwa sana 💩💩💩Bila shaka sasa siyo siri, Israel imeonyesha kwa vitendo na maneno kuwa Inataka ile kitu inayoitwa "Greater Israel".
Hilo lilithibitishwa na Bwana Benjamin Netanyahu wakati akihojiwa na mbunge wa zamani ktk bunge la Israel bwana Gal. Netanyahu aliulizwa kama anaamini katika Greater Israel akasema kuwa anaamini ktk hilo kwa nguvu zote.
Greater Israel inasemwa kuwa ni nchi ya ahadi ambayo Mungu alimuahidi Ibrahim na uzao wake, na mipaka yake ni kuanzia mto Nile wa Misri hadi mto Euphrates wa Iraq. Miongoni mwa maeneo ya leo yanayoangukia ktk ardhi hiyo ni Lebanon, sehemu kubwa ya Syria, Saudi Arabia na hata baadhi ya maeneo ya Iraq.
Sasa sisi Tanzania na East Afrika tutaathirika vipi?. Bika shaka Myahudi hawezi kumiliki.mto Nile halafu akatuachia uhuru wa kucontrol ziwa victoria.
Halafu andiko linasema kuwa nchi ya ahadi inaanzia mto wa Egypt, hata hivyo mto wa Egypt tunajua una vyanzo viwili, yaani Ethiopia na Ziwa victoria. Je hii haiwezi kuja kuwa excuse ya kudai eneo lote kuanzia ziwa victoria na ethiopia kuelekea east?.
Yetu macho.
ni wazo kama wazo ni ndoto kama ndoto kwadunia yasasa jambo ilo litabaki kwenye ndoto na history yakuwa kuna mpango kama uwo.Bila shaka sasa siyo siri, Israel imeonyesha kwa vitendo na maneno kuwa Inataka ile kitu inayoitwa "Greater Israel".
Hilo lilithibitishwa na Bwana Benjamin Netanyahu wakati akihojiwa na mbunge wa zamani ktk bunge la Israel bwana Gal. Netanyahu aliulizwa kama anaamini katika Greater Israel akasema kuwa anaamini ktk hilo kwa nguvu zote.
Greater Israel inasemwa kuwa ni nchi ya ahadi ambayo Mungu alimuahidi Ibrahim na uzao wake, na mipaka yake ni kuanzia mto Nile wa Misri hadi mto Euphrates wa Iraq. Miongoni mwa maeneo ya leo yanayoangukia ktk ardhi hiyo ni Lebanon, sehemu kubwa ya Syria, Saudi Arabia na hata baadhi ya maeneo ya Iraq.
Sasa sisi Tanzania na East Afrika tutaathirika vipi?. Bika shaka Myahudi hawezi kumiliki.mto Nile halafu akatuachia uhuru wa kucontrol ziwa victoria.
Halafu andiko linasema kuwa nchi ya ahadi inaanzia mto wa Egypt, hata hivyo mto wa Egypt tunajua una vyanzo viwili, yaani Ethiopia na Ziwa victoria. Je hii haiwezi kuja kuwa excuse ya kudai eneo lote kuanzia ziwa victoria na ethiopia kuelekea east?.
Yetu macho.
Kama familia moja tu tena ya weusi wenzetu Baba Mke na mwana inachezea nchi nzima iweje Israel ishindweRaia wengi wa Tanzania, Kenya na Uganda ni kondoo walioko tayari kufanywa chochote na wayahudi,
Kilichotokea Vietnam miaka ile alipopigana na US kilikuwa ni somo kubwa sana la kivita kwamba kwanza usipende kupigana vita na usie mjua. Si kila mtu anavamiwa. Pili, usimdharau uliyemzidi uwezo wa kiuchumi na technology anaweza kukuzidi kwa mbinu tu za kawaida na akakuangusha kirahisi.Wewe una uwezo wa kuzuia F-35 za Yahudi?
Akija Full force anakapiga ka Dar es salaam kanageuka kama Gaza.
Kambi zote za Jeshi ambazo ziko open anavuruga zote kutoka angani!
Kilichotokea Vietnam miaka ile alipopigana na US kilikuwa ni somo kubwa sana la kivita kwamba kwanza usipende kupigana vita na usie mjua. Si kila mtu anavamiwa. Pili, usimdharau uliyemzidi uwezo wa kiuchumi na technology anaweza kukuzidi kwa mbinu tu za kawaida na akakuangusha kirahisi.
Sasa usituchukulie poa taifa la Tanzania
Waje tu kwa vile ni wana wa mungu waje wachukue kila wanachotaka sisi tutakufa haina shida kwa vile ni israelSasa walokole wabongo wakiambiwa nchi ya ahadi inaanzia mto nile si wataweka silaha chini?
Moyo wa simba huwa unatengenezwa nyumbani baba akikaa na kijana wake jioni wakati wanapeana madini.Wavietnman wana moyo wa Simba, wameshawahi kuwatwanga wafaransa kwenye vita ya uhuru, wakawatwanga wamarekani na baadae wakazichapa na wachina.
Sisi tuna mioyo ya mbuzi, akitokea fisi tu kila mmoja mbio na lwake.
Mimi sijatoa iyo suggestion, ila nime mjibu huyo Mja aliyesema wazayuni watakiwasha kulitaka ziwa Victoria nami nikasema walokole ndio watakapo tusaliti hakuna muislamu atakae mkimbia Myahudi aliekuja mwenyewe kutuletea ugomvi...Sasa hapo shida Iko wapi? Halafu umaskini au utajiri hausiani na Akili, wapo watu ni maintelligent kweli kweli lakini ni maskini na wengine Bure kabisa lakini matajiri...Mimi sina safari ndefu lakini Kama ni utajiri hio nchi ya TZ ninaweza kufuta umaskini ndani ya miaka mi 5 tu Kwa mapenzi ya Mwenyezi Mungu, Tena Kwa hivyo ilivyo na utulivu ni very simpo huwa nawasikitikia Sana viongozi wetu na wananchi am very sad!Tofauti ya masikini na tajiri ni kichwani, wakati tajiri akitumia kichwa kubuni miradi mipya, kulinda uwekezaji wake na kutengeneza kizazi cha kuendeleza huo hizo investments, masikini anasubiri Israel waje kulichukua ziwa Victoria apigane! Uma safari mdefu mno ustaadhi.
Hivi unategemea kikiwaka wale wanaoweka bendera ya Israel kanisani hawatatuchoma kweli? Think bigUzi wako unahusu walokole au ziwa Victoria na Israel mbona hueleweki mkuu ?
Punguza hisia za ajabu
Mwambie Egypt abebe ziwa lake, sisi tuna matumizi napo hapo lilipo.Egypt TU anawapiga biti kila siku kua hamna mwenye ruhusa ya kutumia lile ziwa kiholela, nyie mnaweza kweli kudili na mjalana yule akishusha mabomu mawaili walokole wanasema bwana kaja kuwanyenyua, tutakae dili nae ni sisi Waislam msipate shaka lazima nishike kitengo wakijileta ila najua walokole watawaunga mikono Wale wajaalana na kuisaliti Tz hivyo hio vita itakua ngumu kweli.
Naunga mkonoShida ya watanzania kwasasa ukilinganisha na wale wa enzi za mkoloni ni udhaifu na kuwa wazembe kulikopitiliza.
Sasa ziwa lipo kwetu wakuja kutupangia masharti ni nani miaka hii ya ukweli na uwazi?
Vijana wa sasa siji Ari ya kizalendo mlipoteza wakati gani? Ni waoga,hamna matumaini,hamjiamini,hamna mbinu,mnahisi kutetewa ni muhimu zaidi kuliko kujitetea, mnataka kupewa solution ya kila kitu no wonder tatizo la ajira limeanza na kizazi hiki cha washamba wa maisha na ujinga wa kujitambua.
Anyways,kujifunza ni muhimu zaidi katika maisha cha muhimu ni kuwa na maarifa. Mifumo iliyopo haitu accommodate kama vijana katika kuwa imara. Tunatakiwa kujiweka imara wenyewe bila kushinikizwa wala kupangwa.
Someni stori za zamani za namna vijana wa nyakati hizo walivyokuwa na maamuzi magumu na ya kujitoa. Tazama namna waliyatazama maisha kama movie na kuhakikisha wanatengeneza the best movie itakayouza miaka yote.
Ni kizazi hiki tu mnafuatilia mpira kuliko siasa hamjui kuwa haya mamipira ni distractions imagine una misimu ya UEFA,CAF, NBC legue, haujaja,CAF na kombe la Dunia. Haya makitu ni throughout the years yanajirudia. Kila unapokaa chini unapoteza dakika 90 za maisha for something unproductive, ni bora hata anae tazama series na movie at least anashape akili yake kimaisha kama anatazama movie zenye maudhui ya uhalisia.
Someni vitabu vyenye maarifa ili muwe na vichwa nyenye ufahamu,huko mtandaoni kuna library ya ufahamu wa kila kitu. Why mnakuwa wajinga kiasi hiki?
Sasa tuogope Israel kuchukua Ziwa kwasababu yeye ni nani,taifa teule la MUNGU?😂 Takataka.
Vijana hebu tubadilike, inchi ya maendeleo haijengwi na wapumbavu katika mfumo wa ujinga.
Jamaa anawadanganya wenzake na wanamsapotiAkili za waislamu ni upumbavu mkubwa sana 💩💩💩
Waislamu akili hamna kabisa ,unaongea kwa hisia na mihemko ,kwanza Great Israel,Raman yake ipo tayari na wala haihusiani na ziwa Victoria,kwanini unapandikiza chuki ?Mimi sijatoa iyo suggestion, ila nime mjibu huyo Mja aliyesema wazayuni watakiwasha kulitaka ziwa Victoria nami nikasema walokole ndio watakapo tusaliti hakuna muislamu atakae mkimbia Myahudi aliekuja mwenyewe kutuletea ugomvi...Sasa hapo shida Iko wapi? Halafu umaskini au utajiri hausiani na Akili, wapo watu ni maintelligent kweli kweli lakini ni maskini na wengine Bure kabisa lakini matajiri...Mimi sina safari ndefu lakini Kama ni utajiri hio nchi ya TZ ninaweza kufuta umaskini ndani ya miaka mi 5 tu Kwa mapenzi ya Mwenyezi Mungu, Tena Kwa hivyo ilivyo na utulivu ni very simpo huwa nawasikitikia Sana viongozi wetu na wananchi am very sad!
Wew tunajua ni taifa teule bongo bahati mbayaWaislamu akili hamna kabisa ,unaongea kwa hisia na mihemko ,kwanza Great Israel,Raman yake ipo tayari na wala haihusiani na ziwa Victoria,kwanini unapandikiza chuki ?
Unasema waislamu mtapigana na muisrael 😂😂
Mbona kule Gaza wanapigwa hujaenda kuwasaidia ,sio wewe wala mabwana zako Saudia Arabia,Jordan wala misri ,tena Misri wameweka na ukuta wa umeme hawataki shobo yoyote .
Washindwe mabwana zako Saudia Arabia wanaokuletea Nyama na Tende ,wewe mla miguu ya kuku ndio unasema mtapigana na muisrael 😂
Yaan wewe muislamu wa kiembe samaki upigane na waisrael?🤣🤣Wew tunajua ni taifa teule bongo bahati mbaya