Israel imeipiga Gaza kwa makombora yenye uzito mara 3 ya ule wa kombora la nuke lililopigwa pale Hiroshima

Israel imeipiga Gaza kwa makombora yenye uzito mara 3 ya ule wa kombora la nuke lililopigwa pale Hiroshima

Israel ndo nchi pekee duniani ambayo haijawahi kupandisha bendera nyeupe vitani . Wala kuomba mazungumzo ya kusitisha vita.
Israeli wanakupiga jinsi unavyo kuja. Ukija kigaidi unapigwa kigaidi ukija kijeshi unapigwa kijeshi.
Uzur israel ikimalizana na wewe hutakaa maishani mwako mwote urudie kutangaza vita na israel.

Wote walio wahi kupigwa na israel hawajawh rudia.

Kunawatu wanajua kupiga nyie.
2006 kwa nini walikubali matakwa ya Hamas kubadilishana wafungwa baada ya kichapo heavy duty?

Unazungumzia Taifa limeanzishwa mwaka 1945, wanaojua vita ni nchi kama Russia, US, Germany, Japan n.k unapigwa mpaka askari wako wanaisha, ww2 ilikuwa ni vita mbaya kuwahi kutokea ili kusudi mmoja akubali kashindwa lazima uchapike hadi askari wako washindwe kuhimili mapigo na silaha ziishe.

Unakuta wilaya nzima ni maiti tupu acha kabisa.

Hao Israel kipindi hiko Hitler anawaua kikatili hata pa kuishi hawana, ndio wanaanza kupatiwa kaeneo kwa huruma kubwa lakini pasipo wanaume kupambana hao wangekuwa wamefutika chini ya Hitler.

Israel bado haijapigana vita. Usiwaone waJapan ni wakarimu kiasi kile wanajua vita ni nini.
 
Iraq ilisaidiwa na United States, the United Kingdom, the Soviet Union, France, Italy, Yugoslavia, na nchi nyingine nyingi za kiarabu. Hio ni kama kinachoendelea pale Russia, na ikumbukwe kipindi hiko jamaa wapo kwenye vikwazo na ndege zake hazikuwa na service pia kuharibiwa na engineers kitoka West. Hivyo Iran ilikuwa ni kama inapambana na dunia akwa miaka 8 hadi Sadam akapewa silaha za sumu kuangamiza Iran lakini hakuna hata mita 2 jeshi la Iran kurudishwa nyuma mpakani.

HAlafu kuna myahudi mmoja ameshiba futari ya kualikwa anakuja kubwabwaja uongo aliohadithiwa primary school.
Myahudi mmoja anakerwa na mwarabu mmoja,acha utumwa.
 
Ndio mzee, kwa bombs walizoteremsha pale Gaza ni sawa na nuke tatu za aina ile ya Hiroshima zishuke pale Gaza.

Mzee watu 33000 kupoteza maisha unafikiri ni mchezo? Ngoja niandike kwa maneno elfu thelathini na tatu.. hizo sio mbuzi ni watu mzee, mauaji ya kutisha mzee.
Wakati hamas wanaanzisha fujo hawakufikiria hayo kutokea?Kwa hiyo walifikiri waliowalenga wangewapongeza?Vita ina ujinga mmoja.Wakipigwa wapendwa wako ndiyo adui yako hufarijika.Piga panapouma.
 
Wakati hamas wanaanzisha fujo hawakufikiria hayo kutokea?Kwa hiyo walifikiri waliowalenga wangewapongeza?Vita ina ujinga mmoja.Wakipigwa wapendwa wako ndiyo adui yako hufarijika.Piga panapouma.
Israel ndiye ilianza kukamata raia wa Palestine hovyo kuwaua na kawafunga, kukataa wasitambulike kama taifa kuwapokonya ardhi yao kimabavu na kila aina ya ukatili na ubabe.
Shida zote hizo kaanzisha Israel.
 
Ndio mzee, kwa bombs walizoteremsha pale Gaza ni sawa na nuke tatu za aina ile ya Hiroshima zishuke pale Gaza.

Mzee watu 33000 kupoteza maisha unafikiri ni mchezo? Ngoja niandike kwa maneno elfu thelathini na tatu.. hizo sio mbuzi ni watu mzee, mauaji ya kutisha mzee.
Lini nuke ilipigwa Hiroshima?
 
Watakuambia Israel ndo taifa hatari na teule wajinga hawa[emoji1787]
Mutume wako na ala wako wanawajua vzr mayahudi ndio mana kitabu kizima wanawalaani wayahudi mana waliwapa kipigo kikali hadi leo vitukuu mmerithiswa uadui na wayahudi,tulie myahudi ndio baba wa vita,magaidi mna poleni sana
 
Ukielezea kuhusu Israel utasikia kila mtu akizungumzia six days war, operation Entebbe na covert operation ambazo walifanya pale middle east.

Watu inabidi waelewe hizo story zilipendwa, ni kama miaka ile wazee wetu wanakuambia Peugeot 504 ni gari inakimbia sana, au 90's tunasikia Land Cruiser 70 series zinakimbia balaa kwamba zilikatazwa hata kupaki benki[emoji1787][emoji23], sasa kuna watu bado wakiziona 504 au LC mkonge wanajua zinakimbia kuliko gari zote hadi leo, sasa hizi ndizo akili za vijana wengi waliorithi story za six days war na operation entebbe wakisimuliwa na wazee wao pamoja na sunday school au makanisani.

Leo hii hizo Peugeot na LC 70 series huwezi linganisha na gari za kisasa, hivyo mambo yanabadilika.


Story walizohadithiwa vijana wa huku ndizo hizo vijana wa kiyahudi huzisikia na kujikuta ni very special lakini hawajui mambo yamebadilika.



Six days war Israel ilishinda kwanza ilipata intel nzuri kwa kufahamu assets za maadui zake na silaha mahala zilipo, ikarusha fighter jets kupiga silaha, airports vituo vya mawasiliano, running way na sehemu zote za kimkakati hivyo adui wakawa hawana janja tena.
Ndio maana ilichukua siku sita tu, Israel kuwa na air superiority ilikuwa advantage kubwa kwao.


Mtindo huo wa mapigano Israel kautumia tena 2006 dhidi ya Hezbollah na Israel ilikuwa surprised kwao jinsi walifeli vibaya, kwani intel waliyoifanya kwa miaka 6 kuhusu silaha za Hezbollah zilipo hazikuwepo hivyo walishambulia maeneo tupu, walipiga shule, sehemu za mawasiliano n.k pale Lebanon yaani kama kawaida yao , vita ilichukua mwezi mmoja sio siku sita tena alipopambana na Egypt, Syria na Jordan ilikuwa 1967(six days war), Israel ikisaidiwa silaha na France.

2006 Kuna muda Israel ilishambulia kituo cha television Lebanon lakini baada ya muda mfupi tu kituo hiko kilirudi hewani, je tunajifunza nini hapa? Kwamba mbinu za miaka ile ya 60 haina nafasi tena kwa sasa.


Vita ya 2006 ilibidi US iingilie kati kuwakutanisha jamaa wasitishe vita, lakini Hezbollah walikuwa wamejipanga na walijifunza mbinu zote za adui hivyo Israel haikutegemea kakikundi kadogo ka migambo kama wawaitavyo kingemtoa jasho na kukubali kuingia mazungumzoni na kukubali matakwa ya Hezbollah kitu ambacho wachambuzi wanasema Israel ilikuwa defeated.


Juzi hapa Hamas kaanzisha tena pale Gaza, Israel kama kawaida karusha fighters kashambulia tones na tones za makombora kaua raia karibu 33000 wengi watoto na wanawake, lakini Hamas bado imo tu miezi sita sasa, sasa tumetoka kwenye six days sasa tumefikia 6 months war, na si nchi tatu tena kama 1967 kwenye 6 days war bali kikundi kinachokaa kwenye kasehemu kama wilaya kwenye nchi yako mwenyewe kanakushinda hadi raia wanaandamana.

Intel waliyokuwa nayo si sahihi, Hamas nao wamekuwa wajanja wanafahamu uwezo wa Israel na mbinu na wanajua Israel wanataka air superiority hivyo wanachimba mahandaki, Israel imepiga na kupiga toka Israel ianze vita na Palestine haijawahi kutumia nguvu kiasi hiki, pia ikimbukwe kwamba Israel imeteremsha zaidi ya tones 70,000 za bombs hapo Gaza ni mara tatu kwa uzito zaidi ya bomb la nuclear pale Hiroshima kwenye world war 2, nadhani ni kiasi kikubwa zaidi cha makombora kwa eneo dogo kama lile toka ww2.

Mambo yanabadilika sana, mbinu za kivita zinabadilika, mashine za kivita zinabadilika pia.

Hivyo Israel haina uwezo kukabiliana na taifa kama Iran, hio air superiority wanayotegemea haifanyi kazi tena, labda watumie infantry na hapo Israel sio wazuri kwani imeonekana wazi vijana wa Hamas wanavyowasumbua IDF kwenye mitaa ya Gaza. Ipo wazi hivi vikundi wafadhili na wanaowapatia mafunzo ni Iran. Na tusitegemee askari wa Israel watakutana na Iran kupambana mipakani kwani ipo wazi umbali uliopo kati ya Israel na Iran.

Hata Israel ikitumia fighters itawezaje kuzipeleka hadi Iran pasipo ku refuel angani au ardhini ambapo lazima atumie nchi kama Kuwait au Saudia au apite Syria na Iraq hadi Iran akifanya air refuel, hii pia ni hatari kwao kwa nchi yenye advanced tech kama Iran inateremsha stealth aircraft ya US hakika ni ngumu. Pia kutumia nchi yeyote pale middle East kama base hasa Saudia italeta ugomvi wa moja kwa moja na Iran, na hakuna nchi pale ipo tayari kwa hilo.

Option ya kutumia long range missile hapa Israel haitohimili mikito ya Iran ipo wazi.

Israel imekuwa na air superiority Lebanon 2006 na Gaza pia 2023 lakini haizai matunda

Ndugu zangu tuacheni story za 60's na 70's Israel hivi sasa ni nchi yenye uwezo wa kawaida kijeshi tena sana.


Ngoja niishie hapa kwa leo kwa maana nina mengi sana ya kuweka hapa siwezi maliza yote.
Upo sahihi
 
Magaidi yenu leo namba zinasoma 33,000 halafu Gaza pamefanywa majivu, wavaa dera/kanzu huwa mnachekesha sana.
Iran gaidi lenu kubwa ameshikwa hadi mapumbu ameshindwa cha kufanya...
 
Ukute hata historia ya Ukoo wenu huijui vizuri; ukijikagua vizuri utagundua ujuaji wako na kukumbatia utumbo ndo kunasababisha maisha yako yasiwe na mvuto kama kabeji za kulishia nguruwe..

Israel na Iran zimewatawala akili kiasi Cha kutia kinyaa, na hakuna lolote zaidi ni kukumbatia chuki za kidini kiasi Cha kumchukia Ndugu yako mtanzania Kwa kuendekeza uisrael na Uiran as if ndo miungu yenu. Brainwashed Mofoz.
Badala unishikuru nakutoa ujinga kichwani we unanitusi.
 
Back
Top Bottom