tutafikatu
JF-Expert Member
- Dec 17, 2011
- 3,327
- 4,624
Nchi pekee yenye Demokrasia Mashariki ya KatiHaya ndiyo yanayomsibu Natenyahu huko Israel.
View attachment 3144754
Zipo gharama za kulipa kwa kutokuwasikiliza wananchi ambapo madaraka ni dhamana tu.
View attachment 3144752
Wenye nchi wananchi.
View attachment 3144753
Mara zote wasio busara hukumbuka wakiwa wamekwisha chelewa mno!