Brother Depo
JF-Expert Member
- Feb 26, 2026
- 593
- 797
- Thread starter
-
- #41
Unaongea ndoto, Iran wanatamani kuiangamiza Israel. Kama wangekua na uwezo huo wangefanya hivyo kuiangamiza Israel, ila wanajua moto utaowaka.Israel imepigwa vizuri sana..
Wakati huu Iran imepiga jirani zake na kambi za US gulf kote.. Hayo makombora na drones yaliyopiga US bases na majirani ilipaswa yaelekezwe Israel.. And trust me vita ilipokuwa inaelekea si kuzuri kwa Israel.. US ilibidi kuomba ceasefire kwa namna yeyote.
Sawa mkuu born again.Mimi naamini nachoona, wewe unaamini hisia. Israel walisema wazi toka mwanzo kuwa mkataba hauwahusu hivyo wataendelea kushambulia Lebanon, na wanashambulia kweli
Kwa hiyo ile mikwara yote waliyokua wanapiga sababu ni pesa? Kwa hiyo Iran hawajali tena kulipa kisasi cha kuuliwa viongozi wao? Iran hawajali tena kulipa kisasi cha kuuliwa ayatollah khamenei, kiongozi mkuu wa kidini? Wanajali pesa TU?We hujui mnofu alio ahidiwa Iran na USA 1 Trillion huoni Gulf States wanamuambis USA hatutalipa hahaha wao walidhani ni 300 Billion tu na Israel imemkera sana kuona USA jakubali masharti ya Iran ndio akawa nataka kuvuruga peace deal ya USA na Iran hapo USA akamuambia Iran asimshambulie Israel kwa sasa ili isionekane USA dhaifu kila kona hahaha atulie kidogo ili awa.bie Israel mnataka kupigana na Iran basi semeni mkataba hauwahusu ilibIran awashambulie bila support ya USA kusikia vile Israel wameinua bendera savabu wanaujua mziki wa Iran.
Netanyahu alishasema anajua Kila mmoja alipo ndani ya Iran, Wanaweza kumfikia yoyote muda wowote, ndio maana unaona Hawa viongozi wa sasa wamekua wazito kuijibu Israel maana wanajua wataliwa vichwa fasta sanaSawa mkuu born again.
Ok sawaNetanyahu alishasema anajua Kila mmoja alipo ndani ya Iran, Wanaweza kumfikia yoyote muda wowote, ndio maana unaona Hawa viongozi wa sasa wamekua wazito kuijibu Israel maana wanajua wataliwa vichwa fasta sana
Mwambie Israel ashambulie basi Lebanon leo uone Iran atafanya niniKwa hiyo ile mikwara yote waliyokua wanapiga sababu ni pesa? Kwa hiyo Iran hawajali tena kulipa kisasi cha kuuliwa viongozi wao? Iran hawajali tena kulipa kisasi cha kuuliwa ayatollah khamenei, kiongozi mkuu wa kidini? Wanajali pesa TU?
Ashambulie Leo mara ngapi? Hiyo taarifa ni ya Leo anashambulia. Au umesinzia kiongozi?Mwambie Israel ashambulie basi Lebanon leo uone Iran atafanya nini
Kwanza nilisha kuambia Israel hata Hezbullah hawezi kupigana nayo leo askari 35 wamepigwa red card kule Lebanon Israel yeye hapigani vita na Hezbullah yeye anapiga civilian exactly kama alivyo kuwa anapiga Gaza anacho jua yeye ni kuvunja majumba na kuwauwa watoto na wanawake lakini vita hawezi leo maiti 35 Hezbullah kasafirisha hahaha
View: https://www.youtube.com/live/e2RgSa1Wt5o?si=-cc3doO4P-RYWwDO
Iran akisha amua hata hizo Trillion aziwache kama Israel ataendela punjab majumba huko Lebanon ikabidi USA akipige nagoti leo hi Israel akiendelea kushambulia basi Iran wachukue action nasikia tayari Israel kakubali kusimamidha vita hahaha cheza na Iran wewe kenge.
Trump ana huruma sana, huwa anaionea sana huruma Iran. Hata mwaka Jana alisema yeye ndio aliwazuia Israel wasimuue khamenei kifo cha aibu. Wairan wa kinduzi wakabisha, wakasema hakuna mwenye uwezo wa kumuua khameneiIla Trump ni muigizaji tu asingekuwa anawabana Israel ingeshaangusha serkali ya kigaidi ya Iran
Leo Israel kakubali hashanbulii tena wewe upo dunia ipi kuanzia mdaa huu hawezi shambulia tena baada ya kusikia Iran wapo serious watashambulia IsraelAshambulie Leo mara ngapi? Hiyo taarifa ni ya Leo anashambulia. Au umesinzia kiongozi?
Kwahio hao aragch akifa inakuwaje? Ndio mtapata mnachokitaka ndani ya Irani?Haya maneno ya kujifariji huko Twitter ndio yalimpinza Larijani. Alikua bingwa wa vijembe kwa sifa za tweets huko na followers, endeleeni muone kama Aragchi na Ghalibaf watafika mwezi wa 7🤣
Israel ya wapi hiyo? Wewe amka🤣🤣🤣Leo Israel kakubali hashanbulii tena wewe upo dunia ipi kuanzia mdaa huu hawezi shambulia tena baada ya kusikia Iran wapo serious watashambulia Israel
Sa kwa tarifa yako Israel alijidai mwamba Hezbullah kamtia adabu imebidi ainue mikono juu kabla ya deadline ya Iran kwa hio Israel ka surrender kwa Hezbullah bila hata IranIsrael ya wapi hiyo? Wewe amka🤣🤣🤣
Aragchi mjanja hawezi kufa kizembe kama wenzake ndio maana unaona wanajishairi sana kuijibu Israel🤣🤣🤣Kwahio hao aragch akifa inakuwaje? Ndio mtapata mnachokitaka ndani ya Irani?
Haya maneno Kila siku yaleyale, uzuri Israel wao ni vitendo TU. Muda si mrefu wanamwaga moto Tena hapo Lebanon na Gaza, uzuri nitakutag. Vuta subraSa kwa tarifa yako Israel alijidai mwamba Hezbullah kamtia adabu imebidi ainue mikono juu kabla ya deadline ya Iran kwa hio Israel ka surrender kwa Hezbullah bila hata Iran
View: https://youtu.be/0vlwkNH-6Bs?si=5ehdbRu0riZCls5Y
Utaongea sana lakini Trump kasema Israel pasipo US wangepigwa na Iran, kwanini huelewi hio kauli ya Trump?Trump ana huruma sana, huwa anaionea sana huruma Iran. Hata mwaka Jana alisema yeye ndio aliwazuia Israel wasimuue khamenei kifo cha aibu. Wairan wa kinduzi wakabisha, wakasema hakuna mwenye uwezo wa kumuua khamenei
Mwaka huu vita ilipoanza wakapita nae fasta, hata hivyo Israel wanasema trump alipinga wasimmalize alitaka wampe second chance, ila Netanyahu akasema safari hii acha wammalize
Kusikia Iran atawashambulia wameinua bendera na pia Hezbullah kampelekea moto leo askari 35 wamepigwa red card Israel hasira zake ni kuvunja majumba na kuwauwa raia kawauwa raia 8 wa Lebanon alivyo kuwa mjinga hawaoni Hezbullah anapiga raia afu anajiona mshindi hahaha.Haya maneno Kila siku yaleyale, uzuri Israel wao ni vitendo TU. Muda si mrefu wanamwaga moto Tena hapo Lebanon na Gaza, uzuri nitakutag. Vuta subra
Nimekuuliza uliona clip ya Trump akisema pasipo US Israel ingepigwa imalizwe.. Uliona hio clip? Hizi nyuzi unajisumbua bure tu lakini finally pro Israel mwenyewe Trump amekiri.. Kwamba Israel pasipo US hana uwezo kukabiliana na Iran.
Tukiwa tunawaambia ukweli kuweni waelewa.
Wewe una uelewa mdogo, shida ya kiingereza au una akili timamu ila ni mnafiki?
Trump hakuwahi kutamka kuwa eti kwenye vita hii bila msaada wa USA, Israel ingemalizwa na Iran.
Trump alichokuwa akimaanisha ni kuwa bila ya kibano cha USA kuizuia Iran kutengeneza silaha za nuclear, tayari Iran ingekuwa na makombora ya nuclear mbayo iran ingeyatumia dhidi ya Israel.
Ukweli ni kuwa, katika mapigano ya kawaida, Iran haina uwezo kabisa wa kuiangamiza Israel, ila inaweza kusababisha madhara. Hata mwakajana Israel iliishambulia Iran bila ya usaidizi wa USA, na ikawamaliza makamanda wengi wa Iran. Marekani iliishambulia Iran siku moja tu, kwa kuvilenga vituo vya nuclear. Baada ya hapo Israel iliendelea pekee yake. Iran baada ya kuzidiwa, ikaziomba nchi za Ulaya ziingilie kati, ili vita visimame. Nchi za Ulaya kwa kuamini hazina ushawishi kwa Israel, zikamwomba Trump, ambaye aliongea na Iran na Israel, vita vikasimama, huku ndege za Israel zikiwa njiani kuelekea kuishambulia Iran, zikageuza Israel.
Majuzi tu Iran ilipojaribu kuishambulia Israel, makombora yake yote yakadakwa na kupotezwa uelekeo, lakini majibu ya Israel kwa Iran yakawa very harsh, yakaangamiza viwanda vya chemicals za kutengenezea makombora.
Iran inaweza kuishambulia Israel huku ikiwa imejua kuwa imeanzisha mapambano, lakini siyo kwa mategemeo ya kuiangamiza Israel.
Ukumbuke kuwa Iran imefanikiwa kuziangusha ndege 5 zilizokuwa angani kwenda kuishambukia Iran, lakini haijawahi kuangusha ndege hata moja ya Israel. Iran ikabakia kwenye hadithi za ajabu kuwa eti Israel inatumia uchawi kuwaangamiza viongozi na makamanda wa Iran!!
Ndio si unaweza uka Google tu, alitoka mkutanoni alipoelekea ofisini kwake akauwawa na ndege za US. Sijui kwanini unaamini Israel ni powerful wakati hamna lolote.Kwa hiyo larijani aliuliwa akiwa hadharani? 🤣🤣