Tetesi: Israel kuishambulia Iran kwa jaribio la Mauaji ya Netanyahu

Iran sio Burundi
Iran gani? Mtu anauwa kwenye nyumba ya Rais kwa bomb la kutegwa?
Na Israel ameenda ndani ya anga ya Iran kwa ndege zenye rubani na zote zimerudi. Hapo bado kuna kujiuliza?
Vita inataka akili kichwani. Hakuna albadili wala siasa za misimamo mikali
 
Baraza la vita la Israel limepitisha azimio la kuishambulia Iran kutokana na shambulio la mauaji kwa Waziri Mkuu wa Israel Benjamin Netanyahu.

Haya yanajili baada ya picha za satellite zilizoonesha kushambuliwa kwa ulinzi na mifumo ya ulinzi ya Iran

Je kwa sasa Israel itafanya kile ambacho wengi twategemea?

Je ni preemptive strike?
R.I.P Ayatollah hahaha aisee pakuanzia pamepatikana
 
Na wewe unajitambua umejifucha kwenye point gani?

Ushoga ushoga ushoga. Ukishamaliza hapo unakimbilia kula Pilau na juice ya tende unafikiri umemkomoa mtu.

Mashoga wapo tena kwenye makabila, na dini zote. Ushoga ni haramu. Ila kujifanya ndio issue Israel na waarabu ni kujizima data. Waisrael wanasambaratisha middle east
 
Iran gani? Mtu anauwa kwenye nyumba ya Rais kwa bomb la kutegwa?
Na Israel ameenda ndani ya anga ya Iran kwa ndege zenye rubani na zote zimerudi. Hapo bado kuna kujiuliza?
Vita inataka akili kichwani. Hakuna albadili wala siasa za misimamo mikali
Hizo porojo tu ndio maana Israel kutwa anabweka bweka, Iran ni jeshi kamili sio kikundi, HAKUNA ndege ilioingia anga la Iran, kwa taarifa yako Iraq amepeleka malalamiko yake UN kwa kitendo cha Israel kutumia anga lake
 
Ushoga ushoga ushoga. Ukishamaliza hapo unakimbilia kula Pilau na juice ya tende unafikiri umemkomoa mtu.

Mashoga wapo tena kwenye makabila, na dini zote. Ushoga ni haramu. Ila kujifanya ndio issue Israel na waarabu ni kujizima data. Waisrael wanasambaratisha middle east
Hapa ushoga sio haramu

92EE609C-C1F5-4B9F-9CC3-164E4B616C13.png
 
Ushoga ushoga ushoga. Ukishamaliza hapo unakimbilia kula Pilau na juice ya tende unafikiri umemkomoa mtu.

Mashoga wapo tena kwenye makabila, na dini zote. Ushoga ni haramu. Ila kujifanya ndio issue Israel na waarabu ni kujizima data. Waisrael wanasambaratisha middle east
Kwa mayahudi ushoga SI Haram
 
Baraza la vita la Israel limepitisha azimio la kuishambulia Iran kutokana na shambulio la mauaji kwa Waziri Mkuu wa Israel Benjamin Netanyahu.

Haya yanajili baada ya picha za satellite zilizoonesha kushambuliwa kwa ulinzi na mifumo ya ulinzi ya Iran

Je kwa sasa Israel itafanya kile ambacho wengi twategemea?

Je ni preemptive strike?
Sawa Iran anamsubiria kwa hamu wameisha gundua ni US na Israeli fighter jets walitumia sehemu kule Iraq, iko chini ya US controlled airspace over Iraq. Je Iraq atamruhusu US afanye vile tena sababu Iran ataishambulia Iraq haswa base ya US. Pili hakuna hata Radar walizo piga waongo, wangepiga Radar wangeshambulia ndani ya Iran kwa ndege zao. Mara tatu walifanya waves za mashambulizi mbona hawakuingia Iran.

Hio kujidai watamshambukia Iran te a ni kutaka Iran asishambulie nasikia safari hi ni Hypersonic 1500 zitapiga Israel yote.
 
Baraza la vita la Israel limepitisha azimio la kuishambulia Iran kutokana na shambulio la mauaji kwa Waziri Mkuu wa Israel Benjamin Netanyahu.

Haya yanajili baada ya picha za satellite zilizoonesha kushambuliwa kwa ulinzi na mifumo ya ulinzi ya Iran

Je kwa sasa Israel itafanya kile ambacho wengi twategemea?

Je ni preemptive strike?
SISI: Marekani iache kuisaidia Israel alafu tuone kichapo toka Iran.
WAO: Urusi, Korea Kaskazini, China na Kuwait ziache kuisaidia Iran alafu tuone kichapo toka Israel.

SISI: Israel wanaua watoto wa akina mama.
WAO: 7/10 mliua watoto, mkabaka, mkachinja na wengine 100 mnawashikilia na hamtaki kuwaachia, tutapambana mpaka tone la mwisho.

SISI: Marekani hamuwezi muiran.
WAO: Mbona wanasema Marekani isiisaidie Israel,?
 
Baraza la vita la Israel limepitisha azimio la kuishambulia Iran kutokana na shambulio la mauaji kwa Waziri Mkuu wa Israel Benjamin Netanyahu.

Haya yanajili baada ya picha za satellite zilizoonesha kushambuliwa kwa ulinzi na mifumo ya ulinzi ya Iran

Je kwa sasa Israel itafanya kile ambacho wengi twategemea?

Je ni preemptive strike?
Nadhani wanawapiga mkwara Iran ili iache kulipiza kisasa kwa kipigo cha Jumamosi!
 
Hayo maandamano yako karibu kote Ulaya na Marekani. Ndio maana Sweden inasema waliokuja waondoke. Ila haina maana huku kwetu hakuna. yapo pia.
Kwahiyo point ya kusema ni mashoga haina mashiko. Sio kila mtu anafagilia ushoga kwenye hizo nchi mabzo mashoga wanaruhusiwa kuandamana
 
Ebu nionyeshe ni wapi Tanzania wasenge waliandamana hivyo? au ni wapi Iran au saudi Arabia wasenge walipiga haya maandamano? acha kujificha kwenye kichaka hii ndio gharama ya free world, haiwezekani nchi ya ahadi itoe vibali watu watangaze ushoga hadharani wakati unajua wazi watu wa Luti waliangamizwa kwa ufiraji

D6A0E855-35A0-4524-8916-388CB3A9F2F0.png
 
Ushoga ni ushetani na umeanzia hukohuko ktk nchi za kiislamu.
Nyie si mnasema Mitume wote Wayahudi sa ushoga ulianzia huko kwa wakati wa Lut
Nyie si mnasema Uislam uliletwa na Mtume Muhammad kwa hio kwenye ushoga mnakiri Mitume wote walikuwa Waislam sababu ushoga umeanza wakati wa Mtume Lut kwa hio wakati huo kulikuwa kuna Uislam sio 😄
 
Hizo porojo tu ndio maana Israel kutwa anabweka bweka, Iran ni jeshi kamili sio kikundi, HAKUNA ndege ilioingia anga la Iran, kwa taarifa yako Iraq amepeleka malalamiko yake UN kwa kitendo cha Israel kutumia anga lake

You must be living in your own world😂😂😂😂😂
 
Back
Top Bottom