gallow bird
JF-Expert Member
- Aug 10, 2024
- 3,915
- 6,272
Kuhusu kondoo ni naniKondoo ni nini!? Kondoo ni yupi kati ya Mkristo anayeshabikia Israel au Muislam anayetoa maisha yake (kujilipua) akidhani anamtetea allah kisa seikh ubwabwa kamwambia kuna madem 72 na mito ya pombe huko mjini akhera!? Mpaka hapo kondoo ashajulikana. Alafu wanawake wa kiislam mmeandaliwa nini huko mjini peponi au nyie ndo yale masuria?