Brother Depo
JF-Expert Member
- Feb 26, 2026
- 593
- 797
- Thread starter
-
- #21
Walirusha makombora, lakini si unajua ambacho Israel ilifanya baada ya hapo? Hiko walichofanya Israel baada ya hapo ndio kimefanya Iran aache kujibu Hadi Leo.Mbona ilijibu au wewe unaishi dunia gani. Tarehe 7 na 8 iran walirusha makombora Northern Israel na baada ya hapo US iliingilia na kuahidi Iran kuwa Israel itapunguza mashambulizi Lebanon.
Mbona bado Lebanon inashambuliwa, Iran Mbona hawajibu kama walivyoapa?Tatizo wewe kenge hufahamu Iran ni USA ndiye slimuomba asimshambulie Israel na Iran alimuambia USA kama Israel haipo kwenye mkataba mimi tamshambulia USA akamwambia Israel ukijidai haipo kwenye mkataba kati ya Iran na USA basi kitakacho kupata sisi hatupo na wewe utapigana na Iran bila support kutoka USA imebidi mashoga kule Israel yakubali hayata shambulia Lebanon tena hahaga
Lebanon huko kwani wamemaliza Hezbollah? Si kila siku wanapiga makazi na kuua watoto na wamama. Kuhusu Iran hizo mission zimefanywa na USA wala israel hana uwezo huo kuanzia B2 bombers na refuelling planes zote zinatoka USA hao Israel hawana lolote la kupambana na iran.Ayatollah khamenei, Larijani, mawaziri, wakuu wa majeshi waliuliwa. Kwa hiyo hao ni watoto?
Wale makamanda wote waliuliwa nao ni watoto?🤣
US imekwisha anza kuondoa silaha kutoka Israel..Israel ni mwaribifu na kiburi sana...anamtafuta tu Iran avunje agano na US ili US arudi mzigoni...ila trump atampunguzia supply ya siraha kimya kimya.
USA anatumia siasa kumpoza Iran lakini Iran alikuwa leo ashambulie na USA kamuambia Iran kuwa Israel kisha inua bendera nyeupe hata shambulia Lebanon hahahaKila siku Iran anaombwa?🤣🤣
Kwa hiyo Iran wameacha kutetea Lebanon na Gaza sababu wameombwa na marekani wasiwatetee?
Walijibu, tatizo unafuatiliaga udaku tu utajuaje mambo serious? Ingia hata Google mbona taarifa na video zipo. Literally wiki iliyopita tu wamejibu.Mbona bado Lebanon inashambuliwa, Iran Mbona hawajibu kama walivyoapa?
Haya maneno ya kujifariji huko Twitter ndio yalimpinza Larijani. Alikua bingwa wa vijembe kwa sifa za tweets huko na followers, endeleeni muone kama Aragchi na Ghalibaf watafika mwezi wa 7🤣Nimekuuliza uliona clip ya Trump akisema pasipo US Israel ingepigwa imalizwe.. Uliona hio clip? Hizi nyuzi unajisumbua bure tu lakini finally pro Israel mwenyewe Trump amekiri.. Kwamba Israel pasipo US hana uwezo kukabiliana na Iran.
Tukiwa tunawaambia ukweli kuweni waelewa.
Safi sana...cz kama vice president wa US kasema theluthi mbili ya siraha wanazotumia Israel ni full budget ya US basi vzr kwa hili.US imekwisha anza kuondoa silaha kutoka Israel..
Ange, inge, ita, ili, ika, hizi nge nge nge nge hazina maana. Iran walisema kuwa wataishambulia Israel, wakadema pia watasitisha negotiation. Nje ya hapo ni porojo TU wanawapigia nyie waajemi wa kinzudiUSA anatumia siasa kumpoza Iran lakini Iran alikuwa leo ashambulie na USA kamuambia Iran kuwa Israel kisha inua bendera nyeupe hata shambulia Lebanon hahaha
Larijani alijitokeza hadharani kufanya mkutano na ndio akauwawa sio kwamba kuna intelijensia imetumika.Unamkunbuka larijani? Unajua alipo?
Endeleeni kufikiri Netanyahu anacheza
Walivyojibu hiyo mara Moja ilitosha? Kwa hiyo baada ya kujibu huko mwanzoni sasa hivi hawatakiwi kujibu Tena?Walijibu, tatizo unafuatiliaga udaku tu utajuaje mambo serious? Ingia hata Google mbona taarifa na video zipo. Literally wiki iliyopita tu wamejibu.
Tazama katika masaa yajayo weka 12 to 24 hrs uone kama Israel ataendelea kushambulia Lebanon basi Iran ataitwanga Israel hi nakupa 💯Mbona bado Lebanon inashambuliwa, Iran Mbona hawajibu kama walivyoapa?
Unamkunbuka larijani? Unajua alipo?
Endeleeni kufikiri Netanyahu anacheza
Kuhusu suala la kuliwa vichwa hapo ungenyamaza TU, ayatollah Khamenei na majenerali wake waliuliwa vichwa fasta sana, wapambe wake kina larijani nao wakawahishwa fasta kwenda kuzimuWameuliwa leo mpaka kiongozi wa tanker , israel anaangusha ghorofa kwa mtu mmoja wakati wenzao wanapiga double ..Mgambo wanawatoa mavi
Ukimaanisha kuwa wewe una akili kuliko hao waisrael wanaofanya hivyo?Israel ni mwaribifu na kiburi sana...anamtafuta tu Iran avunje agano na US ili US arudi mzigoni...ila trump atampunguzia supply ya siraha kimya kimya.
Wewe ndio una akili na huyo Israel.Ukimaanisha kuwa wewe una akili kuliko hao waisrael wanaofanya hivyo?
Issue hapa ni Iran kutimiza ahadi yake kama alivyoahidi.
Kwa hiyo larijani aliuliwa akiwa hadharani? 🤣🤣Larijani alijitokeza hadharani kufanya mkutano na ndio akauwawa sio kwamba kuna intelijensia imetumika.
Netanyahu si lolote bila USA, niambie tu yale makombora ya Iran bila interceptor za USA leo Israel ingekua na hali gani?
Pona yake tu Iran iko mbali na Israel otherwise wangetuma askari wa miguuni na kwa jinsi Israel ilivyo ndogo kama kisarawe basi ingechukua wiki tu kuiteka.
Nimekuuliza unafikiri Ghalibaf na Aragchi hawapendi kuishi?Tazama katika masaa yajayo weka 12 to 24 hrs uone kama Israel ataendelea kushambulia Lebanon basi Iran ataitwanga Israel hi nakupa 💯
Israel imepigwa vizuri sana..Larijani alijitokeza hadharani kufanya mkutano na ndio akauwawa sio kwamba kuna intelijensia imetumika.
Netanyahu si lolote bila USA, niambie tu yale makombora ya Iran bila interceptor za USA leo Israel ingekua na hali gani?
Pona yake tu Iran iko mbali na Israel otherwise wangetuma askari wa miguuni na kwa jinsi Israel ilivyo ndogo kama kisarawe basi ingechukua wiki tu kuiteka.
Mimi naamini nachoona, wewe unaamini hisia. Israel walisema wazi toka mwanzo kuwa mkataba hauwahusu hivyo wataendelea kushambulia Lebanon, na wanashambulia kweliWewe ndio una akili na huyo Israel.
We hujui mnofu alio ahidiwa Iran na USA 1 Trillion huoni hata Gulf States wanamuambia USA hatutalipa hahaha wao walidhani ni 300 Billion tu na Israel imemkera sana kuona USA kakubali masharti ya Iran ndio akawa anataka kuvuruga peace deal ya USA na Iran ba hapo ndipo USA akamuambia Iran asimshambulie Israel kwa sasa ili isionekane USA dhaifu kila kona hahaha atulie kidogo ili awambie Israel mnataka kupigana na Iran basi semeni mkataba hauwahusu ili Iran awashambulie bila support ya USA kusikia vile Israel wameinua bendera sababu wanaujua mziki wa Iran.Ange, inge, ita, ili, ika, hizi nge nge nge nge hazina maana. Iran walisema kuwa wataishambulia Israel, wakadema pia watasitisha negotiation. Nje ya hapo ni porojo TU wanawapigia nyie waajemi wa kinzudi