Wairan wa Mbagala wanaamini hatima ya Israel anayo MarekaniIsrael si jimbo wala mkoa wa Marekani, na pia haipo kwenye muungano chini ya Marekani. Ni nchi mbili huru na zenye mamlaka kamili ya kujitawala, ambazo zina ushirikiano wa karibu lakini uhusiano huo hauondoi uhuru wa kila upande kufanya maamuzi yake ya kitaifa, wala hauimpi mmoja mamlaka ya kumlazimisha mwenzake kutekeleza maamuzi fulani.
Trump amejisahau sana tofauti na marais waliopita wa Marekani, kaanza kuiona Israel kama jimbo lake, na kaenda mbali zaidi hadi kuanza kumkaripia na kumtolea maneno makali Netanyahu kana kwamba ni puppet wake, hapo ndipo kakosea sana. Hivi sasa Netanyahu anaonekana kumkumbusha kwa vitendo vya makusudi kabisa kwamba ushirika wa nchi hizo mbili haujaanza leo, na ushirikiano si wajibu wa kutii mawazo ya upande mmoja bali ni mapendekezo na mashauriano ya kidiplomasia kati ya mataifa mawili huru.Wairan wa mbagala wanaamini hatima ya israel anayo marekani
Hiyo ni kweliTrump amejisahau sana tofauti na marais waliopita wa Marekani, kaanza kuiona Israel kama jimbo lake, na kaenda mbali zaidi hadi kuanza kumkaripia na kumtolea maneno makali Netanyahu kana kwamba ni puppet wake, hapo ndipo kakosea sana. Hivi sasa Netanyahu anaonekana kumkumbusha kwa vitendo vya makusudi kabisa kwamba ushirika wa nchi hizo mbili haujaanza leo, na ushirikiano si wajibu wa kutii mawazo ya upande mmoja bali ni mapendekezo na mashauriano ya kidiplomasia kati ya mataifa mawili huru.
Israel inandelea na operation zake dhidi ya Hezbollah hata kama Marekani wana mkataba na Iran
Anachoonyesha Netanyahu ni kwamba Israel inaweza kuzingatia ushauri wa Washington, lakini maamuzi ya mwisho yatafanywa Tel Aviv na Jerusalem kwa kuangalia maslahi ya Israel kwanza.
Ambao ndio ukweli, hata Trump kasema leo kuwa bila yeye na USA basi Israel ingekua imeshapotezwa.kaanza kuiona Israel kama jimbo lake,
Hawataki iishe sababu ndio fursa yao ya kujitanua kiardhi mfano tokea vita ianze imeshapoka maeneo kibao Syria, west Bank, gaza na sasa Lebanon.Lakini kama ni hivo mbona bado hawataki vita isimame wala iishe??
Ukiachana na wairan wa mbagala, Wairan halisi wanasemaje kuhusu huo mkataba?Israel imeukataa na kuupinga mkataba wa amani wa iran na US! Inasema itaendelea kuwabomoa hezbollar na Iran
Netanyahu anahangaika na uchaguzi alafu adui yake ayatollah yupo kuzimu🤣🤣Nyau anajua uchaguzi unakuja muda sio mrefu anajifanya kujitutumua
Hivi ndivyo Trump a;ivyompa makavu nyau, na ndio ukweli wenyewe
View attachment 3609508
Wakati huo huo Israel wao wanajua wamelala fofofofofofo, si ndio??Mnaodhani Israel inauuwezo wa kuipiga Iran bila ya uwepo wa USA mtakuwa vichaa.
Vuta picha mashambulizi yote ya Iran ndani ya middle East yangekuwa yanaelekezwa Israel pekee hivi kungekuwa na nchi inaitwa Israel?
Kweli mapenzi upofu asee,
Umetoa mfano mzuri sana,Wakati huo huo Israel wao wanajua wamelala fofofofofofo, si ndio??
Vita ya mwaka Jana Iran alishambulia Israel TU hakugusa hizo nchi zingine, Mbona Israel Bado ipo??
Iran angekua na huo ubavu wasingekua wanaliwa vichwa Kila mara, Israel akirusha ndege yake TU ikitua Iran inaomdoka na vichwa🤣🤣
Ayatollah alikua na maneno kama Yako, wakamla kichwa
Larijani alikua na maneno kama Yako nae wakamla kichwa
Hapo sijazungumzia wale makamanda waliokua wakipiga mikwara, nao wakaliwa vichwa🤣
Mnaodhani Israel inauuwezo wa kuipiga Iran bila ya uwepo wa USA mtakuwa vichaa.
Vuta picha mashambulizi yote ya Iran ndani ya middle East yangekuwa yanaelekezwa Israel pekee hivi kungekuwa na nchi inaitwa Israel?
Kweli mapenzi upofu asee,