Israel kwafukuta. Natenyahu akabiliwa na upinzani kila kona!

Master minder wa Oct 7 kuuwawa hakuna tija ndugu? Hemu kumbuka kila kitu kilichotokea Oct 7 bila hata kumkumbuka Joshua Mtanzania kama bado utakuwa na msimamo wako.

Master mind wa Oct 7 ni hawa hapa ndugu:

IMG_20241106_150945.jpg

Ndiyo maana haitakaa ipatikane tija vitani.

Wacheni kujidanganya.
 
Awamu ya kwanza Netanyahu aliondolewa madarakani na wananchi haohao kwa kutokuwa mwaminifu wa kusimamia ahadi zake kipindi cha kampeni baada ya kuwathibitishia wananchi wake kuwa endapo watamchagua hatawaachia wapalestina kipande chochote cha ardhi.

Kabla hata awamu yake ya kwanza hajaimaliza aliwachia wapalestina ukanda wa Gaza, hivyo wananchi walimfurusha madarakani kwa kushindwa kusimamia ahadi aliowaahidi kusimamia endapo wangemchagua kuwa waziri mkuu.
 
Kondoo kiuhalisia ni wewe na magaidi wenzako mnaokua brainwashed na mafundisho ya kiislamu ya uongo ya kusema muvamie nchi nyingine na kuua watu na kubaka wanawake na kuteka watu na kusema mnafanya kwa ajili ya allah mbwa nyie
Ona huyu FALA anazungumza nini!!
Wewe nani kakwambia mzozo wa Israel na Palestina ni wa kidini!??
Unazidi kudhihirisha UFALA NA UPUMBAVU KICHWANI MWAKO UNAVYOZIDI KUROPOKA.
Na una ushahidi gani kama Hamas aliua wanawake na kubaka wanawake Oktoba 7!?
Je unajua chanzo cha Oktoba 7!?
Unajua nani kaanza kati ya Hamas na Israel!??
Sio unakurupuka kuandika kama umetiwa ujiti wa makalioni na kuita watu majina yasiyofaa pasi na kujua chanzo cha mzozo.

Kama angekua ameanza Hamas basi BRAZIL,SPAIN,CUBA,BELGIUM,COLOMBIA wasingevunja uhusiano wa kidiplomasia na Israel na kuwaita Israel magaidi.
Muwe munafuatilia vitu sio kuropoka tu kama mmelishwa usembe.
 
Awamu ya kwanza Netanyahu aliondolewa madarakani na wananchi haohao kwa kutokuwa mwaminifu wa kusimamia ahadi zake kipindi cha kampeni baada ya kuwathibitishia wananchi wake kuwa endapo watamchagua hatawaachia wapalestina kipande chochote cha ardhi.

Kabla hata awamu yake ya kwanza hajaimaliza aliwachia wapalestina ukanda wa Gaza, hivyo wananchi walimfurusha madarakani kwa kushindwa kusimamia ahadi aliowaahidi kusimamia endapo wangemchagua kuwa waziri mkuu.
Usipende kuongopa mkuu.
Kisa cha Netanyahu kutoka madarakani ni KESI ZA UHUJUMU UCHUMI NA UFISADI SIO KINGINE.
Na unatakiwa ufahamu kuna utofauti wa wananchi nini wanataka na utawala wa kizayuni nini unataka.
Wananchi wa Israel wanataka amani na ujirani mwema na Palestina ila utawala wa zayuni hautaki Palestina iwe huru.
 
Israel kweli ni nchi ya kidomokrasia; haya maandamano yangetokea Iran now we could be talking different story. Ungeanza kusikia, "USA na mataifa ya magharibi yanachochea uasi na maandamano"
 
Kama ambavyo us walisema Russia wameingilia maandamano yaloenda kapitol
Yeah, lakini USA hakuua waandanaji, hata wanao Andaman wakitaka sharia laws still hawapigwi; sasa jaribu kufanya hivo kwenye nchi zinazo ongozwe kidini au nchi za kikominist au zilizo wahi kufata mambo ya kikominist, some people could be injured some could he killed. Wana demokrasia hawanaga upumbafu kama huo, Kenya is talking a lot about this
 
Ona huyu FALA anazungumza nini!!
Wewe nani kakwambia mzozo wa Israel na Palestina ni wa kidini!??
Unazidi kudhihirisha UFALA NA UPUMBAVU KICHWANI MWAKO UNAVYOZIDI KUROPOKA.
Na una ushahidi gani kama Hamas aliua wanawake na kubaka wanawake Oktoba 7!?
Je unajua chanzo cha Oktoba 7!?
Unajua nani kaanza kati ya Hamas na Israel!??
Sio unakurupuka kuandika kama umetiwa ujiti wa makalioni na kuita watu majina yasiyofaa pasi na kujua chanzo cha mzozo.

Kama angekua ameanza Hamas basi BRAZIL,SPAIN,CUBA,BELGIUM,COLOMBIA wasingevunja uhusiano wa kidiplomasia na Israel na kuwaita Israel magaidi.
Muwe munafuatilia vitu sio kuropoka tu kama mmelishwa sembe.
Mkuu hawa wanaendeshwa na chuki binafsi za kidini.Wao kwa akili yao waarabu wote ni waislamu na kwa sababu wanawachukia basi kwao hawana haki na wala hawataki chochote kitachobadili hiyo chuki yao.Wanafahamu fika kuwa wapalestina ni mchanganyiko wa waislamu,wakristo na dini za asili.Hii vita ingekuwa ya kidini basi wakristo na makanisa yao wangesalimika.Lakini tumeona jinsi makanisa pia yakipigwa mabomu na watu kuuliwa ndani ya makanisa. Israel ni mkoloni kama walivyokuwa wakoloni wengine.Haiwezekani umpangie mtu anayetawaliwa kwa mabavu jinsi ya kutetea haki yake ya kuwa huru.
 
Nimemuona MPUUZI NA MPUMBAVU sana.
Halafu ni mtu ambaye asiyetaka kujifunza bali anaendeshwa na mihemko na ubishani.
 
Usipende kuongopa mkuu.
Kisa cha Netanyahu kutoka madarakani ni KESI ZA UHUJUMU UCHUMI NA UFISADI SIO KINGINE.
Na unatakiwa ufahamu kuna utofauti wa wananchi nini wanataka na utawala wa kizayuni nini unataka.
Wananchi wa Israel wanataka amani na ujirani mwema na Palestina ila utawala wa zayuni hautaki Palestina iwe huru.
Waisrael hawataki Palestrina iwe huru ni kwa vile wapalestina wenyewe wamekataa kutambua uwepo wa taifa la Israel.
 
Uwenda Tramp akamtosa Netanyahu kama Netanyahu alivomtosa Tramp kipindi cha utata na kashinda kati ya Tramp na Biden Tramp kila akiwekewa mabint ndio anashinda Hilal crinton akashinda Tramp nasasa ivoivo. Uchaguzi ujao ashindi atawakewa men,
 
Waisrael hawataki Palestrina iwe huru ni kwa vile wapalestina wenyewe wamekataa kutambua uwepo wa taifa la Israel.
Hakuna sehemu Palestina ilikataa kuitambua Israel,kama ipo lete hapa ushahidi.
Nenda kafuatilie resolution zote tatu za kuundwa kwa Palestina na Israel hakuna mahala Palestina wamekataa kuitambua Israel.
Tofautisha raia na utawala.
Raia wanataka amani ila utawala ndio hautaki Palestina iwe huru.
Nenda kafuatilie kipindi cha Yair Lapid raia wa Gaza na Israel waliishi vizuri hadi kuna waisrael waliwekeza Gaza.
Ila kuja Netanyahu vurugu zikaanza upya,ndio maana raia walivyokua wanaandamana walikua wakibeba mabango yanayosema "stop war make negotiations we need peace return our loved ones home".
 
Back
Top Bottom