Israel ikifanikiwa katika mpango wake wa Greater Israel Watanzania tujiandae kupoteza Ziwa Victoria

Israel ikifanikiwa katika mpango wake wa Greater Israel Watanzania tujiandae kupoteza Ziwa Victoria

Ni soma uzi wako mwisho nikakuona wewe ni yule Tlaatlaah na Lucas Mwashambwa au chiembe
IMG_2194.jpeg
 
Shida ya watanzania kwasasa ukilinganisha na wale wa enzi za mkoloni ni udhaifu na kuwa wazembe kulikopitiliza.

Sasa ziwa lipo kwetu wakuja kutupangia masharti ni nani miaka hii ya ukweli na uwazi?

Vijana wa sasa siji Ari ya kizalendo mlipoteza wakati gani? Ni waoga,hamna matumaini,hamjiamini,hamna mbinu,mnahisi kutetewa ni muhimu zaidi kuliko kujitetea, mnataka kupewa solution ya kila kitu no wonder tatizo la ajira limeanza na kizazi hiki cha washamba wa maisha na ujinga wa kujitambua.

Anyways,kujifunza ni muhimu zaidi katika maisha cha muhimu ni kuwa na maarifa. Mifumo iliyopo haitu accommodate kama vijana katika kuwa imara. Tunatakiwa kujiweka imara wenyewe bila kushinikizwa wala kupangwa.

Someni stori za zamani za namna vijana wa nyakati hizo walivyokuwa na maamuzi magumu na ya kujitoa. Tazama namna waliyatazama maisha kama movie na kuhakikisha wanatengeneza the best movie itakayouza miaka yote.

Ni kizazi hiki tu mnafuatilia mpira kuliko siasa hamjui kuwa haya mamipira ni distractions imagine una misimu ya UEFA,CAF, NBC legue, haujaja,CAF na kombe la Dunia. Haya makitu ni throughout the years yanajirudia. Kila unapokaa chini unapoteza dakika 90 za maisha for something unproductive, ni bora hata anae tazama series na movie at least anashape akili yake kimaisha kama anatazama movie zenye maudhui ya uhalisia.

Someni vitabu vyenye maarifa ili muwe na vichwa nyenye ufahamu,huko mtandaoni kuna library ya ufahamu wa kila kitu. Why mnakuwa wajinga kiasi hiki?

Sasa tuogope Israel kuchukua Ziwa kwasababu yeye ni nani,taifa teule la MUNGU?😂 Takataka.

Vijana hebu tubadilike, inchi ya maendeleo haijengwi na wapumbavu katika mfumo wa ujinga.
Uko sahihi sana mkuu ameandika andiko zuri na la msingi sana lakini tatizo liko sehemu Moja...

Hao vijana wachache wanaojitambua ulio wataja katika maelezo yako hatuoni mchango wao Wa Moja Kwa Moja angalau waamshe Hawa wengi waliolala wengi tunaishia hapa kwenye mitandao Tena Kwa kujificha kama huku jamii forum hata you tube tu hatuna ujasiri wa kuweka bandiko lolote labda uwe nje ya nchi .... Hii kitu inawapa nguvu kubwa sana watawala na wanazidi kufanya wanavyotaka
 
View attachment 3447710
Angalia akili za wakristo hizo.
Hiyo mbona ni fundisho la yesu kuwa alikufa kwa ajili ya Israeli...tatizo lako wewe ujui neno Israeli lilitoka wapi na maana yake ni nini kuletwa jina Israeli....Mudi boy kasema Israeli ni malaika mtoa roho na waislamu wapumbavu mkamwamini bila ya kujiuliza kwanini mungu alimpa Yakobo jina JIPYA LA ISRAELI HIVYO JINA ISRAELI SIYO NCHI WALA KABILA WALA TAIFA FULANI NI JINA TAKATIFU KUTOKA KWA MUNGU KWA AJILI YA WATEULE WAKE KOTE ULIMWENGUNI ..kama unabisha kasome jina Israeli limetokea wapi ? Ni kabila fulani ? au ni nchi fulani duniani ?....swali lenye hekima je kwa nini mudi boy analiusisha jina Israeli kama jambo baya malaika mtoa roho ?jibu linaparikana agano la kala kwenye torati Mungu akasema 👉 patakuwa na vita baina ya uzao wa shetani na uzao wa watakatifu ...uzao wa shetani utawapiga watakatifu visigino na uzao wa watakatifu utawapiga vichwa uzao wa shetani .....hivyo muhammad kusema jina Israeli ni malaika mtoa roho ni kweli ni kwasababu ndiyo tendo la WATEULE (ISRAEL) kumpiga shetani kichwani
 
Pamoja na kuwa umelalia zaidi kibibia hasa agano la kale. Hata hivyo andiko lako linafikirisha japo uwezekano wa kutokea hiyo ni asilimia 00.5% na sio karne wala millennium hii. So far ahadi za Mungu ni timilifu muda wote.

Lakini pia sisi Afrika tukumbuke kuwa hatuna uwezo wa kuzuia kile Mtu mweupe anachotupangia. Yaani hata leo hii mataifa ya wazungu wakae na kuamua lolote linalohusu Tanzania hakuna wa kuzuia.
Unaropoka.
Kipindi cha Magufuli mambo mengi Tanzania ilizuia ya Marekani na Ulaya.
Kiasi kutishia kuondoa misaada ya kifedha kwetu.
Nchi yeyote ile inahitaji kiongozi mwenye misimamo asiyetetereshwa basi.
Maana atakachotunyima mzungu basi mchina au mrusi anaweza kutugaia.
 
Tutaomba wasichukue ziwa pekee yake, wachukue na nchi kabisa, lakini wasitufukuze. Watu wataishi maisha bora zaidi, na maendeleo yatakuwa makubwa sana eneo lote. Fikiria nchini Israel wafanyakazi wa mashambani wanalipwa dola 4,000 (TZS10,000,000) kwa mwezi.
 
Mwisho umedanganya.

Kama Misri haimo kwenye mpango wao,

Why Nile river?

Wacha Israel isonge mbele.
 
Back
Top Bottom