It's True.
Hamas is ideology not reality.
Ujinga ni kufanya maandamano yasiyokuwa na faida yeyote nakuambia amini hili, hakuna siku maandamano yatakuja kuleta mabadiliko ndani ya Gaza na kwa wapalestina.
Kuanzia Israel imeundwa hadi leo, ni adui wa middle east yote suala la Bahrain kuichukia ni kuendeleza tu kilichokuwepo.
Finally Yuo may have a good day a lying thief
View attachment 2988307
🙆🏿♂️🙆🏿♂️🙆🏿♂️🤣🤣🤣🤣You don't even know what is the meaning of ideology.
Ideology are the living thoughts into someone's mind or faith on which one day are to be emerging into actions.
Ideology eqauls to reality kijana.
Unaokoteza habari za waarabu wamoja wamoja!?
Ndio maana nilikwambia kafuatilie tokea 1946 ndio urudi hapa.
Wayahudi walikua wakikaa Jerusalem hata local authority leaders walikua haohao wayahudi hapo Jerusalem kipindi cha British Palestine Mandate.
1946 wayahudi wakataka kupindua serikali ya British Palestine Mandate ili watawale wao eneo lote.
Hilo ndio likazua utata.
Mwaka 1947 ili Palestine kupata uhuru mipaka ikachorwa Jerusalem ikiwa ndani ya mipaka ya Israel.
Ila kaunzia 1948 Israel ikaanza expansion na kuvamia hadi Syria na Egypt.
-Je Gollan heights ni Jerusalem?
-Je Sinai peninsula ni Jerusalem?
-Je Central Syria ni Jerusalem?
-Je Bint Juberi ni Jerusalem?
-Je GAZA NI JERUSALEM?
Embu nipe majibu kijana.
Kama Israel ilikua inataka Jerusalem peke yake kwanini akavamia na maeneo mengine nje ya Jerusalem ilhali toka 1947 Jerusalem ilikua ndani ya mipaka yake!?
Pia unaonekana wewe ni mbichi ama HUNA UNALOJUA kuhusu diplomasia/geopolitics.
Nchi kidiplomasia kuongeza maadui wa ukanda mmoja ama wanaoshea mipaka ni hatari kwa afya ya amani na utulivu wa kiuchumi wa taifa lako.
Nadhani ungekua unalielewa hili UNGEELEWA KWANINI RAIA WA ISRAEL WANAANDAMANA WAKIDAI WAMECHOKA VITA NA WAMECHOKA VITISHO VYA VILIO VYA VING'ORA(AIR SIRENS).
Israel haitokaa kwa amani mpaka dooms day kijana.
Maana ideology ya Hamas/anti-jewish state huishi mioyoni na akili mwa watu,miaka ijayo Israel kutarushwa maroketi na kuvamiwa tena na makombora kama October 7.
Usisahau Galilee Northern Israel with Lebanese border watu wamehama wameacha makazi,mashamba na biashara zao.
HAYA MAISHA YA INTERNAL EVACUATION IN ISRAEL NI MPAKA LINI!?
HIKI KITU RAIA WA ISRAEL WAMEKICHOKA.
Jaribu kuwa na akili we jamaa embu punguza umbumbumbu na weka ushabiki pembeni.
Aissshhhh unasikitisha sana.