Israel ikifanikiwa katika mpango wake wa Greater Israel Watanzania tujiandae kupoteza Ziwa Victoria

Israel ikifanikiwa katika mpango wake wa Greater Israel Watanzania tujiandae kupoteza Ziwa Victoria

Bila shaka sasa siyo siri, Israel imeonyesha kwa vitendo na maneno kuwa Inataka ile kitu inayoitwa "Greater Israel".

Hilo lilithibitishwa na Bwana Benjamin Netanyahu wakati akihojiwa na mbunge wa zamani ktk bunge la Israel bwana Gal. Netanyahu aliulizwa kama anaamini katika Greater Israel akasema kuwa anaamini ktk hilo kwa nguvu zote.

Greater Israel inasemwa kuwa ni nchi ya ahadi ambayo Mungu alimuahidi Ibrahim na uzao wake, na mipaka yake ni kuanzia mto Nile wa Misri hadi mto Euphrates wa Iraq. Miongoni mwa maeneo ya leo yanayoangukia ktk ardhi hiyo ni Lebanon, sehemu kubwa ya Syria, Saudi Arabia na hata baadhi ya maeneo ya Iraq.

Sasa sisi Tanzania na East Afrika tutaathirika vipi?. Bika shaka Myahudi hawezi kumiliki.mto Nile halafu akatuachia uhuru wa kucontrol ziwa victoria.

Halafu andiko linasema kuwa nchi ya ahadi inaanzia mto wa Egypt, hata hivyo mto wa Egypt tunajua una vyanzo viwili, yaani Ethiopia na Ziwa victoria. Je hii haiwezi kuja kuwa excuse ya kudai eneo lote kuanzia ziwa victoria na ethiopia kuelekea east?.

Yetu macho.
Nimemkumbuka Lowasa
 
natamani hili litokee, ili nione hawa wayahudi wa Kakonko watasemaje!! Watawapinga au watawasujudia hadi wawape wake zao kabisa!!
 
Kwanza wamalize Gaza mtu kashakwama kwenye mchanga ndio ataweza kupita kwenye tope iyo ndoto watakufa nayo lkn sio kwa Mwarabu hakuna eneo hakuna nchi itakufa kwaajili ya Israel Palestine yenyewe itakuwepo milele.
 
Wachukue ziwa Victoria?
Halafu hapa jangwani makao makuu tule nini?
Oyaa acheni kuongea kirahisi hivo, ziwa Victoria kuna dagaa wetu wa bei chee mule ujue, sie twala na maji ya magadi twagugumia ngudyu!.
Uuuh! waambie wapunguze speed, Patachimbika.
Nitavua shati sasa hivi.
 
Bila shaka sasa siyo siri, Israel imeonyesha kwa vitendo na maneno kuwa Inataka ile kitu inayoitwa "Greater Israel".

Hilo lilithibitishwa na Bwana Benjamin Netanyahu wakati akihojiwa na mbunge wa zamani ktk bunge la Israel bwana Gal. Netanyahu aliulizwa kama anaamini katika Greater Israel akasema kuwa anaamini ktk hilo kwa nguvu zote.

Greater Israel inasemwa kuwa ni nchi ya ahadi ambayo Mungu alimuahidi Ibrahim na uzao wake, na mipaka yake ni kuanzia mto Nile wa Misri hadi mto Euphrates wa Iraq. Miongoni mwa maeneo ya leo yanayoangukia ktk ardhi hiyo ni Lebanon, sehemu kubwa ya Syria, Saudi Arabia na hata baadhi ya maeneo ya Iraq.

Sasa sisi Tanzania na East Afrika tutaathirika vipi?. Bika shaka Myahudi hawezi kumiliki.mto Nile halafu akatuachia uhuru wa kucontrol ziwa victoria.

Halafu andiko linasema kuwa nchi ya ahadi inaanzia mto wa Egypt, hata hivyo mto wa Egypt tunajua una vyanzo viwili, yaani Ethiopia na Ziwa victoria. Je hii haiwezi kuja kuwa excuse ya kudai eneo lote kuanzia ziwa victoria na ethiopia kuelekea east?.

Yetu macho.
Mitazamo unatoa wewe alafu mwisho unatuuliza sisi.

😂
 
N
Raia wengi wa Tanzania, Kenya na Uganda ni kondoo walioko tayari kufanywa chochote na wayahudi, hivyo ikitokea hivyo hakutokua na upinzani wowote... Leo hii kina Mbaga Jr MK254 echolima, Yoda nk hata wakiambiwa na myahudi wainame wasokomezwe wanainama chapu na samahani za kutosha 😄😄😄
Na umelewa kweli kweli,
 
Kwahiyo sisi Wakazi wa Nansio hapa Ukerewe ndiyo tutapewa Uraia wa Israel sio?

Mambo yakiwa hivyo, kama nawaona Wazaramo wa DSM nao watakavyojifanya ni Wakerewe 😅
 
Mimi naona sio Victoria tu, Tanzania yote waichukue tu mbona tunatekana tu
 
Maandiko lazima yatimie kama ILIVYOANDIKWA! Hatutakuwa na cha kufanya bali kufuata maelekezo kutoka Jerusalem!
Nachojiuliza katika mkakati huo,Israel itafukuza au kuwaua Waarabu wote wanaokaa maeneo hayo?
 
1000101795.jpg
 
Pamoja na kuwa umelalia zaidi kibibia hasa agano la kale. Hata hivyo andiko lako linafikirisha japo uwezekano wa kutokea hiyo ni asilimia 00.5% na sio karne wala millennium hii. So far ahadi za Mungu ni timilifu muda wote.

Lakini pia sisi Afrika tukumbuke kuwa hatuna uwezo wa kuzuia kile Mtu mweupe anachotupangia. Yaani hata leo hii mataifa ya wazungu wakae na kuamua lolote linalohusu Tanzania hakuna wa kuzuia.
 
Shida ya watanzania kwasasa ukilinganisha na wale wa enzi za mkoloni ni udhaifu na kuwa wazembe kulikopitiliza.

Sasa ziwa lipo kwetu wakuja kutupangia masharti ni nani miaka hii ya ukweli na uwazi?

Vijana wa sasa siji Ari ya kizalendo mlipoteza wakati gani? Ni waoga,hamna matumaini,hamjiamini,hamna mbinu,mnahisi kutetewa ni muhimu zaidi kuliko kujitetea, mnataka kupewa solution ya kila kitu no wonder tatizo la ajira limeanza na kizazi hiki cha washamba wa maisha na ujinga wa kujitambua.

Anyways,kujifunza ni muhimu zaidi katika maisha cha muhimu ni kuwa na maarifa. Mifumo iliyopo haitu accommodate kama vijana katika kuwa imara. Tunatakiwa kujiweka imara wenyewe bila kushinikizwa wala kupangwa.

Someni stori za zamani za namna vijana wa nyakati hizo walivyokuwa na maamuzi magumu na ya kujitoa. Tazama namna waliyatazama maisha kama movie na kuhakikisha wanatengeneza the best movie itakayouza miaka yote.

Ni kizazi hiki tu mnafuatilia mpira kuliko siasa hamjui kuwa haya mamipira ni distractions imagine una misimu ya UEFA,CAF, NBC legue, haujaja,CAF na kombe la Dunia. Haya makitu ni throughout the years yanajirudia. Kila unapokaa chini unapoteza dakika 90 za maisha for something unproductive, ni bora hata anae tazama series na movie at least anashape akili yake kimaisha kama anatazama movie zenye maudhui ya uhalisia.

Someni vitabu vyenye maarifa ili muwe na vichwa nyenye ufahamu,huko mtandaoni kuna library ya ufahamu wa kila kitu. Why mnakuwa wajinga kiasi hiki?

Sasa tuogope Israel kuchukua Ziwa kwasababu yeye ni nani,taifa teule la MUNGU?😂 Takataka.

Vijana hebu tubadilike, inchi ya maendeleo haijengwi na wapumbavu katika mfumo wa ujinga.
Umejiliza tu na hakuna la maana uliloliandika hapa.
 
Back
Top Bottom