Tetesi: Israel kuishambulia Iran kwa jaribio la Mauaji ya Netanyahu

Unaongea nini we mpuuzi,
Sweden pride parade kila tar 19 june kawaida tu kila mwaka.
Utawakuta popote utakwenda.
Iwe bar,night club,mjini kote wamejaa utakwepa vipi?
Hadi buss na treni zina bendera ya upinde.
Uk ndo kabisaa ndugu zenu wa kiume wanaolewa mchana kweupe.
Israel kufanya hayo mambo ni kawaida tu.
Hapo nyumbani mishoga iko kila mahali utazuia vipi?
 
Iran gani? Mtu anauwa kwenye nyumba ya Rais kwa bomb la kutegwa?
Na Israel ameenda ndani ya anga ya Iran kwa ndege zenye rubani na zote zimerudi. Hapo bado kuna kujiuliza?
Vita inataka akili kichwani. Hakuna albadili wala siasa za misimamo mikali
Usiropoke wewe.
Israel haikuingiza ndege katika anga la Iran bali ilishambulia kwa kutumia anga la Iraq na Syria.
Hakuna watoto humu usitudanganye.
Hiyo haitoshi ndege 100 zote zimeleta madhara ambayo ni sawa na hamna.
 
ISRAEL IS CONSIDERING A PREEMPTIVE STRIKE ON IRAN IN THE VERY NEAR FUTURE!
 
Sio kawaida paredi la mashoga huo ni ushetani, akifanya Sweden ni sawa maana ni nchi ambayo sio ya AHADI , ajabu ni nchi ya ahadi kuruhusu mashoga watangaze ushoga wao hadharani huku wakijiita nchi ya ahadi, Mungu gani wa ahadi walio nae wakati wanatangaza ufiraji ambao Biblia imeandika kuwa wakati wa Luti hasira za Mungu zilifyeka wafiraji wote? HAKUNA kawaida kwenye kutangaza ufiraji ni afadhali watu wangefanya kimya kimya lakini sio kuonyesha jamii kuwa ufiraji ni ruksa


USITUAMINISHE UJINGA, hili paredi ni la kishetani hakuna kawaida hapa
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn moreโ€ฆ