Gobole Lenye Risasi JF-Expert Member Joined Oct 31, 2014 Posts 11,519 Reaction score 23,693 Jun 13, 2025 #1 Huu ushahidi wa mwezi wa 4 Waziri akisema atakuja ponda ponda kichwa cha nyoka baada ya kumaliza vidagaa vyake.
Huu ushahidi wa mwezi wa 4 Waziri akisema atakuja ponda ponda kichwa cha nyoka baada ya kumaliza vidagaa vyake.
matunduizi JF-Expert Member Joined Aug 20, 2018 Posts 9,514 Reaction score 23,523 Jun 13, 2025 #2 Nani anayeisponsor Iran maana na yenyewe imefungiwa kiuchumi KWA vikwazo vingi
Khanji kapoor JF-Expert Member Joined Oct 19, 2024 Posts 3,861 Reaction score 9,909 Jun 13, 2025 #3 matunduizi said: Nani anayeisponsor Iran maana na yenyewe imefungiwa kiuchumi KWA vikwazo vingi Click to expand... Iran inafanya biashara kubwa ya mafuta na china Inasafirisha mafuta kwa utambulisho wa nchi nyingine
matunduizi said: Nani anayeisponsor Iran maana na yenyewe imefungiwa kiuchumi KWA vikwazo vingi Click to expand... Iran inafanya biashara kubwa ya mafuta na china Inasafirisha mafuta kwa utambulisho wa nchi nyingine