Israel kwafukuta. Natenyahu akabiliwa na upinzani kila kona!

Israel kwafukuta. Natenyahu akabiliwa na upinzani kila kona!

brazaj

JF-Expert Member
Joined
Jul 26, 2016
Posts
31,698
Reaction score
41,733
Haya ndiyo yanayomsibu Natenyahu huko Israel.

IMG_20241106_042140.jpg

Zipo gharama za kulipa kwa kutokuwasikiliza wananchi ambapo madaraka ni dhamana tu.

IMG_20241106_035651.jpg

Wenye nchi wananchi.

IMG_20241106_041015.jpg

Mara zote wasio busara hukumbuka wakiwa wamekwisha chelewa mno!
 
Kwa hiyo hicho kimbembe anafanziwa huko na waislamu?
Wembe ni uleule kuua magaidi na wananchi wanaowahifadhi wote , nyinyi anti-israel protests mnaongozwa na mihemko ya kiislamu mkitaka na nyie tutawaua tukiona mna dalili za ugaidi
 
Haisaidii kitu hata ukimtukana haisaidiii, amsha kinembe chako hapo na baibui lako uende ukashike smg na wewe ukapigane na muisrael ukiwatetea magaidi yaliyoua wananchi wasio na hatia kule israel na kubaka wanawake na kufanya mateka mamia wa watu hadi sasa
Kumbe wanaouwawa gaza na makazi kubomolewa,na mahospitalini na mashuleni ni magaidi?na wanapelekewa misaada ya chakula.
 
Amkeni, amkeni wafia dini zilizoletwa kwa majahazi Africa wanaanza kufarakana hivi punde kwenye uzi huu.

Ubinadamu ni kazi/The humanity is work.
 
Haisaidii kitu hata ukimtukana haisaidiii, amsha kinembe chako hapo na baibui lako uende ukashike smg na wewe ukapigane na muisrael ukiwatetea magaidi yaliyoua wananchi wasio na hatia kule israel na kubaka wanawake na kufanya mateka mamia wa watu hadi sasa
Mbona una hasira mkuu kwani yeye fox ndiye Hezbollah inayowanyoosha watoto wa mungu, Relax mshughulikiwe😁😀
 
Back
Top Bottom