Brother Depo
JF-Expert Member
- Feb 26, 2026
- 593
- 797
- Thread starter
-
- #81
🤣🤣🤣🤣🤣🤣🤣Sawa nakubaliana na wewe Iran hapo karegeza kamba.lakini subiri mda utaongea lakini pia usisahau Hezbullah na yeye anashambulia North Isreal ni balaa na huko Lebanon anawamaliza askari wa Israel
Unakataa kuwa Iran walikua hawalalamiki Israel wanatumia uchawi?Kwahiyo wakipiga targets unasifia Israel, ila zikiangushwa unadai ni za USA pekee. Maana yake USA ndio inatumika zaidi vitani Israel wanategea tu kwa mbali ndio maana hata losses kubwa kapata USA maana ndio alikuja wazi wazi sio Israel anasubiri US ishambulie yeye anakuja nyuma na kukimbia.
Unaweza weka source ya taarifa yako? Inakuaje mtu makini kama wewe unaamini taarifa feki ambazo haziko verified?
Unapotosha mfano refuelling planes walipewa na USA, haya B2 bombers zilizolipuwa Fordo na Natanz zilikua za USA, pia Air defense za US zilitumika kuintercept makombora ya Iran yaliyokua yanaelekezwa Israel. Sasa unasemaje USA haikuhusika? Kwanini mnapotosha?
Usipindishe, hat JD vance kasema pia kuwa bila silaha na nguvu ya USA hao Israel wasingeweza kupigana na Iran na video zipo kibao tu YouTube. Unakataa ukweli ulio wazi
Wakati huo hayo yakifanyika Netanyahu na vijana wake watakua wanakunywa chai?Akili zake anaelewa alichosema Trump kuhusu kutokuwepo kwa Israel kwamba Iran kutumia nuclear.... Trump amemaanisha anguko la taifa la Israel na rasmi inakuwa Palestine, maana Iran huwa hawasemi Israel, huwa wanasema ni Palestine. Israel hawaitambui.
Israel ikishambuliwa miundombinu ya kiraia, ni mwezi tu watu wote watakimbilia US na EU walipotokea.. Israel itazungukwa na kushambuliwa vibaya kabla serikali haijaanguka na viongozi kukimbia nchi... Hivyo Trump anasema kweli..
Mwaka Jana vita ya siku 12 Israel walikua wanazurura hapo Tehran na sehemu yote ya nchi peke Yao kwa kadri walivyotaka, US walihusika kwenye kusaidia kushambulia nuclear plants TU. Lakini mashambulizi mengine yote ni Israel ndio walifanya.Kwahiyo wakipiga targets unasifia Israel, ila zikiangushwa unadai ni za USA pekee. Maana yake USA ndio inatumika zaidi vitani Israel wanategea tu kwa mbali ndio maana hata losses kubwa kapata USA maana ndio alikuja wazi wazi sio Israel anasubiri US ishambulie yeye anakuja nyuma na kukimbia.
Netanyahu ana kitu gani? Ni mzee umri umekwenda, anasumbuliwa na maradhi na ana kesi za ufisadi pamoja na warranty kutoka ICC.Wakati huo hayo yakifanyika Netanyahu na vijana wake watakua wanakunywa chai?
Hiyo ndoto uliyonayo ndio imefanya hata Leo hii tusiwe na mzee wa watu Ayatollah khamenei 😭
Mlimjaza upepo mzee wa watu kuwa anaweza kuifuta Israel, mwisho kafutwa yeye🤣🤣
Kuna yule kamanda mkuu wa Basij, alisema yeye na jeshi lake IRGC wanaipa Israel wiki Moja TU, mwisho wake yeye hakuchukua hata masaa 24 wakampeleka kuzimu. Msicheze na Netanyahu, shauri yenu kama hamuelewi
Kiliwakuta nini? Israel si ilivamia kwanza na kulipua ndege zote na maghala ya silaha sio kwamba ilivamiwa ndio ika repel. Ila pia ilisaidiwa na meli vita za USA kwa intelijensia na kurusha makombora.Kawaulize kilichowakuta Egypt, Syria, Jordan na Lebanon🤣🤣🤣
Hezbollah ni kikundi tu hakina ndege vita hata, ni infantry zaidi na Israel inatumia air superiority kupambana ila Hezbollah kikipigana na majeshi ya ardhini kma kuwafuta ISIS na kuzuia Assad kupinduliwa ilifanikiwa.Au nikuulize hao Hezbollah kwa nn wasiingie kufanya hivyo? Si wanapatiwa msaada mkubwa na Iran. Makamanda wakubwa Waliokua na hiyo ndoto wanazamishwa haraka haraka kwenda kuzimu. R.I.P Hassan Nasrallah, huyu alishindiliwa mabomu 17 akiwa amejificha chini ya ardhi MITA za kutosha🤣🤣
Iran hiyo nguvu anaitumia wapi ikiwa Israel Kila muda anaingia sebuleni kwake na kumchomoa yoyote wanayemtaka?Kiliwakuta nini? Israel si ilivamia kwanza na kulipua ndege zote na maghala ya silaha sio kwamba ilivamiwa ndio ika repel. Ila pia ilisaidiwa na meli vita za USA kwa intelijensia na kurusha makombora.
Sasa hao wote hakuna mwenye hta nusu ya nguvu ya Iran ya sasa, imagine nini kitatokea siku ikivamiwa by land na nchi yenye watu 100 million na drones malaki!!
So what? Nini kimebadilika? Kama ushindi wa vita ni kuua viongozi 20 kwenye nchi ya watu million 100 basi Hitler kuua wayahudi million 6 angekua mshindi wa World War II.R.I.P kwa Ayatollah khamenei, huyu walimshindilia mabomu mazito 22 wakatawanyisha Kila kiungo chake, Iran wakaapa kulipa kisasi Hadi Leo kimya waliishia kurusha rusha tu missiles🤣🤣
Kumbe hujui kupambana na vikundi hivyo ni ngumu kiasi gani sababu hawana maneno Rasmi na wanajichanganya sana na raia. Unasema Iran Wana nguvu Mbona hawajawamaliza wale wakurdi?Hezbollah ni kikundi tu hakina ndege vita hata, ni infantry zaidi na Israel inatumia air superiority kupambana ila Hezbollah kikipigana na majeshi ya ardhini kma kuwafuta ISIS na kuzuia Assad kupinduliwa ilifanikiwa.
Ile sio jeshi la kitaifa, so ni aibu kujiona wababe kwa kupambana na kikundi nyie mnatakiwa mpambane na jeshi la nchi kabisa sio Hamas na Hezbollah.
Netanyahu aje Iran bila USA ndio tuone ubabe wake
Wangetaka kuifuta basi Pakistan wangeshapiga nuclear za kutosha Tel aviv maana hawatambui taifa la Israel na wanatambua taifa la palestina. Kwahiyo hii hoja kuwa Iran au waarabu wanataka kuifuta Israel kwenye uso wa dunia ni Propaganda.Hivyo vita vya ardhini Iran hawezi ndio maana anakaa mbali na kurusha makombora angekuwa anavijua angeenda Lebanon kuwasaidia magaidi wa Hezbollah ili "kuifuta Israel kwenye ramani ya dunia" lakini anagwaya anajua nini kitakacho mkuta.
Iran walipandisha bendera nyekundu na kusema watalipa kisasi kwa kuuliwa kiongozi wao wa kiimani. Wakaenda mbali na kusema wanatangaza jihad dunia nzima🤣So what? Nini kimebadilika? Kama ushindi wa vita ni kuua viongozi 20 kwenye nchi ya watu million 100 basi Hitler kuua wayahudi million 6 angekua mshindi wa World War II.
Kwanini wawamalize? Hujui Iran na wakurdi walishirikiana kuwafuta ISIS na Al qaeda huko Iraq na Syria? Hao kurds wanapambania nchi yao hawana shida na Iran in fact kwenye vita ya iraq-iran hao kurds waliwasaidia Iran kupambana na Saddam Hussein. Ndio maana baada ya Trump kuwapa silaha kurds walipotezea vita maana hawakuwa na sababu ya kupambanaUnasema Iran Wana nguvu Mbona hawajawamaliza wale wakurdi?
Hii ndio mnaita taqeyyah? Viongozi wa Iran kwa muda mrefu tu wamekua walisema wataifuta Israel. Hata huyu wa sasa mojtaba hivi karibuni alisema Israel itafutika miaka 15 inayokuja. Huwa Mbona Raha kufanya taqeyyah?Wangetaka kuifuta basi Pakistan wangeshapiga nuclear za kutosha Tel aviv maana hawatambui taifa la Israel na wanatambua taifa la palestina. Kwahiyo hii hoja kuwa Iran au waarabu wanataka kuifuta Israel kwenye uso wa dunia ni Propaganda.
Ndio nini? Mimi sio muislamHii ndio mnaita taqeyyah
Will not exist ndio kusema TUTAIFUTA?Viongozi wa Iran kwa muda mrefu tu wamekua walisema wataifuta Israel. Hata huyu wa sasa mojtaba hivi karibuni alisema Israel itafutika miaka 15 inayokuja. Huwa Mbona Raha kufanya taqeyyah?
Naona umeanza kufanya taqeyyah. Wakurdi wanapambana na Iran Kila mara, unahisi Iran wao hawana lengo la kuwanaliza hao? Sawa na useme congo Haina lengo la kuwanaliza m23Kwanini wawamalize? Hujui Iran na wakurdi walishirikiana kuwafuta ISIS na Al qaeda huko Iraq na Syria? Hao kurds wanapambania nchi yao hawana shida na Iran in fact kwenye vita ya iraq-iran hao kurds waliwasaidia Iran kupambana na Saddam Hussein. Ndio maana baada ya Trump kuwapa silaha kurds walipotezea vita maana hawakuwa na sababu ya kupambana
Huelewi nini wanamaanisha walisema wataiangamiza Israel? Huyu Trump si mlikubalina hajui anachosema, ni mropokaji, kachanganyikiwa, ni muongo n.k. au mmebadili kauli?Ndio nini? Mimi sio muislam
Will not exist ndio kusema TUTAIFUTA?
Trump literally alisema ATAKIFUTA kizazi kizima cha Iran na sijasikia mkisema lolote ila hiyo kauli angetoa Khamenei Iran ingevamiwa na mataifa yote.
Umekazia sana viongozi wa Iran kuuawa..Iran hiyo nguvu anaitumia wapi ikiwa Israel Kila muda anaingia sebuleni kwake na kumchomoa yoyote wanayemtaka?
Uwe na nguvu hizo, alafu taifa lingine like liingie kwako muda wowote na kuua kiongozi yoyote wanayemtaka? Acha basi utani wako braza🤣
Wakurds wapo milimani huko wanapambania kurdistan yao huko wakivamia uturuki, Syria na Iraq sasa Iran ipambane kwa ajili gani ila wangejichanganya kushirikiana na Israel kuvamia Tehran basi ingekua mwisho wao. Maana yale makombora ya Iran yangesambaratisha makazi yao yote.Wakurdi wanapambana na Iran Kila mara, unahisi Iran wao hawana lengo la kuwanaliza hao? Sawa na useme congo Haina lengo la kuwanaliza m23
Wapi imeandikwa Kuwa Iran wataifuta Israel? Unaweza nionyesha kwenye hiyo habari?Huelewi nini wanamaanisha walisema wataiangamiza Israel?
Nimebadili na nani? Yeye alitishia wazi wazi kuangamiza wairan wote ndani ya usiku mmoja.Huyu Trump si mlikubalina hajui anachosema, ni mropokaji, kachanganyikiwa, ni muongo n.k. au mmebadili kauli