Israel kuweka kambi ya kijeshi Somaliland ili itumie kushambulia Houthi

Acha kuyakataa mazombi ya kenya na Sasa ndo yanaikamata Kenya kila sector

Kuna mazombi yale ya sijui uamsho, hivi bado yapo jela huko? Yaani mlivyo mazombi ya kutupwa kule, juzi hapa mlishabikia kuona Watanzania wawili wanachinjwa Israel na mazombi wenzenu kule.
 
Jitu jeusi linafurahia mabeberu kuweka kambi ya kijeshi Afrika? Yaan unashabikia ukoloni kisa anayefanya ni Israel. No wonder nchi yenu inanika ufisadi maana hamna akili kabisa.

Jitu jeusi linaifurahia kuchinja weusi wenzake kisa dini, sasa Israel imejongea mtafuatwa mpaka huko Msumbiji huwa mnakwenda kuchinja Waafrika
 
Kuna mazombi yale ya sijui uamsho, hivi bado yapo jela huko? Yaani mlivyo mazombi ya kutupwa kule, juzi hapa mlishabikia kuona Watanzania wawili wanachinjwa Israel na mazombi wenzenu kule.
Na Kuna mazombi Yale yalichinjana 2007 bado yapo?
 
Kuna Yale mazombi yaliuwa kule shakahola yapo?
 
Jitu jeusi linaifurahia kuchinja weusi wenzake kisa dini, sasa Israel imejongea mtafuatwa mpaka huko Msumbiji huwa mnakwenda kuchinja Waafrika
Nani kafurahia? Acheni ujinga kushabikia ukoloni. Huyo Israel mnamchekea siku akianza kudai na mto nile ni wake (Maana Bible inasema hivyo) mpigwe mabomu ndio akili zitawarudi
 
Na Kuna mazombi Yale yalichinjana 2007 bado yapo?

Kuna tofauti ya ugomvi wa kupigania ardhi au siasa, haya yapo kote hata leo tunashuhudia kule Ukraine na Urusi.
lakini ujuha wenu mnachinja watu kisa mungu wenu ambaye hamna namna yoyote hata ya kudhihirisha uwepo wake, ikumbukwe dini yenu ni ya juzi tu, ilikuta zingine.
 
Kuna Yale mazombi yaliuwa kule shakahola yapo?

Hao wa shakahola walijipeleka hivyo hao ni mazombi, lakini nyie mnakuta watu wanaishi kwenye imani zao mnaanza kulazimisha waabudu muarabu wenu, mnaanza kuchinja wasiokubaliana na uzombi wenu.
 
Nani kafurahia? Acheni ujinga kushabikia ukoloni. Huyo Israel mnamchekea siku akianza kudai na mto nile ni wake (Maana Bible inasema hivyo) mpigwe mabomu ndio akili zitawarudi

Mlisheherekea wakati Wayahudi wanachinjwa, humo walichinjwa hadi Watanzania na tulishuhudia nyuzi zenu humu mkishabikia, nasemaje, Myahudi ameshaanza kujongea, anaitwa Mosad, umeona vichwa vyenu vinavyoiwa kule, amebaki ayatollah
 
Hizi ni story za kwenye kahawa, Somaliland hawezi kukubali nchi yake iwe uwanja wa vita
 
Kelele za nini si wapige Iran?
 
Kwahiyo wale wanao pigania ardhi wakifa wanafufuka tena? ugomvi ni ugomvi tu iwe wa ardhi au dini, mwisho wa siku watu wanauliwa acha justification za kitoto , kila siku tunasikia Ukraine na Russia kuwa watoto na wanawake wanauliwa
 
Kuna Puntland pia nayo inataka ijitegemee kutoka somalia
 
Kwahiyo wale wanao pigania ardhi wakifa wanafufuka tena? ugomvi ni ugomvi tu iwe wa ardhi au dini, mwisho wa siku watu wanauliwa acha justification za kitoto , kila siku tunasikia Ukraine na Russia kuwa watoto na wanawake wanauliwa

Japo sio sahihi, ila tukipigania ardhi, ni kitu kinaonakena, ni raslimali, ina mantiki maana kila mmoja anataka afaidike
Lakini wewe maskini hapo unamchinja Mwafrika maskini kama wewe kisa uliambiwa na muarabu uabudu mungu ambaye hauwezi hata ukadhihirisha uwepo wake
 
Kelele za nini si wapige Iran?

Itapigwa tu, vuta subira, kwa sasa mnafanyiwa psychological war, mnakaa mkiangalia angani muda wote hamjui mtashukiwa lini
 
Hizi ni story za kwenye kahawa, Somaliland hawezi kukubali nchi yake iwe uwanja wa vita

Leo hii Saudi Arabia chimbuko la uzombi wenu anakula sahani moja na Israel.
 
Saudi Arabia msimamo wake huko pale pale hawezi kurejesha mahusiano na Israel mpaka Palestina iwe huru, wewe unasema Saudi Arabia labda ya Buza
 
Wamekua wakifa lakini hakuna miungu yoyote imeweza kufuta Israel, kabla ya ujio wa huyo wa kwenu walishinda miungu ya awali.
Hata wao waliambiwa kwenye kitabu chao kufuta watu wengine, kwahiyo na wengine kutaka kuwafuta ni SAWA
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…