Israel katika mazungumzo na Kongo na nchi nyingine kuhusu mpango wa 'uhamiaji wa hiari' wa Gaza

Israel katika mazungumzo na Kongo na nchi nyingine kuhusu mpango wa 'uhamiaji wa hiari' wa Gaza

Wawaruhusu tu tuje tupate wakata viuno rangi nyeupe tumechoka na hawa wakina Kofi Olomide
 
Nchi za Afrika ya Kati na Magharib ya bara Afrika, zina wahamiaji wachache wafanyabiashara kutoka jamii ya waLebanon na Syria lakini waliofanikiwa sana kiuchumi.

Kutokana na woga wa nchi za kidikteta na kifalme za Mashariki ya Kati kukaribisha wakimbizi wa kiPalestina basi, nchi za bara la Afrika eneo la Kati na Africa ya Magharib zinaweza kuwapokea kuleta mapinduzi ya kiuchumi

ASILI YA WAPALESTINA KUTOUNGWA MKONO, PIA KUOGOPWA SANA NA MATAIFA YA KIARABU

Dr Edward SAID professor wa chuo cha The College de France jijini Paris Ufaransa, mpalestina aliyewasili miaka ya 1950 katika jiji hili tajwa la ulaya Magharibi

View: https://m.youtube.com/watch?v=7g1ooTNkMQ4

Akiwa na kiu ya kujiendeleza kimasomo baada ya kuwasili akiwa kijana asiye na certificate wala diploma yoyote amezaliwa 1935 katika familia tajiri hivyo kusomeshwa shule nzuri na baadaye kwenda ngambo kusoma katika vyuo tajwa duniani nchini Marekani vya Princeton na Harvard kisha kuwa professor University of Columbia New York US.

Akiwa ngambo masomoni alizungukwa na marafiki wengi wa karibu wa kimagharibi na kiyahudi pia ingawa nje ya kundi hilo alionekana kama adui mkubwa kwa kukumbatia ugaidi wa wapalestina.

Wazazi wake Prof. Edward Said yaani mama yake alizaliwa Nazareth huku baba mzaliwa wa Jerusalem. Baadaye wazazi wake walihamia Lebanon na kuwa raia wa huko Lebanon ingawa vyeti vyao vinaonesha walizaliwa Palestine nchini Israel.

Prof. Edward Said mpalestina mkristo anaendelea kuelezea uaina wa watu waliozaliwa eneo hilo la Mashariki ya Kati wenye mchanganyiko mwingi wa kihistoria, kijamii na muingiliano wa mataifa mengi kutokana na mambo mengi yaliyojitokeza.

Prof. Edward Said katika maandiko yake kuhusu mtizamo wa Magharibi kuhusu Mashariki uwe katika vitabu, michoro, picha, simulizi, aina ya fikra za Mashariki kuwa yanafanana na kuweza kuiva katika chungu kimoja bila kutibua ladha ni mtizamo usio onesha hali halisi.

Prof. Edward Said anasema mwenyeji wa Egypt ana tabia tofauti na sema mwenyeji wa Syria vile vile wa kutoka Jordan wana mtizamo tofauti na wa kutoka Tunisia au Saudia.

Prof. Edward Said katika mihadhara yake na uandishi umeleta malumbano mengi moto na kuvutia wengi kusikiliza pia kusoma.

Prof. Edward Said kuhusu kuwepo vitabu vingi vya jiografia na historia vipya ambavyo vimejaribu kufuta ya zamani na kuandika vitu vingi vipya kwa sababu maalumu zenye manufaa kwa ....

Prof. Edward Said anaikumbuka Beirut ya miaka 1970s na 1980s iliyowakaribisha kwa mikono miwili siyo wapalestina tu bali waarabu kutoka nchi za Egypt, Syria, Jordan, Iraq, Sudan n.k wote walikimbilia Beirut Lebanon lakini baadaye wote walifurushwa kutokana na majeshi ya mgambo ya wenyeji wa KiShiite na Kikristo kuwazunguka na kuwatimua

Na baada ya hapo hasahasa wapalestina hawatakiwi tena katika mataifa ya kiarabu kufuatia nchi zilizowapa ukimbizi kwa wingi kama Jordan na Lebanon kuwaona wapalestina ni wakorofi na wakiwa wakimbizi huamua kujiingiza ktk siasa za wenyeji wao.

Mataifa ya kiarabu kuingia woga kwa imani ya Wapalestina kwenda mbali zaidi kuchukua upande wa moja wa wenyeji wao na kushiriki kwa kutumia silaha kujaribu kupindua serikali za wenyeji wao.

Kwa wapalestina kuamini itapatikana serikali mpya ya kiarabu iliyo majimuni Pan Arabian itakayounga mkono, harakati ya umoja mpya wa Kiarabu kuishambilia Israel, na ifutike ili wapalestina warudi ktk nchi wanayoamini yakwao pekee siyo ya mataifa mawili ya Palestine na Israel yanayoishi sambamba kwa kutambua uwepo wa mataifa mawili kiasili ....
 
Walebanon wa Africa
Wahamiaji wamekuwa wakija barani Afrika kutoka eneo ambalo sasa ni Lebanon kwa kipindi cha miaka 150 hivi hivi, na kuwa jumuiya imara, zenye bidii, muhimu kwa mataifa kadhaa ya Afrika Magharibi.

Mlebanon wa kwanza aliwasili katika maeneo ya zamani ya Ufaransa ya Senegal na Ivory Coast katika karne ya 19, wakati Ufaransa ilihimiza makazi ili kuchochea ukuaji katika makoloni.

Pia walikuja Ghana, wakati huo ikiitwa Gold Coast na Waingereza. Baadhi ya wimbi hilo la kwanza huenda lilikuwa likielekea magharibi zaidi lakini meli zao zilibadilika." Kaka ya babu yangu awali alikuwa akienda Amerika", anasema Nouhad Kalmoni. "Walipanda meli na kushushwa Gold Coast.

2015 28 October

From Lebanon to Africa | Al Jazeera World

View: https://m.youtube.com/watch?v=6p9KMLOjvhc

Immigrants have been coming to Africa from what is now Lebanon for the past 150 years or so, becoming established, industrious communities, integral to several West African states.

In fact, the first president of Ivory Coast described them as a "bestowment from the sky" - a gift from God.Over a century-and-a-half, a combination of political instability, economic forces, famine and conflict has brought successive waves of Lebanese to West Africa, from where they have fanned out across the continent. The influx continues today.

The first Lebanese arrived in the former French territories of Senegal and Ivory Coast in the 19th century, as France encouraged settlement to stimulate growth in the colonies.

They also came to Ghana, at the time named the Gold Coast by the British. Some of that first wave may well have been heading further west but their ships changed course."My grandfather's brother was originally going to America", says Nouhad Kalmoni. "They got on the ship and were dropped off at the Gold Coast.

People here said to them, 'Welcome to America!'."Zouheir Debs, editor-in-chief of Almughtareb magazine which serves the Lebanese community, says some simply forgot to get back on the boat: "The ship would sail, leaving everyone behind. Or people didn't realise they had to go back on board…and they'd stay in this country."Hardship in Lebanon caused periodic waves of emigration - when the Lebanese silk trade failed and then when famine struck greater Syria during the First World War.

Families like Kalmoni's who settled in Ghana but originally came from Tripoli, were able to create business opportunities in their adopted countries. His ancestors started Kalmoni and Sons, dealing in food products and then vehicle parts when the automobile arrived in Africa.

The business grew into Japan Motors by 1962.The Civil War in Lebanon prompted further emigration.In the later 20th century, some Lebanese began to question their role, particularly in West Africa.In Ghana in 1979, many businesses were closed and bank accounts frozen after allegations of corruption; and some Lebanese got caught up in a series of violent clashes between the Ghanaian government and opposition, the last as recently as 2011.

According to Debs, an influx particularly of Shia immigrants from south Lebanon has now led to an element of sectarianism, slightly fragmenting a once homogenous community.

In From Lebanon to Africa, we follow the fascinating story of Lebanese emigrants - how their communities in Africa are now a microcosm of Lebanon today; and how Africans of Lebanese origin grapple with their roots, identity and their place in the world
 
Wahafidhini wa kiyahudi wametamka wazi kuwa wanataka wapalestina huko Gaza wahamishwe na kupelekwa Congo au wahame wenyewe waende wanakojua.

Ni matusi na jeruri kubwa sana. Yaani umpige mtu na kumvunjia kila chake na kumuulia watoto na familia yake halafu umpe amri kuwa hutaki kumuona hapo akikupigia makelele.

Fikiria hali kama hii ikukute wewe hapo ulipo utakavyjisikia. Waliopata hisia japo za kinafiki ni mawaziri katika nchi za Ulaya na Marekani. Wamewakemea wahafidhina hao kwa kauli zao hizo.Kinachowahofisha wao ni kudhani kuna watu miongoni mwa ndugu wa za wapalestina watakasirika na kuanza kuwaunga mkono wenzao na kuharibu mwenencho mzima wa vita.

Inahuzunisha sana hakuna mtu wa maana katika nchi za kiarabu aliyetoa kauli kukemea matusi hayo utadhani wanaunga mkono misimamo ya mazayuni na watu waliolaaniwa wanaoendeleza kuunajisi msikiti mtukufu wa Alaqsa.
 
Wahafidhini wa kiyahudi wametamka wazi kuwa wanataka wapalestina huko Gaza wahamishwe na kupelekwa Congo au wahame wenyewe waende wanakojua.
Ni matusi na jeruri kubwa sana.Yaani umpige mtu na kumvunjia kila chake na kumuulia watoto na familia yake halafu umpe amri kuwa hutaki kumuona hapo akikupigia makelele.Fikiria hali kama hii ikukute wewe hapo ulipo utakavyjisikia.
Waliopata hisia japo za kinafiki ni mawaziri katika nchi za Ulaya na Marekani.Wamewakemea wahafidhina hao kwa kauli zao hizo.Kinachowahofisha wao ni kudhani kuna watu miongoni mwa ndugu wa za wapalestina watakasirika na kuanza kuwaunga mkono wenzao na kuharibu mwenencho mzima wa vita.

Wewe kinachokuuma ni msikiti si maisha ya watu
 
Si mlikua mnajifanya mnasifia ujinga,mnalialia nini sasa,acha sindano ziwaingie
 
Mlisema Israel wameelemewa na vita sasa haya yanatoka wapi tena?

Wapalestina sio watu na mimi siwahurumii tena na wenyewe ngoja wauwawe tu hawawezi kuwaua watanzania kinyama namna hiyo. Bogus kabisa hao magaidi.
 
Kwanza mwili wa Mtanzania mwenzetu umepatikana?

Hamas ndio walaumiwe kwa kuanzisha vita wasioimudu... Walianza kwa kuua raia, na kuteka wengine
Mwili wa Mtanzania waulize Israel waliomchukua na iulize serikali kama wameudai tayari au bado.
 
Mlisema Israel wameelemewa na vita sasa haya yanatoka wapi tena?

Wapalestina sio watu na mimi siwahurumii tena na wenyewe ngoja wauwawe tu hawawezi kuwaua watanzania kinyama namna hiyo. Bogus kabisa hao magaidi.
Kuelemewa hatujasema sisi.Ni wao wenyewe na wafadhili wao.
Kinachosikitisha ni kuwa waarabu hawalioni hilo na kuitumia fursa waliyopewa na Mungu.
 
Wahafidhini wa kiyahudi wametamka wazi kuwa wanataka wapalestina huko Gaza wahamishwe na kupelekwa Congo au wahame wenyewe waende wanakojua.
Ni matusi na jeruri kubwa sana.Yaani umpige mtu na kumvunjia kila chake na kumuulia watoto na familia yake halafu umpe amri kuwa hutaki kumuona hapo akikupigia makelele.Fikiria hali kama hii ikukute wewe hapo ulipo utakavyjisikia.
Waliopata hisia japo za kinafiki ni mawaziri katika nchi za Ulaya na Marekani.Wamewakemea wahafidhina hao kwa kauli zao hizo.Kinachowahofisha wao ni kudhani kuna watu miongoni mwa ndugu wa za wapalestina watakasirika na kuanza kuwaunga mkono wenzao na kuharibu mwenencho mzima wa vita.
Inahuzunisha sana hakuna mtu wa maana katika nchi za kiarabu aliyetoa kauli kukemea matusi hayo utadhani wanaunga mkono misimamo ya mazayuni na watu waliolaaniwa wanaoendeleza kuunajisi msikiti mtukufu wa Alaqsa.
Ah kwan hamas si ameshashinda vita ama....
 
Si mlikua mnajifanya mnasifia ujinga,mnalialia nini sasa,acha sindano ziwaingie
Kinachofanyika si kulia lia ni kuweka ushahidi sawa na watu wasijeshangaa kitakachowatokea waarabu na mayahudi huko mbele ya safari.
Ambacho mimi nina uhakika ni kuwa Israel hawezi kushinda hivi vita hata akiwa ameua idadi kubwa ya wapalestina na kuangusha majengo yote.
 
Kwani allah yuko wapi mpaka yote hayo yanatokea?
Kwa jinsi waarab weusi wa JF wanavyoletaga habari hapa JF ni kuwa hamas ameshinda vita sasa nashangaa tena Alwaz anaandika hivi kweli mficha maradhi kifo humuumbua🤣😆😅😂😁
 
Kuelemewa hatujasema sisi.jNi wao wenyewe na wafadhili wao.
Kinachosikitisha ni kuwa waarabu hawalioni hilo na kuitumia fursa waliyopewa na Mungu.
Ukweli unabaki palepale kwamba Gaza imeisha na kama kuna kikundi chochote cha kigaidi kinacho fikiri kwamba kitatawala tena ukanda huo basi huyo allah wao anawadanganya sana.
 
Wewe kinachokuuma ni msikiti si maisha ya watu
Watu wanakwenda peponi wale na watazaliwa mara kadhaa zaidi yao.Ule ni mtihani kwa wanaoshuhudia hayo mauaji na wakashindwa kutia juhudi kuwaokoa ili na wao wapate thawabu za kuwapeleka peponi.
 
Ukweli unabaki palepale kwamba Gaza imeisha na kama kuna kikundi chochote cha kigaidi kinacho fikiri kwamba kitatawala tena ukanda huo basi huyo allah wao anawadanganya sana.
Wewe ambaye huna macho maangavu na usiyejuwa ghaibu huwezi kutoa tathmini hiyo na ukaaminika.
Vita vinaendelea na vinaambukiza maeneo mengine.
 
Wahafidhini wa kiyahudi wametamka wazi kuwa wanataka wapalestina huko Gaza wahamishwe na kupelekwa Congo au wahame wenyewe waende wanakojua.
Ni matusi na jeruri kubwa sana.Yaani umpige mtu na kumvunjia kila chake na kumuulia watoto na familia yake halafu umpe amri kuwa hutaki kumuona hapo akikupigia makelele.Fikiria hali kama hii ikukute wewe hapo ulipo utakavyjisikia.
Waliopata hisia japo za kinafiki ni mawaziri katika nchi za Ulaya na Marekani.Wamewakemea wahafidhina hao kwa kauli zao hizo.Kinachowahofisha wao ni kudhani kuna watu miongoni mwa ndugu wa za wapalestina watakasirika na kuanza kuwaunga mkono wenzao na kuharibu mwenencho mzima wa vita.
Inahuzunisha sana hakuna mtu wa maana katika nchi za kiarabu aliyetoa kauli kukemea matusi hayo utadhani wanaunga mkono misimamo ya mazayuni na watu waliolaaniwa wanaoendeleza kuunajisi msikiti mtukufu wa Alaqsa.
Ustaadh utapata pressure za kujitakia buree ukweli ni kuwa wapalestina/waarabu hawana chao kwenye nchi takatifu ya Israel unajisi na uchafu woote walioufanya wa kuvamia ardhi kujenga misikiti na najisi zao zote zingine zingine zitasafishwa ni suala la muda tu.
 
Back
Top Bottom