Israel imeuchukua mpaka wa Rafah unaounganisha Misri na Gaza, Mizigo na watu kuvushwa chini ya uangalizi na idhini ya Israel

Mkuu kupandishwa bendera hata Lebanon zilipandishwa na kushushwa.
Hiko kitu common sana kutokea.
Hayo mapigano hayajaisha tupo hapa.
Pia ukae uelewe Hamas ni ideology huwezi ukaifuata/kuwafuta Palestina.
6a00d83451c45669e201310f934adf970c-550wi-1.jpeg

Hebu rudia kuangalia ramani halafu utafakari uweponwa hamas, gaza na Palestine kiujumla.

Halafu leta majibu
 
View attachment 2985662
Hebu rudia kuangalia ramani halafu utafakari uweponwa hamas, gaza na Palestine kiujumla.

Halafu leta majibu
Umeelewa nachokizungumza mkuu!?
Aya sawa toka hizo ramani kupungua je resistence against Israel ilipungua!?
Hamas iliundwa baada ya PLO kumalizwa nguvu.Hamas kabla ya 2004 haikuwepo.
Na sasa hivi Hamas ni ideology.
Hapo Rafah hakuna raia wa Israel ataenda kaa na ajenge.
Pia huwezi watawala watu wenye dhamiri/ideology ya kukupinga.
 
Kumbuka hayo maneno yako kwamba "hapo Rafah hakuna muIsrael atakaye jenga",.

Mimi niliifuatilia sana hii habari ya wapalestina kunyang'anywa mashamba yao ya mizabibu pia kufukuzwa kutoka kwenye makazi yao bila sababu, tena Aljazeera ilikuwa inaonesha jinsi askali wa ki Israel wanavyokuja kuwatimua kwa kutumia magari ya polisi wapalestina wanaondoka na matrekta yao huku wakilia, nikawa najiuliza why.?

Nilipokuja kuona hiyo resistance ya hamas nikasema wamewapalia wenzao kwani hiyo haikuwa mbinu ya kujitetea, rejea kuna baadhi ya wapalestina walikuwa wameajiliwa Israel ni bora wangelijivuta na kuzamia huko kuliko kujitenga na ku-support vita.
 
Kupokonywa mashamba kulianza August 2023 ndipo kulikopelekea October 7 mapigano kuzuka.
Maana mashamba yalipokonywa Jenin ni ya mabedui sambamba na kuvunjwa nyumba na kukamatwa kwa watoto sio chini ya 200.
Hapo ndio hamas october wakaona wafanye shambulizi.
Pia hao wafanyakazi wa KiPalestina ndani ya Israel wanapitia oppression na segregation nyingi sana.
Rafah pale sio sawa na Jenin.Kujenga Rafah ni sawa na kujiweka katikati ya adui na utambue Rafah iko sehemu ya Gaza.
Na Gaza ndio ideology ya Hamas iliyopo.
Israel labda wadhibiti mpaka wa Rafah ila sio kuwaweka jewish settlers wakae.
Hapo Rafah upande wa pili kuna Egypt,mwaka jana imeripotiwa askari wa Egypt kufanya ufyatuzi holela kwa askari wa Israel katika mpaka wa pili kati ya Israel na Egypt.
Na ufyatuaji wa mwisho uliacha kifo cha askari mmoja wa Egypt kwa askari watatu kama sio wanne wa Israel.
Pima ingekua wewe kiongozi ungepeleka raia wakae hapo!?
 
Mkuu kupandishwa bendera hata Lebanon zilipandishwa na kushushwa.
Hiko kitu common sana kutokea.
Hayo mapigano hayajaisha tupo hapa.
Pia ukae uelewe Hamas ni ideology huwezi ukaifuata/kuwafuta Palestina.
Kwahiyo HAMAS, Hizbulah n.k wana uwezo wa kuja kupambana tena kuichukua ardhi yao ya Gaza?
 
Hilo sijui mkuu.
Lolote laweza tokea,ila nachojua mimi ni kwamba kadri Israel anavyoleta ubabe Gaza ndio kadri escalation inazidi middle east.
Jana Yemen wameshambulia meli 2 zilizotaka kupita Redsea.
 
Hana uhakika na anachozungumza, huko kuruka ruka kwa hamas ni sawa na kuruka ruka kwa maharage ndani ya sufuri yawapo jikoni kwenye moto mkali,

Hamas imewasaidia Israel kumalizia ile hatua kubwa ya kuichukua gaza yote maana hawakuwa na sababu ya kuwafukuza na kuwahamisha wapalestina hadi pale vita ilipoanza.
 
Inabidi ujue.

Hakuna cha escalation or migration Israel imemaliza ilipokuwa imebakisha, Hakuna kikundi chochote kitaibuka tena kuwaongoza wapalestina, wameishawekwa mikononi mwa IDF.

Huko yemen napo inaongozwa na wanamgambo wa Huthi kama ilivyokuwa Gaza, nao wataondolea ili inchi iwe ya kidemokrasia siyo kiimla au kidikteta.
 
Aiseee unaongea nadharia badala ya uhalisia mkuu!?
Ukiwa unasema hivyo tambua kuwa Bahrain kuna kundi jipya la anti-semitism limeundwa.
Yani makundi yanaongezeka wewe unadai hakuna kundi la kuipigania Gaza.
Huko Israel hawezi ikalia hiyo Rafah na wayahudi hawawezi anzisha makazi hapo mzee.
Hapo IDF itafanya ku monitor tu huo mpaka kama ilivyofanya kabla ya 2005.
Leo Houthi wamefanya tena mashambulizi dhidi ya Panama Flaged cargo ships.
Houthi ni kundi linalopendwa na 99% na raia wa Yemen ndio maana hata kuanzia 2014 mpaka 2021 USA na Saudi Arabia walishindwa kuwadhibiti Houthi kwasababu ya sapoti ya raia kwao.
We kaa jidanganye hapo.
Ila uhalisia haupo kama usemavyo.
 
Wewe ndiye unaongelea nadharia, yaani wapalestina hadi sasa hivi tunavyochati wapo nje wanateseka kwa kulala kwenye mahema na kukosa huduma muhimu za kijamii halafu unasema kitakacho waokoa ni kuundwa kwa makundi nje ya gaza (vitani) kuwatetea 🤔🤔🤔

Aisee hivi upo serious kweli, kwani hayo makundi hayakuona umuhimu wa Palestine hapo awali ilipokuwa bado na eneo kubwa ili waipatie title ya nchi? eti wamesubilia imemegwa hadi inaisha ndipo wanaunda vikundi kuikomboa, kama siyo unafiki ni nini?

Kifupi hakuna taifa la Palestine wala gaza "it's all over."
 
Hiyo ya vitu vinavyoibgia Ghaza mbona ni miaka yote, hakuna kinachoingia Ghaza bila idhini ya mazayuni, siyo jipya hilo.

Unafikiri mhanga waliojitoa Wapelestina tarehe 7 oktoba ulikuwa wa bure bure tu?
Shangazi upo
 
Wewe ndiye unaongelea nadharia, yaani wapalestina hadi sasa hivi tunavyochati wapo nje wanateseka kwa kulala kwenye mahema na kukosa huduma muhimu za kijamii halafu unasema kitakacho waokoa ni kuundwa kwa makundi nje ya gaza (vitani) kuwatetea 🤔🤔🤔

Aisee hivi upo serious kweli, kwani hayo makundi hayakuona umuhimu wa Palestine hapo awali ilipokuwa bado na eneo kubwa ili waipatie title ya nchi? eti wamesubilia imemegwa hadi inaisha ndipo wanaunda vikundi kuikomboa, kama siyo unafiki ni nini?

Kifupi hakuna taifa la Palestine wala gaza "it's all over."
Unaonekana hata uelewi mgogoro uliendaje na ukafikiaje hapa.
Pia ni mtu wa kuhama hama.
Nina kitu cha mwisho kukwambia,kwanza kafuatilie mzozo toka 1946 uelekeo wake ulikuaje mpaka kufika leo hii.
Pili WaPalestina ni asili sio tu taifa ukasema utawameza na ukaishi kwa amani and HAMAS IS IDEOLOGY IF NOT TODAY TOMORROW IT WILL EMERGE AND CREATE CHAOS.
Na kuwepo kwa makundi zaidi ya anti-semitism huvuruga amani kwa Israel.
Nadhani ungefuatilia maandamano ya mwanzo ya kumpinga Netanyahu raia wa Israel walikua wakishika mabango yasemayo"no more war,no winner in war,war costs everyone,we need peace".
Raia wa Israel wamechoka kukimbia mara huku mara kule,wamechoka kusikia ving'ora vya makombora mkuu.
Kamwe Israel haitopata wala kulala kwa amani kwasababu ukinzani middle east unazidi na raia wameshalichoka hilo.
Kipindi cha kiongozi wa mpito Yair Lapid Gaza na Israel walikaa kwa amani kiasi kuna wayahudi walijenga na kuwekeza biashara kubwa Gaza,kuingia tu Netanyahu vurugu zikaanza,unajua waliowekeza Gaza wale wayahudi walipata hasara kiasi gani!?
Toka october 7 mpaka sasa Galilee kaskazini mwa Israel kumehamwa raia wamepakimbia,unajua imewaathiri vipi!?
Nchi nyingi tokea tukio la october 7 zinajiegemeza Iran kiulinzi na kidiplomasia,unajua hilo linaashiria nini!?
Israel amezidi kujiundia maadui ambao ni jirani zake,hiyo Bahrain ilikua rafiki mkubwa wa USA na Israel leo hii inanyamazia kimya kuundwa kwa kundi la washika silaha na wakafanya direct rocket strike tokea Bahrain mpaka Eilat,ndio ujue Israel inazidi kujiundia mahasimu hivyo haitakaa kwa amani.
Na raia wa Israel wameshachoka kusikia milipuko na ving'ora wanataka amani.

Kama hutolielewa hili kaka basi itoshe kusema kaa na nadharia zako.
Kwa mimi nimemaliza mjadala.
 
It's True.

Hamas is ideology not reality.

Ujinga ni kufanya maandamano yasiyokuwa na faida yeyote nakuambia amini hili, hakuna siku maandamano yatakuja kuleta mabadiliko ndani ya Gaza na kwa wapalestina.

Kuanzia Israel imeundwa hadi leo, ni adui wa middle east yote suala la Bahrain kuichukia ni kuendeleza tu kilichokuwepo.

Finally Yuo may have a good day a lying thief
GJ8AsmFWsAESFev.jpg
 
Kwa lugha nyepesi ni kwamba misaada, watu na vinginevyo haviwezi kuingia moja kwa moja Gaza mpakani Rafah bila ukaguzi na idhini ya Israel.

View attachment 2983888

Jeshi la Israel limechukua udhibiti wa mpaka wa Rafah na Misri.

Jana usiku, kwa idhini ya Baraza la Vita, Netanyahu aliagiza ifanyike operesheni huko Rafah. Masaa machache baadaye, vikosi vya Israel viliwatimua Hamas na kufanikiwa kupandisha bendera za Israel na kuondoa bendera za Hamas.

Hapo awali, Israel iliwaonya Wapalestina kuondoka eneo hilo kwa sababu ya operesheni ya kijeshi inayokaribia.

Hali ilivyo sasa bendera za hamas zimeshushwa, zinapandishwa za Israel

View attachment 2983891

Hali ilivyo kwenye mitaa

View attachment 2983869

View attachment 2983885
Mbona wapalestina wa Sinza walisema Jeshi la Israel linapigwa vibaya sana huko Gaza. Hii hali ya sasa imekuwaje tena?
 
It's True.

Hamas is ideology not reality.

Ujinga ni kufanya maandamano yasiyokuwa na faida yeyote nakuambia amini hili, hakuna siku maandamano yatakuja kuleta mabadiliko ndani ya Gaza na kwa wapalestina.

Kuanzia Israel imeundwa hadi leo, ni adui wa middle east yote suala la Bahrain kuichukia ni kuendeleza tu kilichokuwepo.

Finally Yuo may have a good day a lying thiefView attachment 2988307
🙆🏿‍♂️🙆🏿‍♂️🙆🏿‍♂️🤣🤣🤣🤣You don't even know what is the meaning of ideology.
Ideology are the living thoughts into someone's mind or faith on which one day are to be emerging into actions.
Ideology eqauls to reality kijana.
Unaokoteza habari za waarabu wamoja wamoja!?
Ndio maana nilikwambia kafuatilie tokea 1946 ndio urudi hapa.
Wayahudi walikua wakikaa Jerusalem hata local authority leaders walikua haohao wayahudi hapo Jerusalem kipindi cha British Palestine Mandate.
1946 wayahudi wakataka kupindua serikali ya British Palestine Mandate ili watawale wao eneo lote.
Hilo ndio likazua utata.
Mwaka 1947 ili Palestine kupata uhuru mipaka ikachorwa Jerusalem ikiwa ndani ya mipaka ya Israel.
Ila kaunzia 1948 Israel ikaanza expansion na kuvamia hadi Syria na Egypt.
-Je Gollan heights ni Jerusalem?
-Je Sinai peninsula ni Jerusalem?
-Je Central Syria ni Jerusalem?
-Je Bint Juberi ni Jerusalem?
-Je GAZA NI JERUSALEM?
Embu nipe majibu kijana.
Kama Israel ilikua inataka Jerusalem peke yake kwanini akavamia na maeneo mengine nje ya Jerusalem ilhali toka 1947 Jerusalem ilikua ndani ya mipaka yake!?
Pia unaonekana wewe ni mbichi ama HUNA UNALOJUA kuhusu diplomasia/geopolitics.
Nchi kidiplomasia kuongeza maadui wa ukanda mmoja ama wanaoshea mipaka ni hatari kwa afya ya amani na utulivu wa kiuchumi wa taifa lako.
Nadhani ungekua unalielewa hili UNGEELEWA KWANINI RAIA WA ISRAEL WANAANDAMANA WAKIDAI WAMECHOKA VITA NA WAMECHOKA VITISHO VYA VILIO VYA VING'ORA(AIR SIRENS).
Israel haitokaa kwa amani mpaka dooms day kijana.
Maana ideology ya Hamas/anti-jewish state huishi mioyoni na akili mwa watu,miaka ijayo Israel kutarushwa maroketi na kuvamiwa tena na makombora kama October 7.
Usisahau Galilee Northern Israel with Lebanese border watu wamehama wameacha makazi,mashamba na biashara zao.
HAYA MAISHA YA INTERNAL EVACUATION IN ISRAEL NI MPAKA LINI!?
HIKI KITU RAIA WA ISRAEL WAMEKICHOKA.

Jaribu kuwa na akili we jamaa embu punguza umbumbumbu na weka ushabiki pembeni.
Aissshhhh unasikitisha sana.
 
Hana uhakika na anachozungumza, huko kuruka ruka kwa hamas ni sawa na kuruka ruka kwa maharage ndani ya sufuri yawapo jikoni kwenye moto mkali,

Hamas imewasaidia Israel kumalizia ile hatua kubwa ya kuichukua gaza yote maana hawakuwa na sababu ya kuwafukuza na kuwahamisha wapalestina hadi pale vita ilipoanza.
Unaonekana ni mbichi sana wa fikra kijana.
Embu ngojea nikutolee mfano,kufanya annexation ni jambo moja na kudumisha dominance of the annexed land ni jambo jingine.
Unaona vuguvugu linalotokea DR Congo M23 wakidai mashariki mwa Congo ni eneo lao na wanataka walikomboe walitawale wao!?
Sasa ule ndio mfano wa Gaza,Israel na Hamas.
Hata kama Israel itasema hili eneo ni la kwetu na likasimika bendera za Israel hapatotawalika kiamani.
Kila uchwao WaPalestina watalala wakiamka wakisema"ARHDI YETU IMETWALIWA/IMECHUKULIWA,IPO SIKU TUTAPAMBANA KUIKOMBOA TENA".
Inamaana siku hiyo ikitokea Israel itatakiwa kutoa tena kafara ya damu ya askari wake na maisha ya baadhi ya raia wake ili kulinda annexation ya Rafah/Gaza.
Sijui kama hili unalielewa!?
Ni sawa sawa na M23,walipigwa 2014 wakakimbia, 2018 onwards M23 wakaibuka tena na kuvamia Kivu na sehemu zingine.
Kuishikilia sehemu ni jambo jingine na kudumisha dominance ni jambo jingine.
Una ubichi sana katika masuala ya kidiplomasia.
Unajua kipi kilifanya Israel 1973 waipoteze Sinai kutoka Misri!!??
Unaweza kunijibu hili!?👆👆👆
 
Huyo alikuwa gaidi na alitolewa kwa maandamano ya fujo ya raia wake mwenyewe
 
October 7 ulikemea??

Mbona hukusema ni chuki??
Utaitaje chuki ilhali watu wa Gaza walikua wakijitetea kwa vurugu za wayahudi tokea Agosti za kuchomewa mashamba!?
Au wewe ulitaka WaPalestina wachomewe mashamba na wavunjiwe nyumba wakae tu kimya!?
 
Back
Top Bottom