Ertugrul Bey
JF-Expert Member
- Aug 6, 2020
- 14,705
- 30,041
Ambao ndio ukweli, hata Trump kasema leo kuwa bila yeye na USA basi Israel ingekua imeshapotezwa.
Israel inategemea sana silaha za USA kma interceptor missiles, Air defence radars na satellites kibao za USA let alone kambi zao middle east. Hivyo bila USA technically Israel inaweza kupigwa na jirani yoyote mwenye nguvu mfano Turkey.
Embu imagine bila interceptors za US je Israel ingepokea damage kiasi gani kutoka Iran? Au bila B2 Bombers za US wangewezaje kulipua vinu vya nuclear kati kati ya milima?
Huyo Netanyahu is a nobody na hiyo oktoba lazima aondolewe kwa uchaguzi. Tokea mkataba usainiwe popularity yake imeshuka kabisa