Follow along with the video below to see how to install our site as a web app on your home screen.
Note: This feature may not be available in some browsers.
Wewe kinachokuuma ni msikiti si maisha ya watuWahafidhini wa kiyahudi wametamka wazi kuwa wanataka wapalestina huko Gaza wahamishwe na kupelekwa Congo au wahame wenyewe waende wanakojua.
Ni matusi na jeruri kubwa sana.Yaani umpige mtu na kumvunjia kila chake na kumuulia watoto na familia yake halafu umpe amri kuwa hutaki kumuona hapo akikupigia makelele.Fikiria hali kama hii ikukute wewe hapo ulipo utakavyjisikia.
Waliopata hisia japo za kinafiki ni mawaziri katika nchi za Ulaya na Marekani.Wamewakemea wahafidhina hao kwa kauli zao hizo.Kinachowahofisha wao ni kudhani kuna watu miongoni mwa ndugu wa za wapalestina watakasirika na kuanza kuwaunga mkono wenzao na kuharibu mwenencho mzima wa vita.
Inahuzunisha sana hakuna mtu wa maana katika nchi za kiarabu aliyetoa kauli kukemea matusi hayo utadhani wanaunga mkono misimamo ya mazayuni na watu waliolaaniwa wanaoendeleza kuunajisi msikiti mtukufu wa Alaqsa.
Mwili wa Mtanzania waulize Israel waliomchukua na iulize serikali kama wameudai tayari au bado.Kwanza mwili wa Mtanzania mwenzetu umepatikana?
Hamas ndio walaumiwe kwa kuanzisha vita wasioimudu... Walianza kwa kuua raia, na kuteka wengine
Kuelemewa hatujasema sisi.Ni wao wenyewe na wafadhili wao.Mlisema Israel wameelemewa na vita sasa haya yanatoka wapi tena?
Wapalestina sio watu na mimi siwahurumii tena na wenyewe ngoja wauwawe tu hawawezi kuwaua watanzania kinyama namna hiyo. Bogus kabisa hao magaidi.
Ah kwan hamas si ameshashinda vita ama....Wahafidhini wa kiyahudi wametamka wazi kuwa wanataka wapalestina huko Gaza wahamishwe na kupelekwa Congo au wahame wenyewe waende wanakojua.
Ni matusi na jeruri kubwa sana.Yaani umpige mtu na kumvunjia kila chake na kumuulia watoto na familia yake halafu umpe amri kuwa hutaki kumuona hapo akikupigia makelele.Fikiria hali kama hii ikukute wewe hapo ulipo utakavyjisikia.
Waliopata hisia japo za kinafiki ni mawaziri katika nchi za Ulaya na Marekani.Wamewakemea wahafidhina hao kwa kauli zao hizo.Kinachowahofisha wao ni kudhani kuna watu miongoni mwa ndugu wa za wapalestina watakasirika na kuanza kuwaunga mkono wenzao na kuharibu mwenencho mzima wa vita.
Inahuzunisha sana hakuna mtu wa maana katika nchi za kiarabu aliyetoa kauli kukemea matusi hayo utadhani wanaunga mkono misimamo ya mazayuni na watu waliolaaniwa wanaoendeleza kuunajisi msikiti mtukufu wa Alaqsa.
Kinachofanyika si kulia lia ni kuweka ushahidi sawa na watu wasijeshangaa kitakachowatokea waarabu na mayahudi huko mbele ya safari.Si mlikua mnajifanya mnasifia ujinga,mnalialia nini sasa,acha sindano ziwaingie
Ushindi sio leo .unakuja katika ule muda aliokisia Netanyahu.Ah kwan hamas si ameshashinda vita ama....
Kwa jinsi waarab weusi wa JF wanavyoletaga habari hapa JF ni kuwa hamas ameshinda vita sasa nashangaa tena Alwaz anaandika hivi kweli mficha maradhi kifo humuumbua🤣😆😅😂😁Kwani allah yuko wapi mpaka yote hayo yanatokea?
Ukweli unabaki palepale kwamba Gaza imeisha na kama kuna kikundi chochote cha kigaidi kinacho fikiri kwamba kitatawala tena ukanda huo basi huyo allah wao anawadanganya sana.Kuelemewa hatujasema sisi.jNi wao wenyewe na wafadhili wao.
Kinachosikitisha ni kuwa waarabu hawalioni hilo na kuitumia fursa waliyopewa na Mungu.
Watu wanakwenda peponi wale na watazaliwa mara kadhaa zaidi yao.Ule ni mtihani kwa wanaoshuhudia hayo mauaji na wakashindwa kutia juhudi kuwaokoa ili na wao wapate thawabu za kuwapeleka peponi.Wewe kinachokuuma ni msikiti si maisha ya watu
Wewe ambaye huna macho maangavu na usiyejuwa ghaibu huwezi kutoa tathmini hiyo na ukaaminika.Ukweli unabaki palepale kwamba Gaza imeisha na kama kuna kikundi chochote cha kigaidi kinacho fikiri kwamba kitatawala tena ukanda huo basi huyo allah wao anawadanganya sana.
Ustaadh utapata pressure za kujitakia buree ukweli ni kuwa wapalestina/waarabu hawana chao kwenye nchi takatifu ya Israel unajisi na uchafu woote walioufanya wa kuvamia ardhi kujenga misikiti na najisi zao zote zingine zingine zitasafishwa ni suala la muda tu.Wahafidhini wa kiyahudi wametamka wazi kuwa wanataka wapalestina huko Gaza wahamishwe na kupelekwa Congo au wahame wenyewe waende wanakojua.